(kutoka Gazeti la Habari Leo)
WANAHARAKATI wa usawa wa jinsia, haki za binadamu na demokrasia, wamedai Bunge limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuisimamia Serikali kwa kuridhia kuzika masuala...
Walter Sawe
TANGU Serikali ya Awamu ya Nne iingie madarakani (2005), nimekuwa nikifuatilia staili ya Chama tawala Cha Mapinduzi (CCM), kinavyotumia njia mbalimbali kujisafisha.
Hakuna...
Awamu ya nne ndiyo hiyo imeisha. Katika michezo(inabidi nitumie mfano huu) kila msimu ukiisha kuna tuzo mbali mbali wattu hupewa. Saa nyingine pia hata wale waliyo fanya vibaya wana kuwa na tuzo...
Watu 17 wa Ukoo Mmoja wakiwemo watoto wadogo, wameuwawa kwa kucharangwa mapanga usiku wa manane wa kuamkia leo huko Musoma.
Kwa mujibu wa Radio One Breaking News asubuhi hii, mauaji hayo...
VIGOGO wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wenye ubavu wa kumvaa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, wataanza kujulikana Julai Mosi, mwaka huu, takriban siku...
Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria...
Wakuu,
Habari za leo?
Katika HOJA mbalimbali hapa tumejadili kwa kina kuhusu matatizo mbalimbali yanayoikabili nchi yetu bila kusahau ufisadi uliovuka mipaka.
Kama ni kweli kuwa CCM...
Ufaransa yatoa Sh 100 mil kusaidia Kilosa
Fredy Azzah (mwananchi)
UFARANSA kupitia ubalozi wake nchini, imetoa Sh100 milioni, kuwasaidia watu walioathiriwa na wa mafuriko wilayani Kilosa...
Nipashe:
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Bw. Daniel Yona, amejitetea kuwa hakukataa kuhojiwa na Kamati Teule ya Bunge ya kuchunguza zabuni tata ya kampuni ya Richmond, kwa maelezo kuwa...
Kambi za Lowassa, Sitta zadaiwa kuipasua CCM
HERI wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu. Huo ni usemi katika kitabu kitakatifu cha Biblia.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Are these people like Medusa? how can they even function with this level of corruption? Its as if somebody out there is dreaming about a newer way of siphoning the public money at warp speed! From...
Where is the outrage?
picha iko hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/zahanati-ya-hekima-matatani.html#comments
Baadhi ya vifaa vya Zahanati ya Hekima iliyopo katika mtaa wa...
I have been wondering (I tend to do that a lot) about the most recent aid package from the US; I mean the almost 700 Million Dollars from the MCA that is intended for infrastructure development...
Edward Kinabo
NDUGU wananchi, nimetoa mchango wangu wa fikra kwa muda sasa, nikijaribu kuchochea wajibu na haki za raia katika kufanikisha ukombozi mpya wa taifa hili dhidi ya ujinga...
Mkandarasi aliyepewa zabuni ya kujenga barabara ya bagamoyo- msata yenye urefu wa km 64, ambayo ni kiungo muhimu kati ya dsm kwenda mikoa ya kaskazini kupitia bagamoyo sasa amefilisika rasmi...
Msekwa asema chanzo cha mgogoro ni Richmond
na Mwandishi Wetu
HATIMAYE lile kundi la wabunge wapambanaji wa vita dhidi ya ufisadi, limesambaratishwa na kuondoa tofauti zilizolitikisa...
Jana tulimsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM (Tanzania Bara) Pius Msekwa akizungumza na waandishi wa habari Dodoma kuhusu usuluhishi wa makundi ndani ya Chama Tawala. Pamoja na mengine Mzee Msekwa...
NImesikia juzi ati Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amesema kuwa yuko tayari kujiuzulu endapo uongozi ulio juu yake utaamua afanye hivyo kufuatia wizi wa vocha za mbolea zenye thamani ya Tsh bilioni 6...
I am concerned that Tanzania's 'development partners' may be pumping hundreds of millions of USDs of their taxpayers money into the corrupt purchase of the 2010 presidential and parliamentary...
Na, Antar Sangali, Bagamoyo [www.bongotz.com]
Ili kuepuka utata na kuweka mazingira bora ya kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki visiwani, hatimaye kila pande kisiasa ziridhike na matokeo, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.