..kwa kweli hata mimi namuunga mkono Mh.Selelii ktk madai yake haya.
..haijalishi kama wa-Tanganyika wanataka kumiliki ardhi Zenj au la, sote tunapaswa kuwa sawa ndani ya Jamhuri ya Tanzania.
MP...
Mara nyingi sana tumeshuhudia vurugu na machafuko yaliyopoteza maisha ya watu wakiwepo watoto wagodo wasio na hatia katika nchi zetu hizi za Africa. Machafuko na vurugu hizo yanaambatana na mambo...
Rejea maoni yangu ya jana kuhusu hoja iliyoanzishwa na kishoka ya ama kuwa na uchaguzi mwakani au la. Binafsi, sikubaliani na wazo la Mbowe kugombea ubunge huko Hai. Huyu ndiye aliyekuwa mgombea...
Wakuu,
Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo:
1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya.
2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini...
Mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela, amevunja ukimya na kutangaza kuwa atagombea tena katika nafasi ya ubunge kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao na kulitetea jimbo lake.
Alisema hayo jana...
Ngawaiya atangaza kumvaa Ndesamburo
Daniel Mjema, Moshi
BAADA ya kukaa nje kwa kipindi kimoja, mbunge wa zamani wa Moshi Vijijini, Thomas Ngawaiya sasa anataka kurudi tena bungeni, lakini...
Mojawapo ya hofu nilizonazo ni kuwa Kikwete hatimaye anaweza kuwa Gorbachev wetu. Yawezekana akaja na mawazo ya Perestroika anapotaka kugombea mara ya pili na watu wakakubali na matokeo yake...
Kwa wale wanaokumbuka tulianza sisi (watu wa TPN, JF, n.k) kuanzisha harambee ya kuchangia Chama cha Msalaba Mwekundu kufuatia mafuriko ya Kilosa na sehemu nyingine nchini tukiamini kuwa serikali...
Sitta na Lowassa wagongana tena
Source Raia Mwema Januari 27, 2010
Kamati ya Mwinyi yawashindwa
Ujasusi watumika kuwinda vigogo wa CCJ
KIWEWE cha kuanzishwa kwa Chama Cha Jamii (CCJ)...
SEPTEMBA 15 mwaka 2009 Tanzania iliungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia duniani.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa lakini Tanzania ilisifiwa kuwa imekomaa kidemokrasia...
Leo Waziri husika amelitaarifu Bunge kwamba Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi utajadiliwa na kupitishwa katika mkutano wa bunge unaoendelea na tayari kanuni imeshatenguliwa kuruhusu...
7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month
By Dominic Nkolimwa; 25th January 2010
Muhimbili National Hospital
Health and Social Welfare ministry is set to handover the...
JF,
Wakati huo sikuwa nafuatilia sana mambo ya siasa, lakini kuna kipindi nikapata kujua kwa juu JUU kuwa kuna Group moja ndani ya bunge lilikuwa linadai tanganyika yetu - hili lilikuwa...
Habari tulizozipata muda mfupi ni kwamba maofisa sita wa Halmashauri ya wilaya Bagamoyo wametimuliwa kazi na WAZIRI MKUU Mh. Pinda leo hii kwa kosa la ubadhirifu wa mali ya umma, na kutojali kero...
Ukisoma hapa chini utaona kuwa serikali inakumbuka mchango wa PM wawili kati ya wote na hilo limewekwa wazi kwenye website ya serikali.
Swali je? Warioba , Salim hawakuacha kitu cha kukumbukwa...
Tatizo linakuja Serikali inapiokataa au kuona ina haki ya kutotimiza yanayotakiwa na wawakilishi wa wananchi, je hiyo serikali kweli ni ya wananchi au ya Mafisadi.
Hii inafuatia tamko la serikali...
Toka mwaka 2006 Tanzania imekuwa nchi ya kusikiliza habari za migongano ya kisiasa baina wabunge na viongozi kadhaa wanaopenda kutangazwa na vyombo vya habari.
Wametokea watu ambao wana kiu...
SHINIKIZO lililokuwa likitolewa na Chama cha Wananchi (CUF), kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume aongezewe muda wa kuongoza...
Taarifa ya Maendeleo ya Kuchangia Wahanga Wa Mafuriko.
Mtandao Wa Wanataaluma Tanzania (TPN) Kwa kushirikiana na www.issamichuzi.blogspot.com na www.jamiiforums.com na kampuni ya Push Mobile...
Mwaka 2010 CCM itashinda kwa sababu ya ujanja na pesa.
Mawakala wa vyama vya upinzani njaa tupu, wagombea wa udiwani na ubunge wanaweza kujitoa au kufanya sabotage
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.