MKE wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma amesimulia namna wauguzi walivyomnyanyasa wakati akijifungua mtoto wa kwanza.
Salma hakuitaja hospitali hiyo lakini amesema,wauguzi walimlaza sakafuni...
Waziri wa fedha Mustafa Mkulo katangaza serikali kukopa $200mil kutoka benki ya Stanbic kupunguza nakisi ya bajeti ya bil 200 kutokana na wafadhili kupunguza kiwango cha msaada ktk bajeti.
Swali...
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?
Mwezi Februari mwaka huu,Rais wa Kampuni ya Toyota (ya Japan) Akio Toyoda aliomba rasmi msamaha kwa wateja wa kampuni hiyo nchini Marekani ambao walikumbwa na matatizo ya kiufundi kwenye magari...
Joseph Mihangwa
Serikali ya umoja wa kitaifa itaumbua wengi
Wahafidhina wa siasa za chuki waanza kuhaha
HATIMAYE kaburi la historia ya siasa za chuki na uhasama wa kulipiza kisasi Zanzibar...
Kumbukumbu za kura za maoni zilizopigwa na watembeleaji katika mtandao huu:
Maoni ya habari za mtiririko:
Mpigie kura mshindi wa golden member award 2009/2010
Ally Saleh (53%, 55 Votes)...
*Tendwa kutangaza orodha ya waliotoa rushwa Julai
*Asema jina likitajwa chama kisimteue, vinginevyo
*Ataja wabunge walioanza kulalamika, dawa yapikwa
Na Maregesi Paul
OFISI ya Msajili wa...
According to IPP Medias Guardian reporter Jackson Kimambo President Kikwete is cross. He is cross at the fact that certain foreign investors have leased farms from co-operative societies in the...
Picha hizi zinaangaliwa na watu dunia nzima pia zinatisha kama una roho ndogo usiangalie.......hivi ni lini mauaji ya kulipizana visasi mkoa wa Mara yataisha, hivi selikali imeshindwa kabisa...
Mmesikia bajeti ya miundo mbinu?wanadaiwa bil 323 bila riba Na wakandarasi wao wameomba hazina bil 370 swali watalipa madeni au watajenga miundo mbinu mipya kwa fedha zipi mwaka ujao?kwa kweli...
Ni maswali mengi yayoelea vichwani mwa Watanzania kwa sasa, na bado majibu ni Kitendawili.
(a)Ni nani maarufu kati ya Dr Slaa na Kikwete kwa sasa?
(b) Je ni kweli Dr slaa anafahamika hadi huko...
Kwa kero hii ya usafiri katika jiji la Dar es Salaam tunaweza kweli kuendelea?
Kila siku inanichukua masaa manne hadi matano kwenda na kurudi kazini. si mimi peke yangu bali walio wengi wanakerwa...
Bandugu;
Kwa wale wanaotumia network ya Seacom (fiber opic cable ya baharini) Tanzania, inasemekana kuwa mitambo yao ipo chini.
Hii imewaathiri watumiaji wengi wanaopata access ya Internet kwa...
WanaJF
Hakuna chanzo kinachosema Brazil Kama wenyewe wanataka shilling ngapi. 7 billion wanazosema ni za TFF na serikali ndo wanasema. Kuna habari kwamba mechi kati ya brazil na Tanzania ni...
Ndugu wanaJF
Katika kuelekea uchaguzi october 2010 nimeona hili niliweke wazi, Baba wetu wa taifa ameanza kuchafuliwa katika media mbalimbali ikiwemo jf na TAHASISI YAKE CHINI YA BUTIKU...
Mhh! kuna maukweli hapa?
Salaams from Kamau In Kenya
Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem to post my article in your beloved blog. I have been a...
Marekani na China wanapigania Tanzania kwa sasa kwani wanaamini Tanzania itakuwa super power ya East and Central Africa. Marekani pamoja na kuweka balozi wao mwanajeshi msaafu wako kwenye harakati...
Jamani nimeguswa na swala lililomtokea ndugu yetu Masauni simjui hakika; ila nimeangalia nikaona kuna umhimu wa wa zanzibar kuamka na kuacha kuwa wanyonge kila siku..embu jiulizeni kughushi shule...
Jirani yetu Mkenya anavyotushangaa. Jamani tutaendelea na matendo haya hadi lini?
Salaams from Kamau In Kenya
Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.