Mawaziri kumi wataka watuhumiwa waadhibiwe
Wanane wanawatetea, waliosalia hawana msimamo
Sophia Simba asonywa na wenzake
BAADA ya Kamati inayoongozwa na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi...
By Salma Said, Zanzibar
THE CITIZEN
2009-11-16
Zanzibar President Amani Abeid Karume says no eligible voter will be left out in the registration of voters in the Isles ahead of next year's...
Mwanamke wa Kimasai Kooya Timan, kutoka Loliondo, ameingia na kutoa ushuhuda Banjul katika mkut ano wa Tume ya Haki za Binadamu ya Afrika (African Commission on Human and Peoples Rights) Banjul...
Why should I resign?
Sophia Simba
Minister of State in the President's Office responsible for Good Governance, Ms Sophia Simba, has dismissed growing calls for her resignation or outright...
The late Mwalim JKN's world vision was fantastic. For example, he envisioned the impotance of China as an economic super power long before the current only super power did. As for Tanzanians, we...
Business vs. Politics
Some argue that Business is about making decisions, while politics implies avoiding them. Do you agree?
I think both concerns the battle for scarce resources. Both...
Tukio la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo huko songea ni la kusikitisha,
Walinzi wawili wa kampuni binfsi ya ulinzi wamevamiwa na majambazi wakiwa wamelala na kupiga na nondo kichwani...
I hope we will have good and in depth analysis on Chinese in Tanzania instead of cheap generalization responses that are something of a norm
kama mtu hana data wana analysis bora asome kisha...
Mimi hata sioni kwa nini kandoro aliondolewa..
Huyu lukuvi hata sioni anachokifanya...
Na
kipindupindu kimerudi....wakati kandoro ali fanikiwa kukipiga vita....
Nyinyi mnaonaje????????
THE embattled Minister of State in the President's Office responsible for Good Governance, Ms Sophia Simba, has dismissed growing calls for her resignation or outright dismissal from government...
Moto wa posho mbili wahamia kwa mawaziri
Waandishi Wetu
WAKATI vuguvugu la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) la kuwahoji wabunge kwa tuhuma za kupokea posho mbili kwa kazi...
Pamoja na EPA na nini lakini hatuko kabisaa kwenye hii list Transparance intenational...
1. Haiti
2. Myanmar
3. Iraq
4. Guinea (Conakry)
5. Sudan
6. Democratic Republic...
There is no Way Mr. Presedent can point a fingure or shoulder a blame in the highest incompetency of our governement to others and not himself.
It is not about Mwinyi's probe committee or...
Leo hii, nimesoma habari kuwa Wafanyakazi wa TRL, wameamua kujichukukulia majukumu ya kuendesha na kuongoza TRL baada ya Rites kutoa notisi ya siku 60 kujitoa na Serikali kukaa kimya bila kutoa...
Ndugu Wanajamii Forum
Naomba nitume habari hii jinsi Naomi Campbell alivyojionea aibu yetu kubwa ya kushindwa kuwapatia akina mama wazazi wodi zinazofaa wakati na baada ya kujifungua. Aibu hii...
Dk Slaa atajwa kugombea urais mwakaniKatibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, huenda akwa mgombea urais wa chama hicho uchaguzi mkuu mwakani.Na Mussa Juma, Arusha
VUGUVUGU la kupata mgombea wa...
Tetesi toka vyanzo vya kuaminika vinaeleza kuwa Dr Slaa anatafakari kugombea urais kutokana na shinikizo toka kwa wananchi ndani na nje ya chama chake.
Habari zinaeleza kuwa hata uamuzi wa...
Wapendwa wanaJF, katika Mkutano wa 16, Kikao cha 44 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania cha tarehe 1 Agosti, 2009, Spika wa Bunge hilo, Mh Samweli Sitt aliiomba Serikali ihakikishe kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.