na Deogratius Temba
KIKAO cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam, kimeikwamisha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu kujadili utendaji hafifu wa Kampuni ya...
Laxity in vehicle inspection costs govt 12bn/-
By Felister Peter
23rd January 2010
BS given three months to ensure all car imports screened locally
Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
Sasa kusema serekali inapuuza maagizo ya Bunge si ndio kusema kama unapuuza matakwa ya wananchi.Ikiwa Bunge ndio linawakilisha wananchi, na wanapigia kelele wabunge ndio kilio cha wanyonge na...
Mbunge wa Maswa, John Shibuda (CCM), amebadili msimamo wake na safari hii ameibuka na kumpigia debe Rais Jakaya Kikwete.
Akizungumza wakati wa ziara ya Rais Kikwete mkoani Shinyanga juzi, Mbunge...
Uteuzi wa Wagombea upo katika ngazi mbili: Uteuzi wa Wagombea katika Vyama na Uteuzi wa Wagombea katika Tume ya Uchaguzi. Uteuzi wa ndani ya vyama unasimamia na katiba, kanuni na taratibu za vyama...
SHEIKH YAHYA AMETUMWA NA NANI?
KAMA kuna watu walioibua mijadala mizito kutokana na kutoa hoja mufilisi katika kipindi cha mwaka jana miongoni mwao ni Sheikh Yahya Hussein aliyetabiri...
Ndugu wana JF, sijaona thread yoyote inayozungumzia hoja ya mgombea binafsi. Naona hoja hii ina maana kubwa sana kwa watu wenye kutaka kuingia kwenye siasa ila wanakwamishwa na mambo ya vyama...
KWA kuwa siasa (nikimaanisha siasa safi) ni hitaji muhimu la maendeleo kama alivyowahi kusema hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere; basi uendeshwaji wa uchaguzi (kwa maana ya uchaguzi huru...
Na Sadick Mtulya
Mwananchi
Januari 19, 2010
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imepanga keshokutwa kuwa siku ya kumwita gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
Nimetaarifiwa kuwa Muda si mrefu rais JK ataingia hospital ya bugando mwanza kuwaona majeruhi wa ukerewe na wale askari waliopata ajali shinyanga.
Yeyote aliyekaribu na maeneo hayo atupe...
viongozi wetu wanatutisha sana kuhusu kenya wanatuambia tutakua soko la kenya lakini hawatutishi kuhusu uchina, ki takwimu mwaka jana tuliuza bidhaa kenya zaidi ya walivyouza kwetu kwa takribani...
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo...
Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU
Daniel Mjema,Moshi
MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa tuhuma za...
Na Sadick Mtulya
HATIMAYE Pascal Mnaku, mlinzi wa kampuni ya Ultimate Security aliyepambana na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kwenye mashine ya kuchukulia fedha (ATM) jijini Dar es...
ndg wanajamii na jamii kwa ujumla mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi nakunakila dalili za takrima za wazi kabisa so ushauri wangu ukipewa khanga pokea ukipewa fulana pokea ukipewa pesa pokea yani...
Wakati wa Kampeni Jakaya,ili kuteka vijana,ambao ndio wapiga kura wengi alitoa ahadi chongo juu ya ajira.Akaahidi ajira milioni moja!
Kwanza ahadi yenyewe haieleweki! Ukifuatilia kwa mujibu...
Na Exuper Kachenje
Gazeti la Mwananchi
IKULU jana ilitoa taarifa ya kumuomba radhi mkurugenzi wa wilaya ya Ngorongoro, Kayange Jacob baada ya Rais Kikwete kukataa kumkabidhi gari la wagonjwa na...
Posted Date::4/22/2008
Rudisheni nyumba zote za serikali
Na Prof. Abdallah J. Saffari
Mwananchi
HABARI kubwa katika ukurasa wa mbele wa gazeti moja la kila siku, Aprili 5, 2008 ilisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.