Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
The CCM and their politicking would determine what would happen and who becomes what, they have their own basis of choosing who flies their flag but Tanzania is bigger than the CCM and options...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa tabia yake ya kutostushwa na jambo lolote hata liwe baya kiasi gani, Kikwete ameonyesha ni bonge la Amiri Jeshi Mkuu. Kwa kutumia nguvu nyingi kuhalalisha mishahara "kiduchu" kwa wafanyakazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro anaetoka Maeneo ya Turiani Bw Marcussy Mgweno (pichani) Ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchio wa Jimbo la Uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF Naomba ushauri Nimepitia budget ya 2010/11 nimeona hakuna jipya ndo mana nikajiuliza hivi kwanini serikali haitumii Think Tank kama wataramu wetu wa vyuo?? Tatizo la Serikali yetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama cha Jamii kikiendelea kuonesha dhamiri yake ya kutokukubali kusukumwa pembeni kimetangaza jana baadhi tu ya ajenda zake ambazo ndio kiini cha kuwekewa mizengwe ya kupata usajili wa kudumu...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto ambaye amekitupia lawama Chama Cha Mapinduzi kwa kushindwa kupunguza umaskini nchini Exuper Kachenje, Dodoma na Leon Bahati MBUNGE wa Kigoma...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya ni baadhi tu ya orodha ya majaribio ambayo binafsi nayaona yanaweza kumfanya JK akose raha hata kama atakuwa bado ana kiburi cha kuendelea na awamu nyingine ya Uongozi. Mikopo kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Miaka yote tz tunajua wakati kama huu waganga wa kienyeji ndio wanatajirika kwa pesa toka wa wanasiasa....hivi ni lini tutafuta kabisa huu upupu unatuchafulia sifa taifa letu?....jamani mimi hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Takribani mwezi mmoja uliopita kulikuwa na tangazo kwenye blogs na hapa JF kwamba kuna dada yetu mmoja alipotea na akawa anatafutwa na ndugu zake. Taarifa iliyotolewa kwenye local TV stations za...
0 Reactions
55 Replies
13K Views
Exuper Kachenje, Dodoma KAULI ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuwa uanzishwaji wa Chuo Kikuu cha Dodoma haumo katika Ilani ya CCM na kuwa chama hicho kimeshindwa kufikia hata nusu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Safari za kwenda Marekani za Rais. XP: Watazamaji wa Television ya luninga, leo tena tunawaletea mahojiano yasio rasmi ya viongozi wetu vijana, yaliofanyika Ikulu nyeupe kule kwa bwana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nani alisema mama wa kwanza inglishi haipandi... Tizama mwonekano wa mwili [body language]
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mh!waziri wa wizara ya mambo ya ndani, Mr. Masha amesema "Sijui idadi ya magereza off my head", leo at 07:47 katika 'Power Breakfast' kipindi cha asubuhi cha Clouds FM. Waziri ameulizwa Tanzania...
0 Reactions
152 Replies
14K Views
Katika Kipindi cha Maswali na ya papo kwa papo leo kwa Waziri Mkuu, Mbunge wa Tarime. Mhe. Charles Mwera, ameuliza swali kuhusu vitendo vya udhalilishaji, unyanyasaji na uvunjaji mkubwa wa haki za...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanabodi, Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Pinda Bungeni leo asubuhi. Kumeulizwa jumla ya maswali 5 tuu badala ya 10, na yote ni kutoka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MWENZENU TAFSIRI YA HUU WIMBO JAMBO ULIKUWA UNALENGA AMANI LAKINI ULILKUWA NA MAANA ZAIDI YA HAPO HASA MAMBO YALIVYO SASA, VILIO VYA WATANZANIA VIMEJIDHIHIRISHA KWENYE MENGI NA KUKUMBUKA UTAWALA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeamka na mlio wa ka'nzi' kunidokeza kuwa kuna mkutano wa Wakurugenzi wote wa Wilaya nchini huko CCP - Moshi. Wakurugenzi wa wilaya wana nafasi ya pekee katika uchaguzi. Ka "nzi" kameuliza tu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nilijiuliza sana, inakuwaje mkuu aliyetajwa kuandaa mazingira ya Kagoda apewe ukurugenzi TIB? Ninajiuliza hizi fedha TZS 100 billion anazopewa anawezaje kuzisimamia kwa ukamilifu ukiondoa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kampuni ya Zongh Tong imechukua eneo la iliyokuwa TAMCO (nadhani Tanzania Motors Company). Hii kampuni ya Zongh Tong wanatengeneza mabasi ya abiria na kuuza. Nadhani wengi mtakuwa mmeona matangazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuh: Nyerere na Misingi ya Taifa Taifa imara linajengwa juu ya misingi imara, siyo juu ya nusu ukweli na nusu uongo. Picha ya Nyerere tuliyolelewa nayo ni ya upande mmoja tu, yaani kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom