juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza...
Je umeishia wapi uchunguzi wa kifo cha Kombe aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama na Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime aliyefariki dunia kwa ajali ya gari.
Tunaomba DATA
Mwananchi wa Mwanza,Bukoba,Sumbawanga,Songea ,Shinyanga,Arusha etc anajali nini na Zanzibar?
Ningekuwa mbunge wa SISIEM nawakilisha majority ya Wabara,ningeomba hoja ya kuvunja huu the so called...
...maneno haya yana ukweli wowote au ni usanii tu!?
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Date::2/10/2010
Membe: Ama zao ama zetu waliohusika rada
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa majaji jana kuwa kushiriki uchaguzi kama mgombe binafsi ruksa.
Nategemea wiki hii kutangaza kugombea jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya mgombea binafsi...
wakati juzi juzi rais au m/kiti wa chama cha chukua chako mapema alikuwa anafungua matawi, kuna mengi ya kujiuliza pale alikuwa kama rais au m/kiti kama alikuwa nia kama mwenyekiti zile gharama...
ccm waache kujidai kuja na mijadala yao bungeni kuhusu fedha za uchaguzi kwakuwa utajiri waliyo nao siyo wao nimali ya umma ila wametumia udikiteta kujimilikisha na wamevunja katiba ya nchi...
Kwa mimi ninae amini Mungu yupo na ana nguvu....
Siku zote huwa naamini mtu akifanya maombi maalum bila kujali dini yake, Mungu humsaidia huyo mtu.
Lakini ni lazima huyo mtu ajifunze yeye...
Wakuu nawakaribisha wote wenye nia ya kugombea ubunge wajitokeza hapa wakielezea nia yao, vyama na majimbo yao ili Great Thinkers tuweze kusaidiana mawazo na mikakati kuhakikisha ndugu hawa...
Haya Moshi kumekucha.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Moshi Mjini kimefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Kaloleni iliyoko pembezoni mwa mji wa Moshi.
Kata hiyo...
http://www.youtube.com/watch?v=ktTFtqK_XwQ&feature=player_embedded
The White House Press Secretary just openly mocked Sarah Palin --and he delivered the blow with the palm of his hand...
Mimi nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii dhana ya Baba wa Taifa na hasa kwa nchi yetu ya Tanzania. Ninavyofahamu mimi mtu anayepewa heshima ya kuwa Baba wa Taifa ni yule muasisi wa mwanzo ambaye...
Moja ya sera rasmi mpya za Chadema zilizotangazwa hivi karibuni ni kutohamishia makao makuu ya mji mkuu wa kiserikali na kibiashara kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma hayo yalisemwa jana jijini...
Nimepata taarifa kwamba huko Kyela baada ya ndg Mwanjala kutangaza kugombea ubunge akipambana na Dkt Mwakyembe, hali si shwari kwa upande wa Kambi ya Dkt Mwakyembe hasa kwa upande wa vijana...
I think its about time tukaamua kama chombo kwenye uchaguzi wa 2010 tunasupport Vijana au wazeee
by Vijana simaanishi akina calibr ya akina Lawrence Masha (alishapata nafasi na alishindwa na si...
Nimekutana nayo hii huko KwanzaJamii.Mwandishi ni Profesa Joseph Mbele
Mwenyekiti
Hoja zangu zitaingiaje vichwani mwa watu wenye akili finyu, wasiojiamini, ambao hata kujitambulisha...
Tunaposema viongozi wengi wa CCM wamechoka kuongoza si kwamba tuna chuki binafsi hebu angalia kauli hizi za viongozi wake
"Jamani jitahidini hata watu waone malori ya mchanga yanaenda pale ili...
Wadau naombeni kupata fafanuzi wa huu muswada ulopitishwa hivi karibuni.
Ndani ya muswada huu kuna kipengele kinasema kwamba;Mtu yeyote ataketumia line ya simu ambayo haijasajiliwa baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.