Nilisema awali kwamba kansa ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi isingekuwa ni jambo la kutisha sana kama tungekuwa tumeanza kuona kizuri cha upinzani kinachoweza kuiongoza nchi yetu badala ya...
RAIS Jakaya Kikwete leo atafungua Kongamano la Kimataifa kuhusu Tatizo la Ukimwi katika Majeshi, litakalofanyika kwa muda wa siku nne katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC)...
HUENDA ikawa ni swali la jumla mno kuelekea uchaguzi na nini wapinzani wafanye. Ukiangalia historia ya uchaguzi, tangu ule wa wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 maswali mengi yanajitokeza...
To begin with let me just start by saying that the following is my opinion. It is neither wrong nor right but meant to ignite a serious discussion about or countries future.
I strongly believe...
Bwana EL nakuomba mwaka huu 2010 uwe zamu yako kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na niko tayari kukupa kura yangu. Sio kwa sababu wewe ni msafi sana ila una unafuu zaidi ya kaka...
Mtoto wa Amin amfagilia Nyerere
Thursday, 09 April 2009 16:29
Na Werema Wikori, Butiama
Majira
ENEO la Mwitongo jana lilikumbusha mauaji ya Vita ya Kagera na kifo cha Mwalimu...
Mheshimiwa Rais JK,Nakusihi sana tena nipo chini ya miguu yako,tuachane na mambo ya Kampeni haswa yanapokuja Maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla... Ni zaidi ya mwezi sasa Pantoni mpya...
Wadau, jana nilikuwa nikisikiliza kipindi cha JAHAZI, Clouds Fm na ndipo nikapata nafasi ya kumsikia Sophia Simba akihojiwa na Kibonde kuhusu swala la yeye kugombea mwaka huu....
Mama huyo...
MWANASHERIA Mkuu mstaafu, Andrew Chenge, leo amekana mashitaka tisa kati ya 10 likiwemo la kusababisha vifo vya wanawake wawili jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa mashitaka aliyoyakana...
TOWARDS THE SECOND MWALIMU JULIUS NYERERE INTELLECTUAL FESTIVAL WEEK
We are about to commence the Second Julius Nyerere Intellectual Festival (12 15 April 2010). Following a successful...
Mwenyekiti na katibu wa CCJ, leo walikuwa wageni wa WAPO redio ktk kipindi cha meza ya busara, nilicho kipata kutoka kwao, zaidi ya kunipotezea muda wa kuwasikiliza, ni kubaini udhaifu mkubwa wa...
taifa linaendelea kuibiwa na mafisadi wageni na wazawa, umaskini unaendelea kushamiri, amani inaelekea kutoweka mfano mara, viongozi macho yote kwenye uchaguzi ujao, je umaskini wa watanzania...
NCCR yadai CCM wameiba kaulimbiu yao
CHAMA cha NCCR Mageuzi kimeitaka CCM kuacha kutumia kaulimbiu ya Pamoja
Tutashinda wakati wa kuhamasisha uchangishaji wa fedha za kampeni zao kwa madai...
Mpango wa usajili wa wanachama wa CCM juu ya kuwa ni mpango wa kisasa lakini kwa upande wa Zanzibar mpango huu utakuwa ni tishio kwa wafanyakazi na wafanyabiashara. Litakuwa tishio kwa vile sasa...
Let see..
Nna swali MUHIMU. Linaeza kuonekana la kijinga..lakini hio haliondoi validity yake.
and the question is,,.
WHY DO WE CHOOSE COMPETITION OVER COLLABORATION?
Chukulia mfano wa...
Huu ni msemo wa wahenga, hasa unatufundisha kuwa
Motto hushabihiana tabia na baba yake ama mama yake
Raisi ndiye kiongozi mkuu kwa mfumo wa serikali ya Tanzania
Ikiwa ana watoto wengi kwanzia...
Ubepari ule wa asili kabisa una matokeo mengi mazuri na mabaya; nitawaacha wengine wayazungumzie mazuri lakini lakini itoshe miye kusema tu kuwa mojawapo ya matokeo mabaya ya ubepari ni mgongano...
Wadau JF,
Jamani nimesoma kwenye Gazeti la Mwanachi la jana 10/4/2010 kwamba huyu mama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa UWT, amepewa Ukuu wa Wilaya ya Tandahimba.
Sasa hii imekaaje,Kule UWT...
leo ccm wamezindua mpango wa kutuma pesa kwa njia ya sms, mpango huu ulizundiliwa kwa mara ya kwanza na chadema miezi kadhaa iliyopita.
kitu cha kushangaza na kusikitisha ni hii excessive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.