Ni utaratibu ambao sijawahi kuuona kwa hapa kwetu Tanzania. Imeripotiwa na vyombo vya habari nchi kuwa Raisi Kikwete aliwatuza pesa wacheza ngoma wote waliokuwa wanatumbuiza......na hali kadhalika...
WanaJF, kabla sijatoa machache yangu kuhusu huyu mkongwe (septugeanarean) ni bora mkasoma makala hii iliyotoka ktk Mwanahalisi wiki iliyopita.
NEC isisubiri uchaguzi kuvurugika
Na Mbasha...
Greetings dear friends!
It has been months since I was here last time. M has received the following documents from reliable and impeccable sources that wish Tanzanians, the media and our...
Hivi karibuni Mh. Pinda ulitembelea nchi za Asia ikiwemo India. Kwa muda mrefu umekuwa ukilalama kwamba watendaji wenzako ktk serikali wanapenda magari ya gharama kubwa kama vile Landcruiser VX na...
wakuu wenye influence kisutu tupatieni latest za kesi ya mseminari amatus liyumba, naambiwa mh. Hakimu ,kasimongo anaendelea na kusoma hukumu baada ya argument za pande mbili ktk kesi ya liyumba...
Habari kwamba mitambo ya kufulia umeme ya Dowans imeshauzwa kwa kampuni ya kigeni wakati sakata lao na Serikali ya Tanzania halijaisha ni habari za kukera, kuuddhi na zenye kukejeli uwezo wa...
Heshima zenu wakuu,
Baada ya kwikwi za hapa na pale (marekebisho ya nguvu), leo tumehitimisha kabisa sehemu ambazo tunaamini zilihitaji marekebisho ya nguvu (kwenye server). Tunasikitika kwa...
Wapendwa wanaJF mpya, mnakumbuka kuwa mh Rais wetu JK aliahidi ajira zaidi ya Milioni moja wakati anagombea urais mwaka 2005. Mnakumbuka pia kwamba kuna wakati Waziri Juma Kapuya aliwahi kutamka...
na Martin Malera
VIGOGO kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwamo wabunge machachari wanakabiliwa na hatari ya kufukuzwa uanachama kwa tuhuma za kujihusisha na Chama Cha Jamii (CCJ) ambacho...
When will we ever learn:mad:
'Tourism is a curse to us'
The Masai have been herding cattle across the great plains of Tanzania for generations, their nomadic lifestyle helping to preserve the...
2010 general election countdown: New controversy over ballot paper printing
By ThisDay Reporter
29th March 2010
Minister of State, Prime Minister's Office (Policy...
MWENYEKITI wa Chama Cha Jamii (CCJ), Richard Kiyabo, amevamiwa na kuporwa mkoba uliokuwa na nyaraka za chama hicho kinachopigania usajili wa kudumu.
Kiyabo, anadaiwa kuwa alivamiwa na watu wanne...
TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 17 Machi, 2010, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alitia saini Muswada wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi na hivyo Muswada huo...
SUBCITY - BY TRACY CHAPMAN
People say it doesn't exist
'Cause no one would like to admit
That there is a city underground
Where people live everyday
Off the waste and decay
Off the discards...
ZANZIBAR haiwezi kujengwa bila ya kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi na ushiriki wa viongozi wa Chama Cha CUF katika shughuli za miradi ya maendeleo ni mafanikio ya umoja huo.
Rais...
Wana Jamii, nimefikiri nimeona hakuna haja ya kuipa kura yangu CCM, sababu zangu za msingi ni hizi
1. Chama kisichokuwa na lengo la kuwakomboa wananchi wake kutokana na
ujinga, maradhi.
2...
Najaribu kufikiria umuhimu wa kuwa na demokrasia sijaweza kupata jibu. Kwa kuwa nchi hii inakuwa na chaguzi kila baadaya ya miaka mitano na kwa kuwa baadhi ya viongozi wengi wamekuwa wakipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.