Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naomba wadau tuangalie vyanzo vya fedha vya CCM kwa ajili ya kununulia Kapelo, Pilau, T-shirt na kadhalika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na madhara yake, Mimi nimejaribu kuangalia vyanzo hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WIKI chache kabla ya mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba kufanya ziara mkoani Arusha, mambo si shwari ndani ya umoja huo mkoani hapa baada ya wanachama kujipanga kuwashitaki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi sasa kuna harakati za uchaguzi katika chuo cha mzumbe lakini cha kujiuliza ya kuwa kwanini wasomi wetu tuliotarajia watoe mfano bora kwa kuchagua watu kwa sera na si nini wamewapa ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi si mwanasiasa na kwa bahati mbaya sana nimejikuta nikiichukia siasa kutokana na ulaghai na majigambo ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania. Nikiwa mkazi wa jimbo la kawe nimefikia mahali...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Katibu wa Kikwete aibuliwa jambo zito *Adaiwa kuanza kampeni za ubunge kwa jina la Ikulu *Akanusha kudai kuandaliwa Uwaziri Mkuu WAKATI mjadala wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ukiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgomo ulioitishwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umeingia dosari baada ya kubainika kutokuwa na tija kwa uchumi wa nchi na ustawi wa jamii. Ikiwa mgomo huo unaotarajiwa kuanza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Utafiti wa kura za maoni uliotangazwa na REDET umeonyesha kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo, CCM na Kikwete wangeshinda kwa zaidi ya asilimia 70. Sources: Channel Ten, StarTV, TBC
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Muasisi wa Muungano Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere Muasisi wa Muungano Hayati Abeid Amani Karume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VUTA nikuvute kati ya viongozi waandamizi wa Chadema wilayani Same mkoani Kilimanjaro iliibuka juzi wakati walipolumbana hadharani wakigombea kubaki kwenye kikao cha ushauri cha wilaya hiyo huku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbio za urais za Bilal zaanzia Ikulu Dar Na Patricia Kimelemeta, Mwananchi WAZIRI kiongozi wa zamani wa Zanzibar, Dk Mohammed Ghalib Bilal ameweka bayana nia yake ya kuwania tena kiti cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zitto aenda kutibiwa Ujerumani Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe, amekwenda Ujerumani kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa mwishoni mwa wiki akiwa bungeni mkoani...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
On behalf of President Obama and the American people, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania as you celebrate the forty-sixth anniversary of the union of Tanganyika and...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
The mystery ATC mansion By ThisDay Reporter 20th April 2010 ATC Property CONSTRUCTION of a luxury multi-million dollar house in one of Dar es Salaam's super prime locations linked to...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
:target:hivi sifa za kuwa kamanda wa umoja wa vijana wa CCM ni zipi? mbona huwa makamanda wanakuwa wengi sana uchaguzi ukikaribia? kwa nini makamanda wote ni watu wenye uwezo wa kifedha? au ndio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mh. Dk Slaa nimewahi kutoa mawazo yangu kupitia forum hii ya JF nikisema kwamba wilaya, vijiji na hata mikoa kwa ujumla wake ile ambayo madini kama vile dhahabu, almasi, tanzanite na mengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
No.1 Nisaidie kung'amua maswali haya.Tulisema wazungu (viongozi) wanatunyonya, tukapigania uhuru tukawa huru. Leo viongozi weusi wanatunyonya tufanye nini? No.2 Lengo la uhuru pia ilikuwa ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ilinusurika majaribio 14 ya kupinduliwa, likiwamo lililosababisha kifo cha muasisi wa Mapinduzi, Sheikh Abeid Amaan Karume, Aprili 7, 1972. Kwa mujibu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Majuzi waziri mkuu Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda aliwaasa makatibu muhtasi wa serikali na mashirika ya umma kutotoa siri za ofisi zao. Mimi kwa nguvu zote napingana na wito huo wa Mh. Pinda kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu jana nimesikitika kuona jinsi wimbo wetu wa taifa ulivyoimbwa na kijana pale taifa tena mbele ya wanajeshi wa vyeo mbalimbali, makamanda na amiri jeshi mkuu... nilisikitika zaidi nilipoona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The U.N. has praised Tanzania for granting citizenship to some 162,000 refugees who fled Burundi 38 years ago. "It's the most generous naturalization of refugees anywhere," said UNHCR spokeswoman...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom