Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna baadhi ya watanzania wanatamani bora tupigane vita ya wenyewe kwa wenyewe ili tuweze kuondokana na hili wimbi la viongozi warafi(mafisadi) ambao kila kukicha wanazidi kuongezeka.pia kuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wizi wa Sh3 bilioni za posho za askari kwa mwezi Februari mwaka huu. Ufafanuzi huo, uliotolewa jana na msemaji wa jeshi hilo, Abdallah Mssika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MFANYABIASHARA maarufu ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajabu Maranda, anayedaiwa kuiibia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Sh bilioni 1.8 za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), amekiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa ninasikia kwa juu juu tu juu ya kuwepo kwa wapangaji wa Shirika la Taifa la nyumba ambao wanajihusisha na uuzaji au upangishaji wa Nyumba za Shirika hilo kwa njia za Panya.Lakini majuzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari jinsi Marais wanapokuwa madarakani katika ungwe ya awamu ya miaka mitano ya mwisho ya uongozi wao, mara kadhaa Marais hao kwa kuwa hawana tena cha kupoteza hubadilika sana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukiwa na ndugu yako au mtu wako wa karibu ana nia ya kugombea uheshimiwa andika maumivu. Jana mamsap alipokea simu toka kwa kaka yake wa baba mkubwa akamwambia ana kadi yake. alipoulizwa kadi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania kwa ujumla wetu tunasubiri kwa hamu kubwa hukumu ya rufaa iliyokatwa na serikali kuhusu mgombea binafsi. Nampongeza sana mhe jaji mkuu Augustino Ramadhani kwa namna alivyoshtukia janja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ndugu Zangu, Serikali imetoa rasimu ya MKUKUTA kwaajili ya kupata maoni ya wadau. Tumia link ifuatayo uweze kupata nakala yako kama ungependa kuchangia mawazo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Baada ya kuchomwa na jua mpaka jasho kukauka katika harakati zangu za kujenga taifa letu 'changa' pia ikiwa kama niia ya kupata mkate wa kila siku,hatimae nabahatika kupata msamaria mwema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sadick Mtulya MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Cag), Ludovick Utouh amesema kuwa upo uwezekano wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufilisika baada ya kubaini kuwa kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
By Jerry Okungu The contradictions in Kenyan politics have refused to go away. Today our MPs can pass a motion in Parliament and oppose it in other forums tomorrow! They need a tight...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia vituko na vijimambo na taarifa zinazotolewa na CCM na baadae zinaanushwa ili mradi kunakuwa na mchanganyiko wa kutosha tu. Mara zote ninakuwa nafikiria thinking tank ya CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIONGOZI WETU WA UPANDE WA UPINZANI, IWAPO WAKIBAHATIKA KUINGIA IKULU WANAWEZA WAKAFANYA JAMBO TOFAUTI KABISA NA WENGI WALIVYOFIKIRIA,JAMBO HILO LAWEZA KUWA ZURI AU BAYA KWA MTAZAMO WAKO.HIYO NDIO...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku zote tumekuwa tukielezwa na wanasiasa kuwa wananchi ndo mwajiri wa serikali yoyote hapa duniani. Na mimi naamini nadharia hiyo ni sahihi. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ukweli wa jambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ama kwa hakika wakati tulio nao ni rahisi zaidi kuingo'a CCM na serikali yake kuliko wakati wowote mwingine uliopita.Kuna kila sababu na uwezo wa kufanya hivyo kipindi hiki ambacho tunaelekea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Obamas: $5.5 million income, $1.8 million tax bill ? AP – President Barack Obama makes a point while speaking at Kennedy Space Center, Fla., Thursday, April 15, … By CHARLES BABINGTON...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siyo swali gumu na wala siyo swali la mtego hata kidogo Jibu lake ni rahisi kweli kwani halihitaji uwe msomi wa elimu ya anga za mbali au uliyebobea katika sayansi ya Fizikia ya Nyota kuweza kutoa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakulu kama unatafakari na kujali mustakabali wa sayari yetu na sustainability yake na hazina zooote zilizomo kwa kizazi cha sasa na kijacho, hii ni fursa yako kueza kujiongezea ufahamu na kujua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Do you want to save your money?Dont just go booking hotels and flights in Dar or Arusha or anywhere in the world before doing some smart comparison. You can save hundreds or thousands of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Mwantanga Ame TUME ya Uchaguzi ZEC, imetangaza kuwa uchaguzi Mkuu wa Zanzibar utafanyika Oktoba 31 mwaka huu baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi. Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom