Mwandishi Maalum
Septemba 23, 2009
Rais Jakaya Kikwete
KABLA sijazungumzia mada hii, niseme kidogo juu ya mada yangu ya juma lililopita, iliyochambua hatua ya Rais Jakaya Kikwete kuwazuia...
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!
Infact add the whole BOT management and Board!
Wadau, juzi nikiwa safarini huko kwenye mapori mazito ya Kibondo-Kahama kutoka mwisho wa reli kurudi makazi yangu, nilipokea ujumbe wasimu kutoka kwa rafiki yanku kuwa Mzee Kawawa katutoka. Kwa...
Mwisho wa mwaka ni wakati wa kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapotaka kwenda katika mwaka mpya. Kwa taifa ni fursa ya kufanya tafakari hiyo katika muktadha wa hali na mwelekeo wa taifa kisiasa...
Mkuu Kubenea,
Najua ni mwana JF; hata kama una mapenzi na mtu mmoja kwenye siasa za Kyela lakini magazeti yako hayana haki kuingia kuchafua watu wengine bila sababu zozote. Ulichoandika kwenye...
Wana JF;
Yeyote aliye na hotuba za Mzee Wetu Mzee Rashid Mfaume Kawawa aziweke hapa.
Kwa kuanzia nina kipande hiki kidogo:
akiwa kaimu mwenyekiti wa bodi hiyo, ilisema kwamba viongozi wa...
2009-12-31 10:13:00
Tanesco tops graft 'List of Shame'
The ForDIA Tanzania Chapter Executive Director, Mr Bubelwa Kaiza, speaks in Dar es Salaam yesterday.By Bernard Lugongo and Al-amani...
Hawa jamaa wanatukata ela on the monthly basis ili ukija retire ziweze kukusaidia.
Hawa jamaa wakikata ela yetu normally huwa wanainvest sasa that being the case wanapokuja kuturidishia ela zetu...
Fund Your Budget, Donors Tell Tanzania.
NEWS
8 November 2007
Posted to the web 8 November 2007
The launching of general budget support in 2001 was in retrospect a milestone in...
2009-12-31 10:08:00
Kikwete son, 11, voted into CCM youth bodyBy Lilian Lucas and Samuel Msuya, Morogoro
President Jakaya Kikwete's son, Khalfan, 11, was on Tuesday elected a member of the CCM...
Wakati viongozi wa Tanzania (Mawaziri nk) 23% wametaja mali zao na 77% sawa 7,000. wamegoma kutaja, siku zinazidi kuyoyoma na mwisho ni tarehe 31/12/2009
Swali ni je hawa 7,000 wasipotaja...
Na Joseph Mwendapole
31st December 2009
Asema anachunguza kama mali zote zimelipiwa kodi
Aahidi kuwa baada ya hapo ataweka wazi kila kitu
Dk. Wilbroad Slaa
Katibu Mkuu wa...
Kumekuwa na taarifa za utata juu ya hali ya mzee wetu Kawawa... Kuna mwenye ufahamu juu ya kinachoendelea? Walinzi wake, wanae hawapokei simu, au zikiita sana baadae hazipatikani kabisa!
Kuna...
JF,
Tunaweza kufunga mwaka 2009 kwa kukumbushana tu kila awamu priority ilikuwa ni nini, Moja hadi tatu kwa ufupi ni hizi hapa, utata unakuja kwa hii yetu ya nne hadi sasa ni kipi katika hii...
Never Eat Fish
Published on: Tue, 12/29/2009 - 8:21pm
The Express Reporter
Three weeks after we revealed how crooks use formalin to store fish, health experts have revealed the horrible...
Haja ya kutaka tamko rasmi toka UN inatokana na taarifa zinazoendelea kusambaa kwa njia ya mtandao zinazoonyesha kwamba tayari vikao rasmi vya UN vimeshaijadili taarifa hiyo. Baadhi ya taarifa...
WanaJF mimi naomba kuuliza kama kuna wataalamu wa sheria je, kwa kauli za sheikh yahya kwamba kifo cha Dk. Gama ni ishara ya ushindi wa JK je hii si inaonyesha alijua kifo hicho?
Na kama...
Wakuu numejaribu kuitafuta hotuba husika bila mafanikio. Nadhani ni muda muafaka kuitundika hapa jamvini ile hotuba ili tupime tulichoahidiwa na Muungwana. Nayakumbuka machache:
1. Alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.