Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

KAMA tungekuwa na nia ya kupigana na ufisadi na hasa ule wa matumizi mabaya ya ofisi, fedha na rasilimali za nchi kama wanavyofanya kule Uchina, basi wale waliopitisha matumizi ya ujenzi wa nyumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naona kuna hoja ya kujibu hapa. Katika mfumo wa vyama vingi, kila kinachofanywa ambacho awali kilifanywa kwa maendeleo ya nchi na wana nchi, sasa hufanywa kwa malengo ya kisiasa. Najiuliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndio! Mechi ya jana kati ya Taifa Stars na Ivory Coast imedhihirisha hilo!Hakika 70% ya Watanzania ni 'Bendera Fuata Upepo! Habari ndio Hiyo!
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila Kinshasa: Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, amewafukuza kazi watumishi zaidi wa umma nchini humokatika juhudi zake za...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
watch these on youtube... http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na Charles Ndagulla, Moshi MBUNGE wa Vunjo, Aloyce Kimaro ‘Simba wa Yuda’, ametamba kuwa hadi sasa hajaona mpinzani wa dhati ndani na nje ya chama chake ambaye anaweza kumng’oa kwenye kiti...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiangalia baadhi ya habari na imenisikitisha sana Uamuzi wa Gavana wa Tanzania kutumia fedha nyingi kukarabati/kujenga nyumba ya kuishi YEYE. Yaani kupewa tu nafasi hiyo anataka aishi...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari za mchana, Mwaka 2010 ndiyo huo. Je Watanzania wategemee nini toka kwetu na nini hasa tunawaahidi kwa mwaka huu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KAULI ya Rais Jakaya Kikwete ya kusema kuna watu wenye njama ovu za kulivuruga taifa, imetafsiriwa kuwa ni moja ya njia ambazo ametumia kuwakemea baadhi ya watu wa kada mbalimbali ambao katika...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
I'll say it maana naona kila mmoja anaogopa kulisema. This mediocre bwana Tido kaamua kuhamia Lowassa.(Tv ya Lowassa) I'm sure wapambe wake wakiamka asubuhi watampa taarifa kuwa kabandikwa...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
The metamorphosis of the ideas and positions of Mchungaji Kishoka has not occurred unnoticed. Of particular interest is the evolution from his stance on 'collective self-reliance' to...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nasikia baada ya TANROADS Arusha kubomoa uzio wa wa hoteli ya Crest iliyofunguliwa na Raisi, ujenzi wa haraka umefanyika kwa gharama za walipa kodi. Yawezekana hata fidia imelipwa kinyemela - je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rushwa CCM yafika kwa watoto na Mwandishi Wetu TUHUMA za rushwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, sasa zimefikia pabaya baada ya kubainika kuwa baadhi ya watoto wa vigogo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KAMATI ya Siasa ya Shura ya Maimamu jana ilizindua programu ya Elimu ya Uraia yenye lengo la kutekeleza kwa vitendo waraka wake kuhusu uchaguzi mkuu wa mwakani. Programu hiyo inataja sifa za...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Hivi hawa akina ringo tenga na charles kimei....... Hawapaswi kushitakiwa kwa lolote kuhusu mchango wao kwenye ishu nzima ya epa???? Sina kumbukumbu vizuri but nakumbuka kwenye richmond au epa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamka nikiwa na matumaini makubwa ya mwaka mpya na mojawapo ya mambo ambayo ka'nzi' kamenibrief ni mabadiliko ya ndani ambayo yametokea Idara yetu ya Usalama wa Taifa mabadiliko ambayo kama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ushirikina wamtisha katibu CCM na Stella Ibengwe, Shinyanga KATIBU Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kishapu mkoani hapa, Alli Makoa nusura aachie wadhifa huo kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa vile serikali ya CCM imeamua mtindo wa kubinafsisha huduma muhimu tumeona hivi karibuni wakibinafsisha shughuli za usalama kwa Majembe Auction Mart na kwa muda mrefu wamebinafsisha hata...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nyumba ya Gavana Ndulu iliyoibua utata MASWALI YA LULA WA NDALI (RAIA MWEMA) KULA MLE KUULIZA TUSIWAULIZE? BENKI Kuu wanataka kula tena; wanataka kula bila kuulizwa na yeyote; wanataka kula...
0 Reactions
159 Replies
20K Views
Ningependa kuwauliza wabunge wa CCM na wana JF kwa ujumla mtazamo wao kama kweli wapo nyumba na spika wao Samweli Sita katika kutekeleza maamuzi mazito ya nchi au kutetea maslahi ya taifa hili kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom