Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

wakulu Nimepata tetesi kuwa repoti ya richmond kutojadiliwa, kwani mh six yupo bize na mambo ya msiba ivo kurudi dodoma wiki ijayo kwa ajili ya kufunga bunge tu...TiaTia maji Details please
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Hiki chama cha Mwalimu Hakina tena nidhamu Tunu iliyo adimu Nani wa kumlaumu? Anayo heri Mwalimu Kwani sasa marehemu Kutoona udhalimu Hakika leo kigumu. Kimepoteza...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada kidogo kwa hili...najua kwenye bunge letu majuzi wameteua mwakilishi wa bunge la sadc baada ya kifo cha ndugu yetu mpendwa rich nyaulawa...naulzia je huyu ndugu akienda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa najiuliza sana kuhusu hii kamati ya Mwinyi. Was it intelligent to come up with such idea? Hadidu za Rejea ni zipi? Kama moja ya hadidu za rejea ya kutafuta chanzo cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Mussa Mkama HATIMAYE mtambo mmoja wa kufua megawati 10 za umeme wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), umewashwa jana na kuingizwa kwenye gridi ya taifa. Mtambo huo ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By KARL LYIMO Nov 2009 From: The East African Magazine Former Speaker of the Tanzania Parliament, Pius Msekwa, may yet emerge as one of the few top leaders in the ruling CCM who see the party as...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear All, Ni matumaini yangu kuwa wote mnafahamu kuwa kampuni ya VODACOM ilianza shughuli zake rasmi hapa nchini mwaka 2000. Mpaka sasa ina wateja wasiopungua milioni 6. Kitu cha kushangaza ni...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Ili uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Bado inaonyesha viongozi wa miaka iliyopita lakini tarehe ni ya leo 07/11/2009. Najua baadhi ya viongozi wapo humu ndani badilisheni kwani mnazo fedha za kutosha kuajiri vijana waliomaliza IT...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=dgqfG-JqF74&feature=related Jamani sikiliza hadi mwisho mniambie huyo mwanasiasa.Mzuri sana
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine... Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
tafadhali jamani wanajamii naomba mwenye wasifu wa huyo mtajwa hapo juu anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
THE Members of Perliament (MPs), Mr William Shellukindo and Mrs Beatrice Shellukindo have lost a child, Wito Shellukindo, it has been announced. The Chairperson of the National Assembly told...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwanza natanguliza samahani kwa wale wa CCM wote na viongozi wake ambao ni safi hii haiwalengi hao individuals ila kinachoendelea sasa kwenye huu mkutano wa Tume ya Maridhiano ni uthibitisho tosha...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
"Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole, lakini ni kiongozi dhaifu; na upole wake na udhaifu wake unatumiwa na watu ambao wala si wema wala wapole kuhatarisha umoja na amani ya nchi yetu" - Uongozi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sikutegemea hata siku moja kuwa Tanzania itafikia mahali ambapo viongozi wenyewe kwa wenyewe tena wa chama kimoja kile kinachotawala wataanza kurushiana makombora ya shutuma, matusi na kejeli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu leo nimejikuta nikitafakari sana kuhusu mustakabali wa nchi yetu. And after listening to the tune below nikajikuta nimemkumbuka FMES - "Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe" I love...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naam, ni manyang'au - huishi pamoja, huwinda pamoja na hula pamoja. Tatizo la manyang'au ni kuwa hawaaminiani kwa sababu maisha yao hutawaliwa na tabia ya ulafi. Wakikaa mkao wa kula basi kila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, Tanzania yetu ilipofika inahitaji chama mbadala, tofauti kabisa na hiki kilichotudondosha mikononi mwa mafisadi. Dukuduku langu linakuwa ni kipi hasa kitakachotumia udhaifu wa viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom