Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ameanza Spika na sasa kaja Mwanasheria Mkuu; na sitoshangaa baadaye atakuja waziri Mkuu na Rais au squadi zima la viongozi walioshindwa. Ati wanataka Zitto agombee wanakotaka wao! Kwa ubavu gani...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM, TAREHE 3 MEI 2010 Mhe. Makamu wa Rais, Mhe. Waziri Mkuu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallow Wandugu, Habari za LEO? Naomba niwashirikishe jambo moja ambalo kwa kweli ni kitu cha ubunifu tu. Swala la foleni za magari barabarani katika jiji letu la DSM limekuwa sasa ni KERO kubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moody's credit ratings agency warns Greek debt crisis could spread to UK after three die in battle of Athens Last updated at 10:57 AM on 6th May 2010 Greek parliament set to pass...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dk Rashid awekasharti la kurudi Tanesco ! Na Sadick Mtulya - Mwananchi. ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Dk Idris Rashid ametoa sharti la kurudi kwenye nafasi hiyo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ukweli ni kwamba solution ya matatizo yetu ya kijamii kama taifa, YAPO BEYOND THE PRESENT STATUS QUO. Nimeona majuzikati hapa kuna forum imeanzishwa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu Oktoba, na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais kadanganywa * Watoa barua kuonyesha hawakuchelewa kikao MIEZI michache kabla ya Uchaguzi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete ameingia katika mgogoro mkubwa na wafanyakazi wanaodai amedanganywa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya kutegemea nafaka na...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Kwame Nkrumah, The Other Side. From The Editor’s Desk: “Following in the footsteps of Nkrumah?” The Standard (Zimbabwe) Saturday, 17 April 2010 http://www.thestandard.co.zw/ After re-reading...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bwana Prince M. Bagenda aliandika kitabu chenye kichwa cha habari "Jakaya Mrisho Kikwete: Tumaini Lililorejea" na kuchapishwa Machi 2006. Nafikiri mwaka 2011 inabidi tena aandike kingine sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Richard Hiza Tambwe Tuesday, May 04, 2010 2:11 AM MIKANDA ya video inayoonyesha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tuna Tatizo la Mawasiliano-kiuchumi, kijamii na kisiasa YAPO madai kwamba Tanzania hivi leo ina tatizo kubwa la mawasiliano ya umma yanayowajulisha watu kwa wakati wategemee kitu gani kutokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Usaliti wa Wafanyakazi wa Mabenki na Taasisi za fedha.KAMA ulikuwa hujui basi kuna udugu mkubwa kati ya wenye mabenki/taasisi za fedha,mangimeza wetu, wafanyakazi wao, wanasiasa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna wakati nawaza nini hatma ya Tanzania hii lakini baada ya muda namshukuru mungu kwa yote aliyotupatia. Inawezekana vipi kwa nchi nzuri kama hii mungu aliyoijalia kila aina ya vitu vya kipekee...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau leo nimekuja kwenu mnijuze kuhusu hii kitu. Ni safari ipi ama ngapi,kwasafari zote alofanya muungwana tunaweza pata matokeo positive kutokana na safari hizo.Kama taifa limefaidika nini hasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ukweli usiyopingika kwamba raisi wetu, analiongoza taifa kimajungu, Unafki, na uzandiki, tangu nimeanza kumfuatilia na staili ya utendaji, Na utatuzi wa majukumu yanayolikabili taifa letu, siyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mzee huyo amedokeza mengi, tuchambue na kujadili. (taarifa kwa hisani ya Wavuti) "...tuliokuwa nao huu, ni utulivu wa ujinga tuliokuwa nao" Bovya buluu utapata Video.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba tujaribu kutabiri nani anaweza kuwa waziri mkuu mwakani katika serikali ijayo ya JMT. inasemekana Mh.Pinda hakuwa chaguo la mzee la kwanza, Je kuna wengine??? wapo pia waliotangaza nia ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Alifafanua kuwa nchini Tanzania walarushwa ni watu wakubwa na wenye fedha nyingi hivyo hata ikitungwa sheria kama inayotumika nchini China ya kuwanyonga mafisadi hawa, haitofanikiwa kwani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kesho waingereza wanapiga kura kuchagua chama na Waziri wao Mkuu atakayewaongoza kwa miaka mitano ijayo, inavyoonekana chama cha Conservative kiko mbele ya chama tawala cha Labour kinachoongozwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom