Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, hakukosea kuwafananisha wanasiasa wa vyama vya upinzani na paka.
Kauli hiyo...
Our record still stands; well ahead of the pack of inefficient, corrupt, self-serving, mediocre and absolutely incompetent leadership! over a year and a half later the government wakes up from its...
Hivi jamani REDET ipo kwa madhumuni gani hivi wanaweza kujisifu ati wanafanya kazi kiuadilifu au ni mradi wa CCM. Hizi tafiti wanazofanya sasa zimejeuka kuwa word of mouths kwanini wasiingie...
MBUNGE wa Rombo, Basil Mramba, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Kilimanjaro.
Mramba ambaye amepata kuwa Waziri wa Fedha wakati wa Serikali...
( Hii nimeinasa kule Michuzi blog, imepambisha mjadala. Kuna mwenye sehemu ya kwanza atumwagie humu ukumbini!)
HOJA YA HAJA
Mwibaji na watwana, mlifi ni...
NANI ATAKUWA RAIS MUOKOZI WA TANZANIA???
Ni lazima atoke upinzani
Mwana-CCM yoyote hafai, hata akitoka mbinguni
Bila ya upinzani kuungana, mengine yote ni ndoto ya mchana
Wakati...
Haya tusubiri hiyo bei na cost zingine iwe za uendeshaji au za conversion from heavy fuel to gas kulinganisha na kununua Mpya. Sijui watatupa au itakuwa siri maana mikataba kama hii huwa...
CUF IKISHINDA 2010, ZNZ KUWA PEPONI TENA!
ZNZ kurejea kuwa The Capital of East Africa
Union Bridge kuimarisha Muungano zaidi
Muandishi wa Wagagagigikoko aliefuatana na Jean...
MFANYABIASHARA maarufu nchini Jaffar Sabodo amehoji matumizi katika taasisi ya Mwalimu Nyerere na kuitaka itoe mchanganuo wa Sh1bilioni alizoichangia taasisi hiyo mwaka jana.
Katika tangazo lake...
Ujasiri wa Maalim Seif wa kwenda hadharani na kuwapa taarifa nzito wanachama na wapenzi wa CUF, juu ya kumtambua Rais Karume ilibidi upongezwe na Taasisi zote kuu na watanzania wote kwa jumla...
DESEMBA 21, mwaka 2009, Rais Jakaya Kikwete, Rais wa Awamu ya Nne Tanzania anatimiza miaka minne ya kukaa madarakani, tangu alipoapishwa kuwa Rais Desemba 21, 2005.
Kazi ya urais si nyepesi kama...
Well, even the Taifa Stars coach is doing an outstanding job, and so is Mattaka, Mkullo, Luhanjo, Sophia Simba, Edward Hosea, Feleshi, Maghembe, Lukuvi and so many appointees and employees of the...
Mo Ibrahim has always been a man of vision. His doctoral thesis dealt with mobile communications-in 1974. When he started a mobile-phone company, Celtel, in 1998 to work exclusively in Africa...
Sijui kama hii ipo hapa.
Ile Hoteli ya kitalii ya Snow Crest iliyozinduliwa Ijumaa iliyopita mjini Arusha na JK, imevunjwa leo alfajiri na maofisa wa Tanroads kwa maelezo kuwa sehemu ya majengo...
Wadau, mchomeko wa mada nyingine kwenye Taifa Tanzania inayohitaji kujadiliwa.
TUNAMJIBU M.M. MWANAKIJIJI:
Sababu 102 kwa nini Jakaya Kikwete agombee 2010 na aendelee kuongoza...
Habari zilipatikana sasa hivi zinaleza kwamba mwanasiasa na mtumishi wa zamani serikalini, Dr. Laurence Gama ameaga dunia katika Hospitali ya Agakhan, Dar es Salaam. Mungu aiweke Roho yake mahali...
Juzi Snow Crest Imefunguliwa Arusha, na wafanyakazi wageni wameajiriwa kwa wingi. Na Watanzania wameitwa wadokozi
Sababu ni nini??
Watanzania ni Wadokozi? Au Waajiri ndo wanyonyaji...
Hi everyone! I'm baaaack!
It has been a whirlwind tour of our country and other places around the globe especially wherever there was and still some dirt that has to do with our beloved...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 22nd December 2009
MCHAKATO wa kutafuta wazabuni kwa ajili ya kununua mitambo miwili ya kuzalisha umeme wa jumla ya megawati 160 itakayowekwa Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.