Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wana JF angalieni Mlimani TV muone na kusikia njaa zinavyosumbua wanasiasa wetu. Heko kwa Rioba jinsi anavyowabana mbavu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imeshakuwa ni muda sasa tangu ilipoamuliwa kuwapatia wanawake upendeleo wa kuwa na nafasi za Udiwani na Ubunge zijulikanazo kama Viti Maalum. Oktoba mwaka huu wa 2010 tunaendaq kufanya uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MTU anayedaiwa kuwa ni raia wa Uganda (Jina linahifadhiwa) anasakwa kwa tuhuma za kumteka mwanafunzi wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Chuma mkoani Tanga, Amani Mohamed (7) ambapo ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ilani ya uchaguzi ya chama chochote ni ahadi kutoka kwa chama hicho kwenda kwa wapiga kura. Kama waswahili wanavyo sema, ahadi ni deni. Basi ni wajibu wetu kama raia tunaotaka kufanya maamuzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BAADA ya baadhi ya wadau wa siasa kuikejeli Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwamba haiwezi kudhibiti ufisadi kwenye uchaguzi, Mkurugenzi wake Mkuu Dk Edward Hoseah, ametoa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wasema serikali imejitakia yenyewe Kapuya alipoulizwa akadai `nipo majuu` Hamad Rashid, kiongozi wa upinzani bungeni,Dk. Wilbroad Slaa, Mbunge wa Karatu (katikati)na Waziri wa kazi, Ajira na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda kutoa anaglizo... ikiwa unaona nimekurupuka pasipo kufikiri kuandika hii article basi niwie radhi au pengine ni uelewa wangu mdogo wa jinsi mnavyoendesha hii serikali yenu...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
CCM, inajigamba kwamba ni chama kikongwe na kwamba itabaki madarakani milele. Sina tatizo na chama hicho kubaki madarakani milele, maana hata Banda, Bokkasa na Iddi Amin, walijitangaza kubaki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi nilibahatika kwenda Tanzania mwaka jana, na niliona kwa macho yangu tatizo la foleni. Tatizo kubwa kwa mawazo yangu ni udogo wa barabara, barabara ni nyembamba sana. Tatizo si...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Chanzo Cha Habari: Gazeti la TUMAINI LETU Mmiliki wa Gazeti: Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la D'Salaam Toleo: 00302 Tarehe: MARCH 19, 2010 Ukurasa: 07 Wakati wananchi wa Philipines wakijiandaa kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Katika pita pita yangu nimekutana na habari kuwa kampuni ya Yona iliingia mkataba na kampuni ya Enterprise Homes Tanzania Ltd ambao matokeo yake yalikuwa ni kuweza kujenzi wa nyumba zenye gharama...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimekuta hii habari kwenye gazeti la Mwananchi. Habari yenyewe ni ndefu kidogo hivyo nimefupisha na kusisitiza mambo muhimu. Hivi kwa nini NEC/ CCM wanatabia ya kupuuza maoni yoyote ambayo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni kweli rais wetu Jakaya Kikwete ana mapungufu katika sekta nyingi ikiwemo ya uchumi ingawa IMF imesema uchumi wetu unazidi kuongezeka mimi sioni kama wako sahihi lakini hili la utawala bora...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali kufanya usanii rada * Yaweza kuwatema akina Chenge * Waokotwa 'vijana wa Kariakoo' Na Ezekiel KAMWAGA KESI ya "vigogo wa rada" imehamia kwa watu wadogo ikiacha watuhumiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Date::3/19/2010: Mwananchi Marekani yashupalia vita dhidi ya rushwa Na Boniface Meena SERIKALI bado inalegalega katika mapambano dhidi ya rushwa hali ambayo imechagia baadhi ya viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Kikwete anatarajiwa kutia sahihi muswada wa sheria ya Gharama za Uchaguzi "kwa mbwembwe" kama alivyoahidi. Naomba nitofautiane kwa heshima na taadhima na wale wote wenye kuikubali sheria hii...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Achunguzwa kutumia madaraka vibaya kama Yona Maswahiba zake wahaha kumuengua kashfa ya rada WAKATI kukiwa na mkakati wa kumnasua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge katika kashfa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Moja ya maeneo ya kupata elimu ni humu ndani ya JF.Na kwa kuwa elimu huombwa mimi nawaomba watu wanaojua masuala ya siasa na hata wanasiasa wenyewe wanieleze baada ya kutiwa saini kwa sheria ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna reshuffle ya mabalozi. Balozi Mwanaidi Maajar kuhamishiwa Washington, Kuchukua nafasi ya Balozi Sefue. More to come
0 Reactions
93 Replies
13K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesaini Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010 katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, katika moja ya matukio ya nadra kwa mkuu wa nchi kusaini sheria kwa mbwembwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom