Mgogoro CCM aibu ya Taifa
Lula wa Ndali-Mwananzela
Novemba 11, 2009
WAPO wanaofurahia na kuchekelea mgogoro unaoendelea ndani ya CCM. Wapo ambao wanaombea kuwa mgogoro huo uendelee ili hatimaye...
Tanzania hupata nafasi chache sana kuandikwa na gazeti hili la wiki. Wastani ni makala 1 kwa mwaka kuhusu Tanzania. Habari za Mkutano wa maalim Seif na Karume zimepata uzito katika The Economist...
Nimeshangazwa sana na picha na nimeachwa hoi bin taabani baada ya kusoam maelezo yanayohusu shule moja huko Mbeya, Wilaya ya Chunya, Kijijicha cha Udinde. Shule inaitwa Iboma. Hii ni kwa mujibu wa...
Ni Mafisadi United dhidi ya nani?
KWA wale 'vijana wa zamani' watetezi na waumini wa Marxism, watakumbuka kwamba huwezi kufanikisha mapinduzi au mabadiliko katika jamii (kama vile Maisha...
Lukuvi: Kiama cha wamachinga Okt 30
Na Hilary Komba
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. William Lukuvi ametangaza kuwa ifikapo Oktoba 30 mwaka huu wamachinga wawe wameondoka katika maeneo...
Kikwete atakiwa kuisafisha CCM Molloimet akerwa na kauli za mzaha za Makamba
Na Mohamed Hamad, Manyara
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya mrisho Kikwete ametakiwa kuchukua maamuzi magumu...
Bank ya stanbic imeamua kushikilia cheque za mishahara ya wafanyakazi
wa ATCL ya mwezi october
Akiongea na mwandishi wetu meneja uhusiano wa stanbic amesema
kampuni ya ATCL ilikuwa na...
CCM is dying but CCM, like a cat, has more lives than one. Suddenly, somehow things begin to happen and men go at work ! Chadema has to tread very very carefully and take appropriate actions...
hi waungwana.
leo nimejiunga rasmi uwanjani hapa JF. ni matarajio yangu kuwa tutaendelea kuwasiliana na ndugu wote na kubadilishana mawazo na michango mbalimbali kwa maendeleo yetu kama binadamu...
Selemani Rehani
Chanzo ni CCM kukaa madarakani muda mrefu
YAPO mambo mengi yanapita katika jamii yetu. Mambo haya yanaibua maswali mengi sana vichwani mwa Watanzania. Ufisadi na rushwa. Ni mambo...
Joseph Mihangwa
IMANI za kishirikina kutawala nyakati za chaguzi za kuwania nafasi za kisiasa na uongozi, sasa limekuwa jambo la kawaida lisilotisha wala kuonea aibu miongoni mwa wagombea...
JERRY OKUNGU
An East African perspective
Let us not put the cart before the horse. If we do that, the horse will tumble over and our journey will end prematurely. Right now we are busy sorting...
Tunapozungumzia wabunge waliokaa bungeni kwa muda mrefu, hatuwezi kumsahau Mzindakaya ambaye alitimiza miaka arobaini bungeni mara baada ya uchaguzi wa 2005.
Tunapopima maendeleo ya jimbo la...
Lets face it matajiri ndio walipa kodi wakubwa na kwa hali jinsi inavyoelekea inasemekana kuwa kule TRA japo kila kukicha tunapewa stats kuonyesha kuwa kodi zimeongezeka alakini ukweli ni kuwa...
Katika kuleta mabadiliko ya kidola kuna njia tatu, kwanza ya kikatiba, pili kuingia msituni, tatu kupindua uongozi uliopo. Hakuna njia ambayo si halali hapo. Uhalali na si uhalali inategemea na...
NI NANI HUYU ?
1. Anashirikiana na wasio wazawa ili kuikamua nchi na hata msipokuwa na maziwa yuko
tayari kuwakamua damu.
2. Wakati ng'ombe katika jimbo lake wanakufa kwa...
A PROMINENT business tycoon linked to Kagoda Agriculture Company made frequent night visits to the Bank of Tanzania (BoT) to finalize plans for the looting of more than 40bn/- from the central...
Kwa miezi mitatu nimefanya uchunguzi wa kina kugundua CCM iliwatumia vijana gani "kudunda" watu kwenye chaguzi ndogo za Busanda na Biharamulo hatimaye nimefanikiwa.
CCM iliwatumia vijana wake wa...
MALUMBANO makali yameendelea kuitikisa Kamati ya rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi baada ya makombora ya juzi kuelekezwa kwa Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango na mumewe, mzee John Malecela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.