No compromise with PCCB - Sitta
THE Speaker of the National Assembly, Samwel Sitta, has asserted that no compromise has been reached with the Prevention and Combating of Corruption Bureau...
Wakuu moja kati ya mambo ambayo bado hatujafikia kukubaliana humu dani ni kama EL amefutwa kabisa kwenye siasa za Tanzania au kuna uwezekano kuwa ni mbogo aliyejeruhiwa tu, ambaye akirudi kutakuwa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta (kulia),
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah
ofisini kwake mjini Dodoma...
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza...
JF Siasa ni jukwaa ambalo limekuwa na wapenzi wengi wenye upeo mkubwa sana wa kuona mbali ..na wenye ushauri wenye hekima unaozama ndani sana na kwa kina kabisa ambao wahusika wakitekeleza...
Watanzania bado tuna machungu ya Chenge kutuibia vijisenti na akaviwekeza ughaibuni. Kumbe mdudu huyu huyu ndiye ali-sign mkataba baina ya serikali na Rites wakati huo akiwa waziri wa miundo...
Samahani kama hoja hii ilishawai kujadiliwa kabla
Nilitaka kujua, katiba inasemaje ikiwa mbunge aliyechaguliwa na wananchi hafanyi yale aliyoahidi na/au yaliyotarajiwa kutoka kwake, je wananchi...
Home Affairs Minister Lawrence Masha has been caught in a fresh conflict of interest row over the multi-million-dollar national identity cards project.
This follows a threat issued by a...
Ngome ya Siasa ya Mbunge wa Kyela (CCM) Dkt Harrison Mwakyembe imesambaratishwa vibaya na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya wapambe wake karibu wote kuangushwa kwenye uchaguzi...
kikao hiki muhimu kinchohusisha kumwaga lazi kwa mafisadi kama chanzo cha kuivuruga CCM ndo kinaendelea hapa bungeni Dodoma.
Wait for more information.
Date::11/4/2009Kujisafisha kwa Dk Hoseah kwasababisha kujipalia moto
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imesema hakuna azimio lolote katika taarifa yake...
Cabinet minister in conflict of interest
THIS DAY
Home Affairs Minister Lawrence Masha has been caught in a fresh conflict of interest row over the multi-million-dollar national identity cards...
Na Hawa Mathias, Mbeya
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka serikali mkoani Mbeya kufanya uwezekano wa kuhamisha gereza la Songwe na kulibomoa ili kuanza uchimbaji wa madini ya alminium ambayo...
Aziza Athuman na Minael Msuya
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini , John Tendwa jana alisajili chama kipya cha siasa kinachojulikana kama Alliance for Tanzania Farmers Party (ATFP).
Chama hicho...
I have come to the conclusion that the main problem with our country is when it reaches the point where we actually have to do something. We are like an artist who can imagine the most beautiful...
Sote tunaelewa kuwa tangu mwanzo Hosea na TAKUKURU yake waliisafisha Richmond. Serikali nayo imekuwa inamshupalia kila anayehoji Richmond. Serikali iliweza hata kuficha kumbukumbu kuhusu Richmond...
Wabunge katika nchi zote wanatakiwa kuwa mfano kwa jamii wanayoingoza na hasa kwa vijana. Jamii inategema kuwa sheria na kanuni zinazotungwa na wabunge kwanza kabisa zinatakiwa ziheshimiwe na...
Sahara Sun 'to help power Europe'
Energy from the Sahara plants is expected to supply Europe by 2015
A sustainable energy initiative that will start with a huge solar project in the Sahara...
Wadau naomba mtu yeyote mwenye document za ukubwa wa vitongoji (wards) zetu anipatie au hata links.
Nahitaji za wilaya tatu za Dar ( Ilala, Kinondoni na Temeke) nimejaribu kwenye sensa ripoti...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kupiga wimbo wa taifa katika kikao cha baraza la wawakilishi kijacho kutokana na marekebisho ya kanuni za baraza la wawakilishi zilizofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.