I got this paper from a colleague and went thru it, thought might be of great use for all JF members and visitors and probably we might have a strong dialogue from this research paper...
MILANGO ya neema imefunguka kwa wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Kila mfanyakazi ataweza kukopa kati ya Sh 100milioni na Sh 30milioni kulingana na wadhifa wake kwa ajili ya ujenzi wa...
Rais Karume ndio kwanza amemaza kuhutubu sherehe za Mapinduzi Zanzibar kutokea kisiwani Pemba.
Kwa maoni yangu, its the best ever tangu nimekuwa nikimsikiliza Mheshimiwa huyu huko nyuma...
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, anafaa kuiongoza Tanzania.
Rais ana dhamira ya kweli ya kuleta maisha bora kwa kila mtanzania. Maisha bora yatachelewa lakini yatapatikana.
Rais Jakaya Kikwete...
HERI YA MWAKA MPYA: MWISHO wa mwaka ni wakati wa kutafakari tulikotoka, tulipo na tunakotaka kwenda katika mwaka mpya. Ni kipindi muhimu kwa taasisi na hata watu binafsi kufanya tathmini na...
THE National Executive Council (NEC) of the ruling NRM party yesterday endorsed President Yoweri Museveni as its 2011 presidential candidate and resolved to canvass support for the partys...
Mwandishi na msambazaji wa vitabu nchini, Bwana Nyambari Nyangwine, kwa siku nyingi amekuwa akiendeleza harakati zake za kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Tarime kupitia CCM. Na kundi la...
Just wondering out loud! Mafuriko ya last week yanatishia Taifa kuwa na mini budget na woga kibao na kuomba wahisani, je tukikumba na tetemeko baya kama la Haiti au Tsunami la nguvu tutafanyaje...
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of...
Na Hapiness Katabazi: Tanzania Daima
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila ambaye ametupwa lupango baada ya kufutiwa dhamana kwa kosa la kushindwa kujiheshimu...
Wakuu wa Jamvi la Siasa,
Naomba muitazame hii video ya wabunge/wanasiasa wa Kenya na jinsi
wanavyoendekeza uhuni. Iwapo hawa nd'o wawakilishi kutoka Kenya basi
hata hio EAC wanaweza wakaenao...
WanaJF
Naomba niwape mrejesho muhimu kuhusu mchakato wa majadiliano ya miswada ya sheria ya uchaguzi unavyoendelea.
Mtakumbuka kwamba Desemba 11 Waziri Mkuu alichapisha kwenye gazeti la...
Ndugu wanaJF, najua mada hii siyo siasa lakini bado ina maudhui ya siasa, hivyo nimeamua kuiweka hapa badala ya kuipeleka kule kwenye hoja mchanyiko au kwenye udaku.
Nitatoa background...
An Open Letter to Edward Lowassa: Silence can never be misquoted - a true friend
To my friend, Mr. Edward Lowassa,
Here's a memo to you regarding the recent historic event of our nation...
WanaCCm wa shinyanga wameshatangaza kuwa Kikwete ndio mgobea pekee wa CCM mkoani humo according to Katibu wa CCM mkoani humo ,Mohamed Mbonde!Tatizo kubwa la shinyanga na mikoa mingi ,watu kama...
Miaka ya nyuma Chama cha Wananchi, CUF kupitia viongozi na wanachama wake mbalimbali kilidai kwamba Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ni UVAMIZI kwa kuwa yalifanywa na watu wasiokuwa wazanzibari...
Ujumbe toka kwa Tundu Lissu: "Muswada wa Matumizi ya Uchaguzi hauna malengo ya kuzuia fedha chafu katika uchaguzi na wala haujadaiwa hivyo na walioutunga. Hakuna kifungu hata kimoja kwenye Muswada...
The NEC Member CCM, Nape Nnauye refuted the claim made by CHADEMA's John Mnyika that there is a contract between politicians and the voters during elections. The claim was made during "This Week...
Ni katika utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua wengi sana tunahitaji mabadiliko ya hali ya kisiasa,kiuchumi,kijamii na hata ya uongozi katika nchi yetu ye Tanzania.
walio madarakani, na wale...
Govt in talks with the World Bank in a bid to close the possible financing shortfall
By The Citizen Reporter
Jan 10, 2010
The government may be forced to seek supplementary financing for its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.