Na Mwandishi Wetu
TANZANIA imeshapoteza Sh11.6 trilioni, ikiwa ni wastani wa Sh289.3 bilioni kila mwaka kutokana na ufisadi, ukwepaji kodi na mzunguko wa fedha haramu, kwa mujibu wa matokeo ya...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGAWAJI WA MAJIMBO NA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU WA 2010
1.Ugawaji wa Majimbo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kwa mamlaka...
Zitto awagonganisha wazee Kigoma, Geita
Na Renatus Masuguliko
19th April 2010
Wavutana kwa zaidi ya saa saa saba
Kigoma wawataka Geita wasubiri miaka mitano
Wamfananisha...
Waungwana,
Imekuwa ni ada sasa kwa wanasiasa na hasa katika Bunge letu tukufu kusisitiza aidha umuhimu wa kujipanga au kusema kuwa sasa wanajipanga au wamejipanga. Tatizo kubwa ni kuwa, toka...
Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kusoma makala hii.
Mema ya serikali yasiyostahili asante
Ansbert Ngurumo
KATIKA kufuatilia mnyukano wa nguvu ya hoja na mabavu kati ya Shirikisho la...
Naomba kupewa ufananuzi kuhusu ziara za Rais (JK) nje ya nchi.Haupiti mwezi mmoja bila Bwana Mkubwa kusafiri nje ya nchi.
Ninabaki na maswali kichwani! hivi hana watu anaowaamini wa
kumwakilisha...
Baada ya kusikia wabunge wanalalamikia sheria mbaya ndipo nimejua kuwa kuna matatizo Bungeni! Kiasi cha Spika kuwakumbusha wabunge kuwa wao ndio watunga sheria wenyewe!
- Kukataliwa sheria ya...
Na. Lula wa Ndali Mwananzela (Raia Mwema)
KATIKA kesi hii inayoendelea nchini, ambayo imedumu kwa muda mrefu, masuala makubwa mawili yanatarajiwa kutolewa uamuzi na Mahakama ya Rufani...
Juhudi za Tanzania Association UK (TA UK) na zile za Zanzibar Walfare Association (ZAWA) Za kujaribu kumpata Rais wa Zanzibar ambae pia ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ili...
Na Frederick Katulanda
Gazeti la Mwananchi
SPIKA Samuel Sitta jana alimshauri Zitto Kabwe kuachana na ndoto za kuwania ubunge wa jimbo la Geita, lakini muda mfupi baadaye kiongozi huyo wa...
Jamani mimi naamini na wengine pia tungependa kuona wenyewe badala ya kusimuliwa. Kama **** mtu anaweza kutumegea yale muhimu bila shaka tutashukuru. Pia kwenye uchangiaji itakuwa 15mins per MP...
Mh waziri wa afya
nimewiwa kusema haya baada ya muhimbili kutumia mamilion ya fedha
katika kusherekea kutimiza miaka yake kumi ama a kuzaliwa kuanzishwa nimejiuliza siku zote mh waziri wanakuita...
Tanzania leads region in illegal money outflows
Tanzania has lost $8.9 billion over the past four decades through the illicit means--meaning that it leads the list of East African states that...
Ile Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali, CAG, Ludovic Utouh, ijulikanayo kwa jina maarufu la Ripoti ya Ukaguzi, itawasilishwa rasmi Bungeni mjini Dodoma siku ya Jumanne Ijayo...
Govt admits poverty rampant in rural areas
By Polycarp Machira
18th April 2010
Minister for Finance and Economic Affairs, Mustapha Mkullo
The government has failed to...
KUNA taarifa ambazo tunazifanyia kazi kwamba Mtikila yuko mikononi mwa polisi Central amekutwa na vipeperushi vinavyodaiwa kumshughulikia KIKWETE lakini kwa kutumia udini. Amekatwa leo asubuhi...
Wadau
naomba niulize muda wa kupiga kura unakaribia, tangu nifike korea nilipewa taarifa kuwa hakuna ubalozi wa chancelor muwakilishi wa korea. Nikataarifiwa na wwenyeji wangu kuwa nikiwa na...
Tumeona wenzetu mara nyingi mmekuwa mkionekana mkifungua mjadala ama
kuona marafiki zenu hospit za serikali..nahisi hili ndilolinachangia kutothamini hosp za serikali na kuzifanya zikiwa kama...
Uki zingatia kuna wanaJF wengi tu ambao ni diaspora nadhani thread hii itagusa wengi. Swala linalo endelea sasa la dual citizenship(uraia wa nchi mbili) imenifanya nikae nitafakari jinsi haswa...
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Waislamu nchini na wapenda amani kususia bidhaa na huduma zote kutoka Uswisi.
Tamko hilo limetokana na hatua iliyochukuliwa mwaka jana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.