DAR ES SALAAM is the eighth dirtiest city in the world, according to the international rating company NYC Partnership Consulting.
In the firm's rating of the 30 dirtiest cities around the globe...
Zigo la rushwa ya rada kichwani kwa Chenge
· Kampuni iliyouza yakiri kutumia rushwa
· Ni BAE, yatozwa faini ya dola milioni 400
· Mpira warudishwa kwa serikali ya Tanzania
Kampuni ya British...
Balozi wa Marekani hapa nchini Alfonso Lenhardt amesema Serikali ya Marekani imeridhishwa kwa kiasi kikubwa na kasi ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa yaliyofikiwa na Tanzania kiasi cha...
BAE Systems is to pay a fine of $400m (£250m) after pleading guilty to a charge of conspiring to make false statements to the US government.
The UK's largest defence group has also reached...
Ndugu zangu Wahehe wana msemo; Isenga imbofu na isenga indenyoofu. Kwamba ng'ombe kipofu ni sawa tu na ng'ombe aliyevunjika mguu, wote watakufa njaa. Ng'ombe kipofu hawezi kuyaona majani, na yule...
Bulyanhulu in Kahama owned by Bulyanhulu Gold Mine Limited - 5th August
1994 - operations began in 2001- Capacity 450,000 Ounces
Geita Gold Mine in Geita owned by Anglogold-Ashanti from...
SERIKALI imekiri kuwa mpaka kati ya Tanzania na Malawi ni suala lenye utata unaosababisha mvutano unaohitaji ufumbuzi wa haraka.
Kukiri huko kulifanywa jana bungeni na Waziri Mkuu Mizengo...
Namtaza JK akihutubia wana-CCM kwenye maadhimisho; kwakweli hiii pia ni moja ya hotuba chache nzuri za huyu jamaa, sikumbuki katika miezi kadhaa iliyopita kama ameweza kutoa hotuba ya namna hii...
Sisemi kwa maana ya kuwatukana lakini kutokana na uzoefu wangu katika mambo ya afya ya akili (mental health) naweza kusema pasipo shaka kabisa kuwa kuna watu wanahitaji kupimwa na kupatiwa...
Kwanza naamini kabisa Wakurugenzi katika taasisi za Utangazaji za UMMA aidha hawajui wajibu wao katika uendeshaji wa vyombo vya umma hapa nnchini.
Nasema hayo kwasababu Mlimani TV na TBC Taifa /TV...
..naona Mwanasheria Mkuu Jaji Werema kaamua kununua kesi ya Sophia Simba.
..Jaji Werema amesemai:"Kwa nini wanamsakama Waziri Simba, wanisakame mimi siyo Waziri."
AG ahofu nchi kuwa na Rais...
Wakuu, "tulitarajia kuifunga" JF kwa muda wa masaa takribani mawili hivi, kwakuwa kuna kitu tunaweka sawa. Lakini kwa sasa kila kitu kitaendelea kama kawaida, kunaweza kuwa na errors, tafadhali...
2010-02-04 23:52:00
Concern as banks' pending cases hit Sh1 trillion mark
President Jakaya Kikwete with Chief Justice Augustino Ramadhani (left) and Speaker of the National Assembly Samuel Sitta...
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Bwana Pius Msekwa ameelezwa kutaka Spika wa bunge Mheshimiwa Samwel Sitta achukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na wabunge wote wanaounga mkono vita vya...
Na Waandishi Wetu
MWENYEKITI wa TLP, Augustine Mrema amesema Chama Cha Jamii (CCJ) kimeanzishwa ikiwa ni matokeo ya kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Joseph...
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametaja nguzo kuu sita ambazo amesema kuwa zikitekelezwa ipasavyo zitaharakisha kasi ya maendeleo ya Bara la Afrika...
Date::2/4/2010JK acharuka, adai wenye nia mbaya na CCM wang'okeRamadhan Semtawa
Mwananchii
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wanaokipeleka chama...
Kwa vile kuna kundi la watu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mtu mwingine yoyote (ndani ya CCM au nje yake) ambaye anaweza kuliongoza Taifa letu na kuwa Tanzania bila ngwe ya pili ya Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.