Mivutano ndani ya CCM imewafanya baadhi ya wabunge wa CCM kuomba ushauri toka kwa wahadhiri wa fani ya Siasa wa UDSM ili kukabiliana nazo ikiwemo uwezekano wa kuhamia CHADEMA! Wabunge hao wa CCM...
Kuna tetesi nimezipata kuwa Ndege zinazomilikiwa na Kampuni ya Uwindaji katika pori tengefu la lolionde zimekuwa zikiingiza watalii katika eneo ilo kinyume cha taratibu kwani hakuna kituo cha...
Na Mbasha Asenga
MwanaHALISI
ZIPO kauli za mawaziri wengine ukizisikia utaishia tu kusema, hawajui wasemalo. Wiki iliyopita Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, alikuwa akijibu...
Wanandugu na wote wenye mapenzi mema....,kuna swali na jiuliza hivi hii kamupni ya NIC ilifikaje ikafilisika.....hivi majuzi NIC waliachisha wafanyakazi wote na kuwalipa na kuamua kuajiri...
Tendwa: Serikali ya mseto yanukia ZanzibarNa Joyce Mmasi
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa amesema hatua ya Chama Cha Wananchi (CUF) kuitambua serikali ya Rais wa Serikali ya...
Panic as cabinet shuffle looms
By Guardian on sunday team
15th November 2009
As SFO sticks to its guns
A stormy Cabinet meeting held in Dar es Salaam on Wednesday this...
By Zephania Ubwani, Arusha
How old is the vessel purchased by the East African Community three years ago for millions of dollars but has since docked at Mwanza port?
This was the concern...
Wenyeviti 11 wa mikoa wa CHADEMA wamepinga uamuzi wa Dr Slaa wa kutengua uteuzi wa David Kafulila. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo tarehe 14 Novemba, ambalo halijataza majina wala mikoa...
Kulikuwa na post humu jamvini ikimuonyesha Naomi Campbell alivyotokwa machozi baada ya kuona kina mama waliojifungua wamelala chini hospitalini. Kutokana na hiyo post niliandika kuwa viongozi...
Wameelimika na wanajua mengi. Tunawategemea, kuwathamini na tungependa kuwaenzi. Lakini kabla hatujaanza kuwaenzi, labda tujiulize, hivi wengi wao na kampuni zao na jumuiya zao mbalimbali kweli...
Habari zenye uhakika kampuni ya ndege ya precission air iko mbion kunyangwa ndege tatu ambazo walikuwa wakitumia...ndege hizo ambazo zimasimama kutumika zimefanya safari ya kigoma/tabora kusimama...
Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Jaka Mwambi amelipwa Sh. 16,320,000 zikiwa pensheni kwa kutumikia CCM.
I cant imagine Balozi wa USA hapa Tanzania,alipwe pensheni ya say Republican party kwa...
Kila mara inaonekana kana kwamba CHADEMA inakwenda kusambaratika, mara zote hizo ni bahati tu ya mtende inayokinusuru chama hicho kusambaratika. Ndani ya CHADEMA kuna mambo makubwa MATATU...
CHADEMA SIYO PANGO LA WANYANG'ANYI.
CHADEMA siku zote huchukua hatua!
Ilimsimamisha Chacha Wangwe alipokuwa akitumika, au kutumia vibaya madaraka yake kubomoa Chama akiwa ni Makamu Mwenyekiti -...
Katika mkutano huo natarajia kulieleza taifa mchakato wote wa makubaliano uliofanyika kati ya CUF na CCM... naomba Watanzania waje kwa wingi kuungana na wanafunzi hao na wabunge wa CUF kutoka...
John Bwire
Novemba 11, 2009
YANAYORIPOTIWA kusemwa kwenye kikao cha Kamati ya Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wabunge wa chama hicho mjini Dodoma yanadhihirisha kitu kimoja: Kwamba kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.