Parliamentarians and Bunge employees to pocket almost Sh37 billion
By The Citizen Reporter
2009-11-19
The Office of the President and Cabinet Secretariat receives the highest the allocation...
Wapendwa wanaJF naomba kujua abc's za Ripoti ya Kupitia Mikataba ya Madini! Kama kuna soft copy pls naomba iwekwe kama atachment humu JF! Nawasilisha tafadhali!
Ujamaa na ukoministi umetufanya vibaya sana.Tunaabudu sana viongozi wetu na wao kujion kama Mungu Mtu.Hata media zetu zinachangia sana.
Hata our favourite JF is facing the same from its...
Let me call it a spade a spade No priories, every time crisscrossing the world while ignoring the most important issues facing ordinary wananchi. For instance Save a trip and build a referral...
ROSTAM AZIZ
AT least three companies owned by Igunga Member of Parliament Rostam Abdulrasul Aziz are amongst particularly outstanding defaulters in the massive 180bn/- fraud linked to the...
Date::11/19/2009Wahisani waiweka njia panda serikali wasema ufisadi unaitafuna nchi
Tausi Mbowe na Leon Bahati
Mwananchi
MZIMU wa ufisadi umezidi kuikosesha raha serikali baada ya mabalozi wa...
Katika nchi ambayo watu huthamini pesa kuliko ukweli,
Kama mtu huna Nguvu ya pesa ,
huwezi kuwa na NGUVu ya kisiasa.
Kwa hiyo, kama kuna yeyote anahitaji sera za siasa zake kuwa na nguvu,
sharti...
Rais Jakaya Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete amesema kwamba idadi kubwa ya Watanzania wanapinga kufutwa kwa adhabu ya kifo na wanataka iendelee kuwapo katika...
Mod, najua kabisa kuwa maudhui ya hii post yalishajadiliwa sana hapa, hata hivyo naomba uniruhusu nirudie tena kwani wahenga walisema si vibaya kujikumbusha mambo ya muhimu.
Nilikuwa natafuta...
Tukiwa tunaingia mitamboni, tumepata habari kuwa wale wabunge wa CUF waliokuwa wamefunga ndoa kwa ujanja ujanja, wameachiwa huru,
hata hivyo muda mfupi wamekamatwa tena, sababu za kukamatwa tena...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kama vilivyo vyama vingine bila ya shaka kimekuwa na mipango ya vitega uchumi ili kiweze kujiendesha na kufadhili shughuli zake mbalimbali bila ya kutegemea sana...
Wakuu list ya most corrupt countries kwa mwaka 2009 imetolewa tayari na TRANSPARENCY INTERNATIONAL.
Angalia http://www.transparency.org/policy_research/surveys_indices/cpi/2009/cpi_2009_table...
Nimechoka na vigezo vinavyotumika kupima uwezo na mafanikio ya rais wetu kwa muda wote katika JF forums je
1. Si halali kupima uwezo wa rais kwa kigezo kimoja tu cha kuzibiti ufisadi ..yaani EPA...
Jamani huu ni muda muafaka wa kujipanga vizuri ýaani kama daladala anatoka mtu anaingia mtu! Inaonyesha baadhi ya vijana wana ndoto za madaraka tu! Wakishindwa kuyapata basi wana-quit!
Ahadi ya JK kwa vijana yashtukiwa Wednesday, 18 November 2009 08:23 *Ni ile ya kuwateua kuwa mawaziri 2010
*Lipumba asema ni kampeni, haiaminiki
*Nape: Suala si ujana bali uwezo, uzalendo
Na...
Kutokana na hali hilivyo kwa sasa hapa Tanzania, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi ni nani mwenye maamuzi ya mwisho (Final say) hapa tanzania kutokana na maovu mwengi yaliyoifunika nchi hii...
Bei ya mafunta yapanda laandika gazeti la leo 'The Guardian". Bei ya mafuta nchi nzima imepanda ghafla na sasa inauzwa kati ya Tshs. 1,600/= mpaka 1,800/= kwa lita moja ya mafuta aina ya petroli...
Ufisadi umejikita zaidi kwenye matumizi mabaya ya rasilimali za umma, na kila mwananchi anajua ubaya wa jambo hili na hatari yake kwa taifa. Tumeshasema sana na tuendelee kubanana ili mapambano...
sababu kubwa ya tatizo la umeme tanzania ni utaalamu? au sera ?mbona tatizo linajirudiaridia kama vile liko nje kabisa ya uwezo wa serikali yetu?ni jambo la kushangaza sana kuona viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.