Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hizi ni data chache tu za mtazamo wa mkuu wa nchi anavopenda michezo. Kama mkuu kabisa wan chi alisema lazima awalete Real Madrid 2010 wacheze uwanja wa Neshno, sijajua watacheza na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CCJ wamesema leo kwenye mkutano wa kukabidhi form ya kinyang'anyiro cha ubunge wa ubongo kuwa wanaungana na Chadema.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukisikiliza kauli mbiu za Kilimo Kwanza, unasikia wakulima wakubwa wa mashirika na kutoka nje ya nchi wakipewa kipaumbele. Wale wadogo waliolibeba Taifa kwa maiak yote 49 ya Uhuru, wanaambiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwalimu Nyerere and the challenge of human rights Helen Kijo-Bisimba and Chris Maina Peter [Extracts from a prospective Chapter in a forthcoming book on Nyerere’s Legacy, Edited by Chambi Chachage...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za urais Zanzibar utaanza Juni 21, mwaka huu, joto la mtu atakayemrithi Rais Amani Abeid Karume, limezidi kupanda. Kampeni za chinichini zinafanyika kwa kasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:mad2:Waheshimiwa nawaletea hapa chini hotuba ya Mhe. John Mrema aliyoisoma katika kikao cha Mkutano Mkuu wa CHADEMA jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro:mad2: HOTUBA YA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Serikali ya umoja wa kitaifa itaumbua wengi Wahafidhina wa siasa za chuki waanza kuhaha HATIMAYE kaburi la historia ya siasa za chuki na uhasama wa kulipiza kisasi Zanzibar, limeanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania is not, won`t ever become a nation of animals Editor 6th June 10 A few weeks ago, President Jakaya Kikwete cautioned East African Community (EAC) members against...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema itahakikisha kuwa kura ya maoni na uchaguzi mkuu,zinafanyika hata bila ya fedha za wahisani. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanawake watatu waliojitambulisha kuwa ni Helen Mgaya (22), Robi Wambura (20) na Sophia Marwa (43) wote wakazi wa Kijiji cha Kebweye wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, waliwaambia waandishi wa habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ramadhan Semtawa UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, umegusa ratiba ya shughuli za Bunge, baada ya mkutano wake wa bajeti unaoanza kesho mjini Dodoma, kutarajiwa kufanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu mfumo wa vyama vingi umeingia TZ, sijasikia chama kilichopata usajiri kwa mikiki kama CCJ Swali langu ni hili, hivi chama hiki kisipopata usajiri kuna athari zozote kisiasa, kiuchumi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inasemekana yule Mbunge machachari wa Rombo mwenye kesi mahakamini ya Ufisadi kipindi cha uongozi wake katika wizara nyeti ya Fedha amekuwa akigawa Tshs 5000 kwa kila mwanakijiji huko kijijini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
By The guardian reporter 5th June 2010 Two foreign companies operating in Tanzania have reported extensive gold finds in the country. While Helio Resources Corporation says it has found...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bunge latibuka kwa homa ya uchaguzi, LITAKUWA LA WIKI TANO, KUVUNJWA JULAI 16 Monday, 07 June 2010 Ramadhan Semtawa UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, umegusa ratiba ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa najiandaa kwenda kupumzika saa kumi na nusu hizi za alfajiri wakati vinzi karibu na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa vinadokezakuwa leo mchana msajili amepanga kukutana na uongozi wa...
0 Reactions
154 Replies
13K Views
NA SULEIMAN JONGO KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Arusha, Daniel ole Porokwa, aliyetangaza nia ya kuwania ubunge Monduli katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu, amejiondoa kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Uganda, Rwanda join SA and Angola in CHAN finals...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad ametabiri kuanguka kwa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, kufuatia mazingira mazuri ya kisiasa, yaliyotokana na maridhiano kati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NA JOSEPH BURRA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa, Juni 21 hadi Julai mosi, mwaka huu, itakuwa kipindi cha kuchukua na kurudisha fomu kwa wanaowania urais wa Zanzibar na Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom