Hii inaonyesha jinsi wabunge wanavyolipwa pesa nyingi zaidi ya mahitaji yao. Serikali inatakiwa iwape waalimu mishahara inayotosha kukidhi huduma zao muhimu, na sio kupewa misaada na watu...
The JK popularity Paradox digg
President Jakaya Kikwete
By Lucas Liganga and Bernard James
President Jakaya Kikwetes consistent high ratings in opinion polls in which his Cabinet ministers...
Mtu usiye hata na chembe ya uzalendo katika kope za macho yako. Mwenye kuthubutu hata kuidanganya hadhira na jamii tena kwa HONGO ili apate kibali na haki ya kuwaibia wanyonge. Mpumbavu usiyejali...
Jamani hii sio story ni kitu ambacho kimeniuma sana. Kwanza nianze na ya Dodoma. Nilienda dodoma kikazi nikakuta mmbunge mmoja amemtafuta fundi Carpenter anatengeneza mabango kama yale ya project...
CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
Na Waandishi wetu
2nd May 2010
Yataka wafanyakazi kutochagua wasiowatetea
Yawahimiza kujitokeza kwa wingi uchaguzi mkuu
Rais wa Tucta, Ayub Omar
Pamoja...
Uhusiano wa Karume, Seif Sharif wahojiwa
WAKATI Jumuiya ya Kimataifa ikisifu uhusiano mpya kati ya Rais Amani Abeid Karume na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Shariff Hamad, wazee waliokuwapo wakati...
Katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Rais ni JK
Makamu wake ni Dkt Shain
Namalizia na Mtoto wa Mkulima kama Waziri Mkuu.
Naomba uiendeleze safu yetu hiyo hadi kufikia Mwenyekiti...
Fresh twist in mining sector
By Guardian on sunday team
2nd May 2010
Just days after Parliament passed the 2010 Mining Act, the Tanzania Chamber of Minerals and Energy is pushing to amend...
Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya umma nchini wametangaza kuanza mgomo kuanzia Aprili 27, mwaka huu. Hatua ya wahadhiri hao imefikiwa jana kwenye ukumbi wa Cafteria One sehemu ya Mlimani Chuo Kikuu cha...
Driving to nowhere: The value of a diversified urban transportation system in Dar es Salaam
By RYAN WHITNEY
27th April 2010
Entrance to Umma Wa Wapanda Baisikeli (UWABA)
Traffic in...
Historia inatudhihirishia kwamba mkombozi wa watu ni mtu wa kujitolea. Ni mtu anayeweka maslahi yake pembeni na kuweka mbele maslahi ya wale anaotaka kuwakomboa.
Hivi ndivyo alivyofanya...
Rostam aibiwa zana za kumngoa Selelii
VIFAA vya kampeni vya Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz, vimedaiwa kuibwa katika mazingira ya kutatanisha.
Wizi huo ulifanyika ofisi za kampuni ya...
Nimekutana na hii habari katika Michuzi Blog na kujikuta nikijiuliza maswali kadhaa:
1. Ni haki kwa mfanyabiashara binafsi kutumia Mali ya Umma kukopa benki?
2. Kama hii kampuni ikifilisika...
Investors reject Tanzania's "distorted" mining law
Reuters, Wednesday April 28 2010
* Mining companies slam new mining law
* Minister says companies acting like spoilt child
By...
Mashati ya rangi ya kijani,Khanga na Tshirt za UWT pamoja na wanafunzi wa kike kutoka shule mbali mbali Jijini Dar wamejazana Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza tangu asubuhi...
Imenichukua zaidi ya siku mbili kuitafakari riport ya REDET waliyoitoa juzi kuhusu mwelekeo wa siasa nchini, mwanzo nilikuwa siiamini lakini nilipoiangalia kwa undani nimeona kuna ukweli fulani...
Kwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa...
WABUNGE 143 kati ya 232 wanaotoka katika majimbo ya uchaguzi hawachaguliki, hivyo ni vigumu kurejea bungeni baada ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa utafiti...
Hii ni makala katika The East African la wiki hii, nimeiweka hapa ukumbini tuweze kuijadili. Hawa jamaa wa Nation media siku za nyuma mtazamoa wao kwa JK haukuwa positive na hivi tunaelekea kwenye...
Thursday, April 29, 2010 1:34 AM
Ilimbidi spika wa bunge la Ukraine aombe hifadhi chini ya miamvuli kujikinga na mayai aliyokuwa akivurumishiwa na wabunge kabla ya wabunge wa chama tawala na cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.