SERIKALI, ambayo inahaha kujaribu kuzuia mgomo wa wafanyakazi uliopangwa kufanyika kuanzia Mei 5, imetangaza nyongeza ya asilimia 100 ya mishahara ya kima cha chini kwa wafanyakazi wa sekta...
WATU zaidi ya 200 mchanganyiko wa raia wa Burundi na Tanzania wamepiga kambi katika msitu wa hifadhi ya Igombe, wilayani Uyui na kujitangazia eneo hilo kuwa Jamhuri ya Ukombozi na kutundika...
Jamani wana JF:-
Kutokana na kashfa ya Radar inayosadikiwa kwamba amehusika.
Uingereza kukiri na kuamua kurudisha Tanzania kiasi cha pesa zizochukuliwa kifisadi.
Kuwa na kiasi kikubwa cha pesa...
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake...
Nimemsikia jana Bungeni Jaji Werema akikubali kwa lugha ya kisiasa kuwa sheria ya gharama za uchaguzi inabidi ifanyiwe marekebisho. Na katika vifungu alivyotaja ni kifungu cha 7 ambacho Slaa...
Date: 2/20/2010
Kila mbunge kuvuna Sh46 milioni za kiinua mgongo
*Ni asilimia 40 ya mishara yate ya miaka mitano
Exuper Kachenje
Mwananchi
KILA Mbunge ataondoka na zaidi ya...
Bajameni
Aliye na majina ya wabunge waliodai serikali ya Tanganyika, maarufu kama G 55 atumwangie hapa. Kuna wingu zito linaunyemelea Muungano wetu hasa tunapokaribia kuadhimisha miaka 46 juma...
Paschally Mayega
RAIS wangu, vitabu vitakatifu vimeandikwa kuwa huwezi kuwatumikia mabwana wawili, Mungu na Mali. Lazima utamchagua mmoja. Wakale walisema chema chajiuza, kibaya chajitembeza...
Sad... and we are surprised we still poor besides all our natural wealth.
10 things we have learnt about Africa
The Pew Research Center has just released one of the biggest ever studies on...
Jamani me ni mgeniii kabisa hapa JF, nimeipenda h forum manake kila naposoma hua najifunza k2, na kutokana na me kua mpenda kujua basi nimeona hapa naweza kufunzwa mengi zaidi.
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 sikupiga kura kwani uchaguzi ulikuwa wa wazi. CUF na DP waliongelea hili mara moja tu na kukaa kimya pengine baada ya kupewa nakala ya daftari la wapiga kura. Katiba...
Never heard of this Tanzania Education Trust
Designer Kenneth Cole (L) and President Jakaya Kikwete attend the Tanzania Education Trust New York Gala hosted by President...
Ndg. Wazalendo, nimefuatilia sana hizi safari za Mhe. kwenda Marekani naona sasa zimenichosha, safari zimekuwa nyingi, na anakaa muda mrefu kiasi kwamba shughuli nyingine inabidi afanyie Marekani...
:target::target:
Please Read
Kigoma region in Northwestern Tanzania is among the poorest and most marginalized areas in the country. For decades Kigoma and the neighboring Kagera region have...
Rais Kikwete aumbuka
Na Saed Kubenea
KUMBE Rais Jakaya Kikwete hakusoma sheria aliyosaini kwa mbwembe.
Sasa baada ya kugundua kasoro zake anataka ikarabatiwe kwa njia ya
kanuni...
Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa ni kama injini mpya ya gari (standard), ikaongozwa na baba wa taifa hadi alipoamua kung'atuka ili apishe wengine kuongoza na kurekebisha pale yeye...
Majuzi nimeshhangaa sana kuona watu walioua watoto wachanga si chini ya miamoja.watu wazima si chini ya hamsini jamani leo hii wameamishwa kutoka mwananymala kusambazwa hospital nyingine
Bado...
TUKIO la mawaziri wawili ambao ni Stephen Wassira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, na Ezekiel Maige, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii kuungana na wadau mbalimbali kupinga muswada wa...
(Uchambuzi)
Na Mbasha Asenga
WAKATI Msajili wa Kwanza wa Vyama vya Siasa nchini, George Liundi, alipomaliza utumishi wake kwenye ofisi hiyo na ghafla akatangaza na kuanza harakati za kusaka...
Transparency International seeks nominations to recognise inspirational anti-corruption heroes
Berlin, 19 April 2010
The deadline for nominations for the Transparency International Integrity...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.