Kuomba urais Zanzibar sharti kuwa na mil. 3/-
MWANACHAMA wa chama chochote cha siasa kilicho na usajili visiwani hapa, anayetaka kuwania urais, atatakiwa kuwa na Sh milioni tatu ili aweze kupata...
............. Pinda na Sitta si mihogo kiasi cha kung'olewa kirahisi majimboni mwao kama mkulima anavyoweza kung'oa mihogo shambani kwake," alisema Shibuda ambaye anajulikana kwa kutokuwa mwoga...
Mbunge wa Vunjo Aloyce Kimaro amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi hapo jana akiwa Dodoma. Kimaro aliugua jana na kupelekwa katika hospitali ya...
Nimetumiwa hii na rafiki yangu na kwa kweli nimeipenda japo ukweli unauma. Sasa tumlaumu nani na tufanye nini ili tujinasue?
-------------------------------
I found your cover story, Carving...
[SIZE="2"]Ndugu wana jamii forams
ni muhimu sana kujitolea ile kuweza kuleta mabadiliko ya kisiasa ili uchumi wetu uweze kuonguzwa na watu wenye mtizamo chanya hivyo basi wewe ukiwa ni...
Nilikua naangalia bunge letu Live wakati wa mjadala wa mswada wa sheria ya madini cha kushangaza wakati wengine wakijadili kwa kina mswada huo muhimu baadhi ya wabunge walikuwa wakipiga soga kiasi...
Nime kaa na kutafakari hivi ni kwa nini kiongozi mkuu wa nchi ana beba lawama zote? Tuangalie mifano michache. Marekani mzigo wote sasa hivi ana bebeshwa lawama Obama, Uingereza sasa hivi Gordon...
Wakuu jana katika kipindi special cha American Pop Idol (BSS ya US) kiitwacho Idol Gives Back niliona kitu sikukielewa. Kipindi hicho ambacho ni mahususi kwa kuchangisha pesa kutoka kwa watazamaji...
THE Immigration Department in Iringa Region has deported 51 illegal aliens of Somalia origin to their country after finalizing all the procedures of documentation, it has been disclosed.
The...
Muswada madini wawabana wawekezaji wakubwa Send to a friend Thursday, 22 April 2010 23:30
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja
Frederick Katulanda, Dodoma
WAZIRI wa Nishati na...
Zitto Kabwe aipongeza CCM Send to a friend
Wednesday, 21 April 2010 19:05
Salim Said
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe ameifagilia ilani ya...
Miaka ya miongo ya 60 na 70 ilikuwa ni ya kutamalaki kwa askari wa kukodiwa (mercenaries au kwa jina lingine, the dogs of war) kwenye uwanja eti wa vita wa Afrika. Waliokuwa macho miaka hiyo...
Hali ya sintofahamu kuhusiana na hatima ya mjadala wa sheria mpya ya madini, ambapo Spika Sitta jana alitangaza kwa mbwembwe kuwa mjadala huo ni leo, ametangaza kabisa ili wachangiaji wajiandae...
Duku duku zinazoenakana ndani ya Jamboforums (JamiiForums) ni kwamba itaweza kuwa Chama cha Upinzani 2010!
Wachunguzi wamebaini kwamba wanachama machachari wa Upinzani na hata Chama tawala...
Wana JF mimi nilikuwa nataka tu discuss kwa nini viongozi wetu hasa waliopo madarakani Tanzania huwa wanakataa wasikae na wale contestants wao kutoka vyama vingine wakati wa kampeni ili kila mtu...
Bunge limeanza kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo Spika Sitta ameyapiga chini maswali matatu toka kwa wabunge watatu wa upinzani.
Swali la kwanza lilitoka kwa Kiongozi wa...
By Ani Jozen
13th April 2010
"African universities produce roughly one percent of academic titles issued annually around the world, a prominent local publisher said yesterday.
Launching close to...
Kinadharia, jamhuri yetu inasimamiwa na mihimili mitatu. Mihimili hiyo ni Bunge ambalo kazi yake ni kutunga sheria, serikali ambayo kazi yake ni kusimamia na kutekeleza sheria zinazotungwa na...
Nani alisema kukwama kwa JK huko Marekani ni bure? Our President is busy 'promoting' our good country...
Charity is All in the Family for Brad and Doug Pitt
Brad Pitt 's equally handsome...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.