Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Will the real Jakaya Mrisho Kikwete please stand up? By By Elsie Eyakuze Posted Monday, May 10 2010 It was around December of 2005, shortly before President-elect Jakaya Kikwete was sworn...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NCHI za Afrika zimeshauriwa kutazama upya mifumo ya uchaguzi ili iendane na maslahi ya watu wake pamoja na kuwaletea maendeleo ya kweli kiuchumi. Viongozi wa Afrika pia wametakiwa kuwa tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAAMUZI YA CHA KAMATI KUU. Taarifa inatolewa kwa umma kupitia kwa vyombo vya habari kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA ilifanya kikao chake cha kawaida jumapili tarehe 25...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
*Adai WEF ni kuendeleza ubeberu Na Job Ndomba MAANDAMANO ya wanaharakati yaliyotakiwa kufanyika jana na kuishia katika Viwanja vya Mlimani city kunakofanyika mkutano wa Jukwaa la Uchumi la...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nilipata kuandika katika safu hii juu ya ‘kuthubutu’ kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda. Niliandika uchambuzi wa kuthubutu kwa Kagame baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufanya mkutano na wahariri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
At Berlin Conference for Scramble of Africa in 1884-1885, Africa had no representation. It was occupied and exploited through colonialism. Today, Africa is actively represented, through Davos...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WanaJF, Je Tanzania ikipunguza matatizo ya rushwa mambo yatanyooka? Naona kuna tatizo flani sugu. Tamaduni yetu ya watu wenye akili kulenga kwenda university na hatimaye mara nyingi kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Helo Members wa JF. na watanzania kwa ujumla. Tunajiandaa na uchaguzi hapo oktoba 31/10/2010. kila nikijaribu kuangalia na kutafakari kwa makini na nikijumlisha matamsha ya wanasiasa mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu! I hope ur all fine. Wengi wetu tumekuwa tukiamini kwamba ili mtu ashinde Ubunge au Udiwani basi ni lazima awe na alots of money na hii imepelekea watu wengi hasa vijana na wale wenye kipato...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Akitangaza ratiba hiyo Dk Slaa alifafanua kuwa fomu kwa wanachama wanatakaowania nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani zinaanza kutolewa Mei 3 kwenye ofisi za majimbo yaliyopo nchi nzima...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
LICHA ya kutangaza kutogombea urais mwaka 2010, waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye bado anatajwa katika anga za kisiasa baada ya kuelezewa kuwa ni mmoja wa watu wanaoweza kujitokeza kupambana...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni masaa 60 yamepita toka hotuba ya Mh. Rais iishe pale Diamond Jubilee. Katika hotuba ile aliyoifanya mbele ya 'vikongwe' vya DSM (which to me is a wrong audience cosidering his theme) ilijaa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohammed Seif Khatib amependekeza mgombea wa kiti cha urais atakayemrithi rais wa sasa Jakaya Kikwete, atoke visiwa vya Zanzibar. Waziri...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari hii toka mwanahalisi ya Tarehe 5 may, inanipa shaka juu ya tunakoelekea. Jihabarishe hapa HAPO zamani wananchi walioishi katika maeneo yenye madini waliamka asubuhi na kuokota madini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya TBC1, walikuwa wakimhoji Mh B Mkapa nje ya ukumbi wa Mlimani City baada WEF. Kuna sawali ambalo aliulizwa naye mH kutoa majibu yenye utata nikastuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kweli nimekuwa pembeni kuangalia muelekeo wa Tanzania ,nilichokiona ni kule tunakoelekea hakuna faida nasi na nikionacho ni giza tupu ,kwa maana ya machafuko yatakayoisambaratisha Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikama hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010 kwani kilichopo ni kuthibitisha wana CCM watakao endelea kuitafuna Tanzania. Mwezi October na Novemba utasikia hivi CCM IMESHINDA KWA KISHINDO. Kikwete rais...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Jeshi la Polisi nchini limeamua kuondoa utaratibu wa kuweka askari wenye sare na silaha katika vituo vya wapiga kura ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom