Wadau, Serikali imetangaza rasmi kusimamisha usafiri wa reli ya kati kwa muda wa miezi sita. Kama hiyo haitoshi, nimepata taarifa kuwa hata usafiri wa mabasi kutoka Kigoma kwenda Dar na mikoa...
Rushwa ni fadhila zitolewazao au kupokelewa ili kutokee upendeleo fulani. Zamani sana ningali shule ya msingi nilikuwa nimeakaririshwa ahadi, imani na madhumuni ya TANU; mojawapo ilikuwa inasema...
Wakati watanzania bado tunabishana juu ya vitu vidogo wenzetu wanajiandaa kkwa ujio wa EAC. Cha kushangaza sijasikia hata kiongozi mmoja wa upinzania akizungumzia hili suala , ningependa kujua...
Wakati akiwahutubia wananchi kupitia salamu zake za mwisho wa mwaka, rais Kikwete alitoa hotuba iliyoonyesha kuwa hali mambo si mbaya sana nchini. Hotuba yake ilionyesha ingawa kuna matatizo ya...
Asalaam Aleykum,
Niko ndani ya ukumbi wa Hoteli ya Bwawani hapa Zazibar, nitakuletea yanajiri kwenye hii siku ya kwanza ya Mkutano wa Redet, unaofanyika Zanzibar kwa mara ya kwanza. Unatarajiwa...
Mheshimiwa Rais wangu, lazima nielze wazi kwamba angalau hadi hapa ulipofikia, nimeridhishwa na utendaji wako haidhuru kwamba kuna mapungufu ya hapa na pale! Wapo wanaukupinga, na wapo...
waziri Hamza wa zanzibar leo kwenye Tv anasema zanzibar inastahili ipewe share ya 40% kwa sababu sheria inasema hivyo.
jee huu ni mgogoro mwengine ktk muungano?
jamaa anasema waziri magufuli...
8th January 10
CCBRT: Tumetimiza vigezo vyote vya usajili
Richard Makore
Hospitali ya CCBRT imesema imekidhi masharti yote ya usajili ambayo yanaiwezesha kutoa huduma hiyo kwa jamii.
Kauli...
Mhe Edward Lowasa akiwa katika mikutano ya kuhamasisha maendeleo katika Jimbo lake. Picha hizi ni harakati zake katika Kata ya Lolkisale tarehe 16/12/2009.
Huu ni mkutano uliotia fora wiki hii.
Wakati wananchi wake hapo juu wanahangaika pa kula, kulala na afya zao!...
(Picha zote toka kwa Michuzi)
Hoja imejengwa humu na watetezi wa "majanga ya kitaifa hayazuii Rais kwenda kuburudika"...
Nimesoma habari kuwa Jeetu Patel ameshinda zabuni ya kuleta matrekta yenye thamani ya bilioni 50 toka ambayo ni mkopo wa serikali ya India kwa Tanzania. Mkopo usio na riba. Sikuelewa hapo inamaana...
Nilikuwa najiuliza kuwa huyu jamaa ambaye alikuwa mahiri katika usomaji wa Taarifa ya Habari na Matangazo ya Mpira yu wapi siku hizi na nikadhani kuwa kaenda shule kumbe naye amaejiunga na Redio 5...
Imeandikwa na John Nditi, Morogoro;
Tarehe: 30th December 2009
MKUTANO Mkuu wa Uchaguzi wa Chipukizi taifa umemchagua kwa kishindo mtoto wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya...
CCM yaweweseka kwa Slaa
Na Waandishi wetu
6th January 2010
B-pepe
Chapa
Maoni
Dk. Wilbroad Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA
Macho ya Watanzania yakiekelezwa kwenye...
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi...
na Chesi Mpilipili
KHERI ya Mwaka Mpya. Kwenye toleo la gazeti hili nambari 113, Desemba mwaka jana niliandika kuhusu sheria zetu za nchi zinavyoelekea kupindishwa ili kukidhi imani zetu za...
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika...
Wakuu,
Mojawapo ya nadharia za kihistoria ni kutazama ulikopita, ukatathmini ulipo ili uuone wakati ujao katika mwanga bora. Nadharia hiyo hebu tuijaribu kiduchu kwenye suala la wagombea urais wa...
Kuna huyu mkuu wa benki ya Posta amestaafu tangu 26/11/2009 lakini hadi leo hii bado tunamuona anaingia ofisini kama kawaida na anadunda mzigo kama zamani. Nimejuzwa kuwa hana barua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.