Katika hali ya kufurahisha sana, muda mfupi uliopita Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeridhia kwa kauli moja (100%) kuchomolewa kwa mswada wa usalama wa kuunda Baraza la Usalama wa...
Nashangaa mpaka leo European Union haijawafungia mafisadi wa Tanzania kusafiri nje ya nchi,kwa kuwanyima visa.Wakati elites wa Kenya hawasafiri tena, nashangaa EU hawafanyi hivi TANZANIA?aU...
Wanajamii;
nimeamka na kukuta kwenye news headline mambo ya Richmond, Dowans, EPA, BOT wtin tower, kipindupindu, kingunge bado mbuge, manji bado ni mwanachama wa nguvu CCM, rostam hajafungwa...
Na Saed Kubenea
KUNDI la vigogo waandamizi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) limepanga kujiondoa ndani ya chama hicho iwapo masharti yake hayatakubaliwa, MwanaHALISI limeelezwa.
Kama...
UHAI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa u mikononi mwa wabunge wa chama hicho, ambao wametangaza vita dhidi ya chama chao na serikali, na kukiingiza chama tawala katika wakati mgumu pengine kuliko...
JESHI la polisi Mkoa wa Rukwa limewafukuza kazi askari wake wawili kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya mmoja kutishia kumuua mwenzake kwa kumpiga risasi wakati wakiwa lindoni.
Kamanda wa Polisi...
WIKI chache zilizopita rafiki yangu wa muda mrefu, mtumishi wa Mungu, Dk. Norman Sigalla ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro alinitembelea ofisini kwangu kwa lengo la kutaka...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kama yupo mtu anahisi anayo njia sahihi zadi ya kuleta amani na umoja visiwani Zanzibar serikali inamkaribisha mtu huyo kufanya hivyo na suala lake...
Nathubutu kukubaliana na mtaalamu wa sayansi ya siasa Harold Laswell katika taaluma hiyo. Mwanazuoni huyu alikwisha kusema maana halisi ya siasa na wanasiasa, kwamba Politics is the Art of...
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akimkaribisha Ikulu Zanzibar kwa mara ya kwanza Katibu Mkuu wa CUF...
Source,Habari Leo!!!!
Tanzania yaishukuru Libya kwa Msaada
TANZANIA imeishukuru Libya kwa misaada yake ya kibinadamu ambayo imetoa kwa Tanzania kusaidia watu walioathiriwa na athari za mvua...
Dailynews Reporter in Dodoma,
28th January 2010
TANZANIANS may soon witness trains moving as fast as 120 kilometres per hour as the government mulls introduction of fast moving locomotives in an...
Nimekuwa hapa Unguja toka Alhamisi. Nimekuta hakuna umeme na katika uliza uliza yangu nimeambiwa kuwa hakuna mategemeo ya kurejesha umeme hadi mwishoni mwa mwezi Februari. Inawezekana serikali...
Ndugu zangu naomba minieleweshe hasa matumizi ya neno hili kustaafu katika siasa zetu hizi za kimasikini, kwa nini kiongozi anaye ondoka madarakani kwa kashfa kabla ya kumaliza muda wake...
Rais Kikwete akiwa safarini kwenda Davos, alisimama LIbya na kukutana na Ghaddafi na kumpa shukrani kwa msaada uliotolewa na Libya kujenga nyumba kwa familia zilizoathirika kwa mafuriko.
Katika...
Wakuu, habari!
Ni wazi kuwa baadhi yetu humu jamvini tumeonesha ama tuna nia ya kugombea ama Ubunge au Udiwani na nafasi nyinginezo na wengine bado tunatafakari kama tugombee ama la. Wengi wetu...
Waziri Simba: Tupo makini, tutawashughulikia
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Sophia Simba, amesema, si kweli kuwa Serikali inachelewa kutoa uamuzi au haitoi uamuzi sahihi kuhusu...
Baada ya kutafakari kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi kwenye ka- Nchi ketu haka maskini sana ulimwenguni (wa mipango) nimeona haya mambo ni muhimu sana kuhusiana na uchaguzi huo. Itikadi, Sera...
NAIBU Gavana wa Benki Kuu (BoT), Juma Reli (54), ameshindwa kuithibitishia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuhusu hasara iliyopatikana katika mradi wa ujenzi wa minara pacha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.