Wajameni, Pamoja na kuvurunda serikali na mawaziri wake, hii ni pamoja na baadhi ya kauli za viongozi zinazotetea mafisadi... nimuweke JK kwenye nafasi gani? Hii inaonyesha moja kwa moja kwamba...
Yale maandamano ya kumuunga mkono JK yaliyokuwa yameandaliwa na waliokuwa wamejinadi kuwa taasisi za kidini hayatakewepo. Akithibitisha kutokuwepo kwa maandamano hayo mmoja wa waandaaji na ambae...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri kama njia ya kujipanga upya kukabiliana na ufisadi.
Rai hiyo imetolewa juzi na Mwenyekiti wa...
Wakati macho na masikio ya watanzania wengi ni kusubiri kwa hamu kuhusu Nani na Nani watakuwepo kwenye baraza na watakuwa wapi; mjadala wa MUUNDO umetawaliwa zaidi na kutazama sura. Mjadala...
Aliyekuwa waziri mkuu Joseph Warioba
Nkwazi Mhango
INGAWA hii inaweza kuonekana kama kejeli, kuna ukweli usiopingika kuwa wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi wanamuonea Mwenyekiti wa chama chao, Rais...
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality...
Chanzo: Raia Mwema
WAKATI Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikisubiri matokeo ya kamati teule ya rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, habari zinasema kwamba Rais Jakaya Kikwete...
Wakuu,
Natumaini wengi wetu tumepata taarifa kuhusu matokeo ya darasa la Saba. Inatia aibu na kusikitisha sana kuona kuwa Hisabati ndiyo somo linaloongoza kwa wanafunzi kufeli. Zaidi ya asilimia...
Whilst I am not against this idea or Prof Katima whatsoever (Soma hapo chini). As an Alumni at this very institution I am inclined to believe kwamba siasa inaua hiki chuo especially the College of...
Na Aristariko KONGA
UCHUNGUZI wa matumizi mabaya ya fedha katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umemuumbua Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Idris Rashidi.
Miongoni mwa mambo ambayo yamegundulika...
Naombeni kuuliza? Huu mtindo wa wafanyabiashara haswa hawa wenzetu wenye asili ya Kiasia kutaka publicity wanapotoa misaada inanikera! Hebu angalieni hii picha hapa chini ya
huyu mhusika wa...
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010,
Swali je ktk muda mchache huu uliobaki...
mjadala umeshakuwa wa wazi sasa ambapo mwanzo tulikuwa tunanong'ona. Je unadhani kuna mwanaccm ambaye ni kuntu kupokea kijiti kutoka kwa muungwana???
lete jina na wasifu tuchambue hapa...
Na Mwandishi Maalum
NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya...
Hivi bakuli la serikali analolitembeza rais wetu mheshimiwa sana JMK kwa watu weupe na lile bakuli la ombaomba Matonya je zina utofauti?
Matonya alikuwa mzee, wengine hawana mikono, miguu, elimu...
Baada ya mtifuano uliotokea hivi karibuni ambapo wanasiasa wakongwe nchini Joseph Butiku na Matei Qaresi kueleza udhaifu wa raisi kikwete katika uongozi wake kwa kushindwa kufanya maamuzi...
EPA scandal: Dar law firm continues to evade prosecution
By ThisDay Reporter
14th December 2009
The BOT Twin Towers headquarters in Dar es salaam
MYSTERY continues to surround the...
Tunataka kufahamu reaction ya wananchi huko Tanga leo imekuwaje? Je Chadema bado wana momentum ile ya mwanzo? Mnyika njoo utupe jibu humu ndani na tunataka na pícha za umati!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.