Chris Rock stated that "Shaquile O'Neal is Rich, but the person who writed his check is Wealthy"
Je sisi kama Taifa, tuna msukumo gani wa kuwa yule anayelipa mtu na kuwafanya matajiri na si kuwa...
PAMOJA NA KUMTUMIA MENGI, MIKAKATI 14 YA WAPIGANAJI ITAWAANGUSHA
(Makala hii inaweza kuchapwa na chombo chochote cha habari kwa kuzingatia jina la mtunzi linabakia lilivyo pamoja na barua pepe...
Jamani hii taasisi inatimiza wajibu wake kama ilivyo kusidiwa; au imegeuka kuwa ni sehemu ya polisi wa upelelezi. Ninaitafakari na kujiuliza maswali mengi ya kiuchokonozi mara zote ninajikuta nipo...
Kwa muda mwingi viongozi wanawake wa TZ, hawapewi respect kama viongozi wanaume.
Maneno anayojibiwa Mheshimiwa Sophia Simba ni ushahidi wa kutosha kwamba, viongozi wanawake ndani ya TZ wanakazi...
Licha ya Maalim Seif Kumtambua Karume kama rais halali wa Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar, mambo niliyoyashuhudia hapa Pemba kwenye muendelezo wa zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga...
What Richmond got from the big rip-off
THE controversial Richmond Development Company LLC tried to rake in more than $115m
(approx. 150bn/-) from the government under dubious circumstances...
Nimesikia habari punde kutoka TBC ! kuwa TRA, kupitia majembe Auction Mart, imekamata mitambo ya Dowans kwa madai kuwa haijalipa kodi ya zaidi ya Sh bilioni 9.
Na Salim Said Salim
WIMBO maarufu wa dansi wa watoto wa mji kasoro bahari, Morogoro, umetokea kupendwa kwa mantiki yake juu ya hali halisi ya maisha. Kilichopendwa hasa ni ile tahadhari...
Kwenu Watanzania Wote,
Ili tuweze kufuta umasikini Tanzania ndani ya siku moja, BUNGE letu lijalo litakaloanza kikao chake siku ya Jumanne ya tarehe 26/01/2010 lipitishe Azimio na Sheria na...
By The Citizen Reporter
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leaders, especially those from the Mainland, have been asked to keep off the reconciliation process initiated by Zanzibaris.
Civic United...
Zanzibar
Na Ally Saleh
NILIKUWA sehemu ya historia mwishoni mwa wiki nilipokuwa katika uwanja wa Kibanda Maiti na kushuhudia Chama cha Upinzani CUF kikitangaza kuwa kimemtambua Rais wa...
Hivi, mbona hatujawahi kusikia tz imefanya uamuzi ambao umepigiwa kelele na mataifa ya nje? Kutopigiwa kelele haimaanishi kuwa sie ni waungwana sana. Pengine wanaomba tuendelee na ububu na upole...
Kwa kawaida serikali yoyote ikifanya kitu kinacho gharimu pesa nyingi huwa kuna updates ya pesa zime tumika vipi na maendeleo ya huo mpango upoje. Sasa tokea serikali yetu itoe "stimulus package"...
KIjana mchapakazi J.Jambele amaetangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CCM.anamini katika siasa ya Ujamaa na kujitegemea na sio ubinafsi.
Kipeekee namfahamu kijana...
Jamani nimesoma gazeti moja jana likilalamika sana utoaji wa vyeo vya polisi/jeshini
kutokana na hali ya hewa hivi sasa yawezekana vyeo vinatolewa kwa mtu wa darsa la saba...na wewe umengia na...
Hivi mke wa rais ana majukumu gani ktaifa?Mbona huyu wa sasa anafanya shughuli nyingi za kisiasa na mara nyingi husafiri on her own unlike her predecessors?
Wana JF,
Nilipenda kujua ile 2005 pale Chimwaga Dodoma wakati wa wajumbe wa CCM toka mikoa yote ya Tanzania kwenda kumchagua mgombea Urasi mmoja kwa tiketi ya CCM kulitokea nini?
Dr. Salim...
HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kukiri kuwa kulikuwapo na udhaifu katika kufanya uchunguzi wa kutosha (due diligence) kuhusu kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond, aliyoitoa wakati wa kujibu...
Jamani salaam tena na leo narudi kutaka kujifunza. Nimeona mjadala wa mgombea binafsi unapamba moto na nikaanza kujiuliza kama Mtikila ama Mzee Es anaweza naye kwenda kuomba kufata Wabunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.