Watanzania bado tuna machungu ya Chenge kutuibia vijisenti na akaviwekeza ughaibuni. Kumbe mdudu huyu huyu ndiye ali-sign mkataba baina ya serikali na Rites wakati huo akiwa waziri wa miundo...
Wana JF, kwa sasa wazizi wa uatali Shamsa Mwangunga anajieleza bungeni baada ya mbungu wa Loliondo kuwasilisha hoja yake ya unyanyanyasaji wa wafugaji kule Loliondo - kweli anapumulia mashine...
Tutaraji nini kwa waziri aliyeghushi cheti?
Johnson Mbwambo
Oktoba 28, 2009
WIKI iliyopita mwanasafu mwenzangu wa gazeti hili, Lula wa Ndali Mwananzela, alinikuna alipoandika kwa...
Ni muda mrefu sasa tangu spika wa bunge letu tukufu alipoanza kuhusishwa na tuhuma mbali mbali, wana Jf wengi walijitokeza bila kusahau vyombo mbali mbali vya habari kumtetea SS! sakata...
WAR ON GRAFT: You are failing us, JK tells the west
THE CITIZEN
2009-11-06
President Jakaya Kikwete speaks during the Economic Conference Second Business Roundtable in Dar es Salaam yesterday...
wana jamii mimi nina wazo kuwa ianzishwe safu inayoitwa "kuelekea uchaguzi mkuu 2010" ndani ya JF ili tuwe tunapashana yatakayojili,ni kina nani wanajiandaa kugombea ubunge na urais.asante
Hali ya mambo ilivyo hapa Nchini Tanzania haina tofauti sana wakati Wanyarwanda wanaelekea kwenye mauaji ya Kimbari. wakati huo kwa kutumia vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havikemewi na wenye...
Kama dalili zinazoendelea zitakuwa ni zile zile zinazotarajiwa basi gazeti la Raia Mwema na Dr. Slaa wameanza kumulikwa kwa kurunzi kali zaidi. Raia Mwema kwa kuanza kuchukua nafasi ya magazeti...
Wapo wanaosema tunahitaji utawala bora. Wengine wanadai tunahitaji viongozi bora. Wote wanasahau hitaji kuu la Tanzania na Watanzania.
Watanzania wanahitaji msukumo. Wanahitaji kutiwa moyo...
Sera hii iliyoshikiwa bango na CCM ndio ninayotaka kuijadili hapa kwa nia ya kuonyesha jinsi inavyohitaji umakini mkubwa katika kuitekeleza.
Yakifanyika makosa, nchi itaingia matatani...
Waziri Maghembe umetangazia umma kuwa Mtihani wa darasa la Saba uliorudiwa katika baadhi za shule msingi za Dar es Salaam, Arusha na Kilimanjaro haukuwa wa marudio bali ulikuwa ni kwa ajili ya...
Jamani ndugu zangu, mimi napenda kuuliza kama EWURA, yaani mamalaka ya kudhibiti matumizi ya maji na nishati, ni shirika la binafsi au liko chini ya serikali. hii ni kwa sababu ya taarifa fulani...
Wakuu,
Habari za mchana?. Pamoja na upya wangu katika JF, nimevutiwa kupita kiasi na JF inavyoendeshwa na jinsi wakuu mnavyochangia. Mtoto, Next LeveL, Original Pastor--Hongereni sana. Bila...
Spika Sitta,Waziri MKuu Pinda watofautiana kuhusu TAKUKURU
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Mbunge Silaju Kaboyonga na Spika Samweli Sitta wakijadili jambo nje ya Bunge jana Mjini...
Alipewa nafasi ya kujitetea, akatumia kujiuzulu
Angejiuzulu kabla ya Kamati Teule kuundwa, angekuwa shujaa
Wanaoamini kaonewa hawajui "natural justice"!
Kuna baadhi ya watu ambao wanaamini...
Kuna mwanachama kaja hapa na kubeza kazi ya Slaa na kusema yeye mwenyewe katangaza kwamba hajapata serikali ya mtaa hata moja kwenye jimbo lake . Habari hizi ni za uongo mkubwa . Mimi naongea...
Ipo mikakati mingi sana inayofanywa na Serikali ya CCM, Usalama wa Taifa, pamoja na jeshi la ulinzi, ili kuweza kudhoofisha nguvu ya chadema Tanzania.
Huku CCM ikitumia mfumo wa Usalama wa Taifa...
Geza Ulole
Kuna baadhi yetu wakati tunakuwa (growing up) tulisikia sana neno Geza Ulole, hata wakati mwingine tuliweza kuimba mashuleni kuhusu Geza ulole, baadhi yetu hatukuelewa maana halisi...
Mganga wa jadi awania kiti cha Rostam ubunge jimbo la Igunga
Nora Damian na Ellen Manyangu, Date::11/5/2009
MGANGA mmoja wa jadi, ametangaza azma ya kuwania ubunge katika Jimbo la Igunga...
Wakati vumbi la posho mbili kwa kazi moja halijatua sasa limeibuka tena suala la watumishi wa serikali kulipwa pensheni mbili Serikalini na kwenye Chama! Taarifa za uhakika zinataja orodha ndefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.