Ni jambo la kushangaza sana kuona tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi TZ, vyama vya upinzani vimekuwa vikididimia wakati CCM ikizidi kushamiri na "kushinda" kila uchaguzi kwa vishindo...
Nimekuwa najiuliza maswali mengi kuhusu hizi nchi zetu za Kiafrika nakosa majibu,hivi inakuwaje tunashabikia maendeleo ya nchi za magharibi na kudharau kabisa nchi zetu,mfano mzuri ni kwenye...
Enzi zile za chekechea na darasa la kwanza (kabla ya 1980) tulisoma kwenye kitabu jamii fulani ikitafuta kiongozi:
Awe mrefu kuliko wote
Awe mlimbwende kuliko wote
Awe na akili kuliko wote
Awe...
Hakuna sababu ya kuendelea na Taifa la Tanzania kama Jamhuri (ya muungano au vinginevyo). Tanzania ni nchi dhaifu, maskini, dunia ya tatu, ambayo haiwezi kabisa kupambana na nchi za magharibi...
Napenda kuanza kwa kusikitika ninapoona mtanzania hasa mwenye dhamana kubwa kama mhariri wa gazeti linalosomwa na watanzania idadi ya kutosha akiingilia kupiga kampeni ambayo hana utaalamu nayo...
Waungwana,
Maboksi yamenishinda, narudi nyumbani na narudi kuanzisha chama. John Tendwa naomba ajiandae kwa ujio wa Mchungaji.
Chama changu kinalenga kuleta maendeleo kwa Mtanzania na si kwa...
Mussa Juma, Arusha
MKE wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa, Rose Kamili, ambaye Diwani wa CCM wa Kata ya Bassotu, wilayani Hanang, amelituhumu jeshi la polisi wilayani Hanang kutumika...
Guevara alisaidia mapinduzi Zainzibar?Wenye data naomba mtupe.
==========================================================
In 1965, Guevara decided to venture to Africa and offer his...
Kwa mujibu wa taarifa ya kiuchunguzi ya kipindi cha Newsnight BBC2,kuna habari kwamba teknolojia ya ugunduzi wa mabomu,madawa ya kulevya,nk kwa kutumia kifaa kiitwacho GT200 ni feki na tayari...
na Betty Kangonga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia sekretariati yake imeitaka Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuweka hadharani vigezo vilivyotumika kutoa mapendekezo...
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala...
Baadhi ya maneno kwenye wimbo wa salamu zako mjomba..
Umetupima viatu mwaka huu, baada ya miaka 5 utatuuliza, mlikuwa mnataka viatu gani?
Ukienda msibani, mfiwa utamjua, atakuwa amevaa tofauti...
Sadick Mtulya
SIKU chache baada ya Bunge kupitisha muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi wa mwaka 2009, wasomi nchini wamesema wabunge wawe wakilipwa kiinua mgongo baada ya uchaguzi...
Ahh well nimeshindwa kupost picha lakini theory yangu ni liloe Carpet lililonunuliwa SPAIN lililopo ndani ya BUnge lina BENDERA YA TAIFA ambayo kila kukicha wanaikanyaga
the same applies na...
Posted Date::1/2/2008
Upinzani watangaza mapambano 2008
Salim Said, MUM na Muhibu Said
Mwananchi
VYAMA vya CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na TLP, vimesema vitautumia mwaka mpya wa 2008...
Sitta amsifu JK kumteua mbunge makini
na Hellen Ngoromera, Dodoma
MBUNGE wa Kuteuliwa na Rais, Ismail Jussa Ladhu (CUF), jana ameingia bungeni kwa kishindo baada ya kuzungumza kwa mara ya...
Mwenzenu kesho kazi nyingi naomba niwatakie usiku mwema ila onyo kwa mliooa angalieni muda mwingi wa usiku msiutumie kwenye komputa wake zenu hawatafurahia. It is just a polite notice you can take...
Dalili zote kutoka Dodoma zinaonesha kuwa hatimaye mgogoro wa kiuongozi uliokikumba chama cha mapinduzi kwa takribani mwaka mmoja sasa utamalizwa kwa kutafuta njia ya upatanisho kati ya makundi...
WIKI hizi chache zilizopita nimeamua kuvunja mwiko ambao mara kadhaa tumekumbushwa kuwa tusiuvunje. Katika makala hii naendelea kuvunja mwiko huu.
Kama mtu nisiyejali mikwara na kejeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.