Kazi kubwa ya Bunge ni kusimamia serikali, kuhakikisha serikali inafanya inachopaswa, na serikali inapokosea kuihoji na kuiwajibisha. Serikali inafanya kazi siku zote, je kwa nini chombo...
There is another enemy which we must add on the list of these enemies poverty, disease, ignorance, I think we must add another enemy. Let us face it sir, we can talk all this idealistic nonsense...
Salim Said
SHEIKH mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba amemfananisha Rais Jakaya Kikwete na mti uliosheheni embe mbivu, hivyo wabaya wake hawataacha kumpopoa kwa mawe.
Katika siku...
Ndugu wana JF,
Naandika kuuliza swali nikiwa na simanzi kubwa rohoni.
Nimempoteza rafiki yangu katika mazingira tatanishi. Rafiki yangu hivi karibuni aliweka bayana nia yake ya kugombea...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilaya ya Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela, amepotea...
Wakuu,
Chama kile kikongwe naona kiko desperate mpaka inachekesha.......... Jisomee hapa chini for details.
Mtoto wa Makalla kuwania Uenyekiti chipukizi
na Nasra Abdallah
MTOTO wa Mweka...
Wakazi wa Wilaya ya kilosa Mkoani Morogoro wakijaribu kuyanusuru maisha yao baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko makubwa yaliyosababisha kuvunjika kwa nyumba wilayani humo (Source...
na Asha Bani, Same
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, jana aliongoza Operesheni Sangara katika Jimbo la Same Mashariki kwa kumrushia...
Sifa 10 za Mafisadi ambazo hawapendi uzijue!
Baada ya kufuatilia mikakati ya mafisadi na matendo yao ndani ya miaka hii 15 na hasa katika kufuatilia kwa kina mambo yao mbalimbali hatimaye...
Ni muda mrefu sasa kumekuwa na manung'uniko kutoka kwa watu mbali mbali hapa nchini na hata hivi karibuni wanasiasa waandamizi walidiriki kusema wazi kuwa uongozi wa raisi kikwete umekuwa goi goi...
Kuna mabadiliko yamefanyika kwenye Western Union Tanzania ambapo sasa mtu kukutumia fedha kutoka Bongo hawezi kufanya hivyo isipokuwa hadi utoe taarifa zako za huko uliko (nchi unayotumiwa). Hii...
Siku nyingi sana najaribu kutafuta hotuba za mwalimu zile zilizokuwa zinatolewa kwenye ujumbe wa leo RTD enzi zake kwenye media yoyote Audio CD, cassetes, DVD etc. Ninapenda sana kusikiliza hizi...
Recently, Tanzanian government has become very close to Iranian government to the point of entering a military cooperation treaty. And for sometime there had been a growing and sustained...
Wakati nchi inapambana na vitendo viovu ukiwemo ufisadi na rushwa tunategemea taasisi zetu hasa za elimu ya chuo kikuu kuwa mstari wa mbele kukemea uovu huo na kuonesha mfano wa kuigwa na...
Swahiba mwingine wa Zitto ajitoa ChademaNa Tumsifu Sanga
SWAHIBA mwingine wa Zitto Kabwe, ambaye naibu katibu mkuu wa Chadema, ametangaza kujitoa kwenye chama hicho na kujiunga ma chama cha Sauti...
Allowance culture drains tax payers` cash - Mbatia
By Rodgers Luhwago
27th December 2009
NCCR- Mageuzi National Chairman James Mbatia
NCCR- Mageuzi National Chairman James Mbatia has...
Uchaguzi wa chipukizi CCM Taifa Unao tarajiwa kufanyika tarehee 29 Dec 2009 Kitaifa mkoani morogoro umethibitisha kuwa famiia ya JK imejipanga kurithishana madaraka ya Nchi ya hii tofauti na...
Vuai alisema Rais Jakaya Kikwete, alitoa wazo na changamoto ya dhana nzima ya kuanzishwa kwa mazungumzo ya muafaka na hajashindwa kusimamia dhamira hiyo.
"Nia ya kuwepo kwa mazungumzo ya kuleta...
Kila wakati nasoma maoni ya baadhi ya watu wakidai eti Rais Kikwete ni kiongozi mzuri mwenye nia njema ya kuwaletea maendeleo wananchi wake lakini "anaangushwa tu na watendaji wake ambao...
Tutumaini iko siku tutafika?Hivi wachina wanaopewa tenda Tanzania hata barabara wanashindwa kutengeneza ndo hawa wanaotengeneza hizi Traini? Kwa nini utendaji wa mchina akiwa Tanzania na akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.