Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakati sakata la posho mbili au zaidi kwa kazi moja likiendelea kuchukua sura mpya kila siku huku "mpambanaji" Ole Sendeka akitishia kumharibi Mh Rais Kikwete kwa kuanika mabaya ya serikali endapo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau nimeamua niwakumbushe zile enzi za waziri asiye na wizara maalum....mimi nilikua bado mdogo, hivyo sina kumbumbuku kamili za majukumu yake kwa kweli...ila kuna wadau wanadai eti ni kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A new guideline on how to interrogate legislators will be introduced anytime, following a fierce battle between lawmakers and the anti-corruption watchdog that emerged this week. The revelation...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma hii habari uone jinsi TZ ya leo ilivyokosa connection between the three pillars of a government that is, Parliament, Judiciary and Civil servant (bunge, mahakama na serikali kuu au utumishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona wote mmechangia kuhusu milioni 400 - kama zilikuwa na tij au la. Swali muhimu ni kwamba,kwanini walificha vielelezo wakati ule, jambo ambalo lingerahisisha maamuzi yakichukuliwa kwa wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HARAKATI za kuwania ubunge kwenye majimbo mbalimbali mkoani Tanga zimeshika kasi, huku kukizuka malalamiko katika baadhi ya maeneo kuwa baadhi ya vigogo wa CCM wameanza mchezo mchafu; akiwemo...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Na Jabir Idrissa NAFURAHI kuona Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi, Hamza Hassan Juma ameramba matapishi yake mwenyewe. Amegeuka. Hamza ameivua Marekani na tuhuma alizoitupia pale aliposema...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Balozi wa Afrika Kusini nchini, Sindiso Mfenyana, ameishauri Tanzania kujifunza namna bora ya kunufaika na sekta ya madini kutoka nchi za Botswana, Namibia na Afrika Kusini, ili sekta hiyo iweze...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taasisi ya Policy Forum imeandaa mjadala wa wazi kuzungumzia utendaji wa serikali ya Kikwete kwa kipindi cha 2006-2007. Mtoa mada mkuu ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Prof. Haji...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Raisi wetu inaelekea yuko busy kweli kweli. Hapa anashughulikia sera ya kugawa pikipiki. Natumaini walemavu wote nchini watapewa angalau pikipiki moja-moja. Kweli tunaye rais. PRESIDENT...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda kumpongeza mhe Magufuli kwa uamuzi wake wa kugawa samaki kwa wanaostahili bure.Amekaa akakumbuka kuwa serikali kazi yake si biashara!huo ndio utawala bora na mfano wa kuigwa katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati vumbi la hoja kuhusu posho zaidi ya moja kwa kazi ile ile halijatua, niliangalia Star TV ambapo kulikuwa na mjadala kuhusu waandishi wa habari kulipwa posho hizo! Kwa haraka haraka nilipata...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Miaka minne iliyopita viongozi wetu wabunge,pamoja na Raisi walitupa mambo kibao ambayo watafanya,je unakumbumbuka mheshimiwa Raisi alituhaidi nini?vipi mbunge wako alisema atafanya nini jimboni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutana na hii ambayo imeandikwa na mtanzania mwenzetu katika African Executive nikaona niwashirikishe nanyi wakuu... By Nkwazi Mhango The Mandela Foundation was galled by a very...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Assume Tony Blair wa Uingereza wakati yuko madarakani anaanziasha kampuni na mkewe,Cherie ,wanaiita CHETON Ltd.Then wananunua mgodi wa makaa ya mawe huko Wales.Pesa hizo za kununua zinatoka benki...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
The founder of the US-based Richmond Development Corporation (RDEVCO) LLC, Mohamed Gire, now appears to have re-invented the company at the centre of a large-scale corruption scandal in Tanzania...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
The classic power struggle between the legislative and executive branches of government have come to a head in a spectacular confrontation between the PCCB Czar and the Speaker representing the...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Wiki mbili zilizopita, nilishauri Serikali ya Tanzania iiunge mkono Iran katika mpango wake wa Nuclear kwa matumizi ya amani. Vile vile nilipenda kuishawishi Tanzania iwe na mpango wa kuwa na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ile hali ya kuugua na kuanguka ghafula kwa wabunge iliyokuwa imesimama, sasa imerudi tena baada ya mbunge wa viti maalum Mh, Maria Hewa kuanguka ghafula akiwa bungeni dodoma na kukimbizwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Je, ni kiasi gani zimetumika so far kuanzia 2006 hadi leo? Wanachama wenye data wa JF - Invisible, Halisi, Enigma, na wengineo, je mnaweza kutuambia?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom