Sentence case: Kilio chetu kwako, Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.
Sisi wananchi wa Musoma Vijijini, Tarafa ya Njanja Majita, tunapenda kuleta kilio chetu...
Bunge latupa taarifa za mashirika ya umma
na Deogratius Temba
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mashirika ya Umma, imekataa kupokea taarifa za mashirika matano ya umma kutokana na...
NI miaka miwili sasa tangu nilipomsifia Balozi Ali Abeid Karume (Balozi Karume) kwa hatua yake ya kutangaza kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.
Wakati akiwa nchini kwa kazi maalum ya...
NGUVU ya Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, imeanza kukitikisa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na sasa kimeahirisha kikao cha Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu (NEC) ili kukabili mmeguko wa wajumbe...
CCM Zanzibar sasa washiriki maandamano ya CUF
Maelfu ya wafuasi wa chama cha CUF na CCM Zanzibar wakijumuika katika maandamano ya kuunga mkono kauli ya katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif...
Nikijibu hoja ya kuhusu Rafiki yangu January Makamba kwenda Bumbuli kutoa magari, kuna mtu alitoa kauli na kuainisha kuwa January, Baba yake Mzee Makamba ni mtu mwenye ushawishi Serikalini...
Huyu Wasira kadata, yaani, sababu anayosema kuwa hataki kuachia madaraka kwa vijana ati ni vijana wanakula bangi! Nchi kibao wanakula mjani; Holland kule wanakula mjani, Jamaica na sehemu kibao...
madeye kugombea ubunge arumeru magharibi?
Mkurugenzi usimamizi wa rasilimali wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni kamanda wa umoja wa vijana CCM wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mlezi...
Rostam, Chenge, waonyesha jeuri ya fedha kwa John Cheyo
Na Anceth Nyahore
18th January 2010
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na Mbunge wa Musoma...
Mbiu ya kila siku ya CCM ilikuwa ni kujivunia utulivu na amani miongoni mwa watz,lkn leo hii watz wanauawa kila siku na majambazi bila mikakati yeyote endelevu toka serikalini hasa wizara ya Mambo...
Date::1/18/2010
Exuper Kachenje na Sadick Mtulya, Mwananchi.
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema wakati umefika wa kumpunguzia rais majukumu ya kichama ili awajibike zaidi katika kazi...
Wakuu, habari za mwisho wa wiki. Natumai mambo yalienda vizuri.
Nakumbuka hoja ya Zitto ya kusema kwamba Pinda alikuwa akilia akiwa Mkuu wa serikali pale alipoulizwa Bungeni kutoa ufafanuzi...
1. Kuna baadhi ya wanasiasa waliowahi kupanda chati sana kisiasa na baadaye kuporomoka kwa kupoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa sana! Mfano wa wanasiasa hao ni Augustine Lyatonga Mrema. Huyu ni...
Hawa CHADEMA wamekata tamaa ya kuunda serikali hata kabla ya mpambano wenyewe? Afadhali chama wangemwachia Zitto kumbe.
Chadema yapania kunyakua majimbo 80
Daniel Mjema, Moshi
CHAMA cha...
Wakuu,
Kutokana na ujuzi alionao na umuhimu wake katika taifa letu, tumshauri Profesa Baregu aanzishe taasisi ya BAREGU FOUNDATION FOR PEACE AND DEVELOPMENT (BFPD). Naamini wengi tutamuunga mkono...
Kikwete: Tutazirudisha baadhi ya nyumba za serikali zilizonunuliwa
By Habari Tanzania | Published 10/3/2006.
RAIS Jakaya Kikwete, amesema serikali yake imefikia uamuzi wa kuzirejesha baadhi ya...
Ni jambo la kushangaza kuona Mtanzania Halisi ambaye amewahi kushika madaraka katika serikali ya SISEMU leo hii kumshambulia Mbunge Anne Kilango kwa vita dhidi ya VISADIZ.
Naamini anatumia haki...
Wanasiasa na Wanasheria, je, inawezekana kuanzisha chama 'kipya' cha kisiasa cha upinzani kiitwacho Jumuiya ya Uzalendo wa Kiafrika, yaani, Tanzania African National Union (TANU)?
1. Tumesikia mara kwa mara kwamba baadhi ya Wabunge, hasa wale wanaodai kupambana na ufisadi kulalamika kwamba kuna mafisadi wanaomwaga fedha majimboni mwao kwa nia ya kuwang'oa.
2. Hao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.