Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

IPTL Saga, Benjamin Mkapa Richmond/Dowans saga, Jakaya Kikwete! Ukirudi kumsoma Brian Cooksey, na varangati zima la IPTL, unabakia kushangaa na kuduwaa. Nimeisoma ripoti ya Cooksey tena leo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Imefika wakati wa Vyombo vya habari kuanzisha mijadala "debate" kati ya watu wanao unga mikono agenda za serikali na wale wanao pinga. Mfano swala la Tatizo la umeme ningependa kuona Wapinzani na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Oktoba 21, 2009 RAFIKI yangu mmoja aliwahi kusema kuwa ufisadi ukikoma nchini "tutaandamana". Alikuwa anawazungumzia watu wote waliolifanya jiji la Dar es Salaam kuwa maskani yao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ni Li-Ugonjwa gani hili Tanzania? nilikuwa Dar wiki kadhaa zilizopita, nimeona kila kona iwe asubuhi, mchana au jioni, watu wako kihovyohovyo, vijiwe kibao, kuzurura kila kona, watu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kikwete abadilisha wakuu wa wilaya. Atengua uteuzi wa DC Temeke Na Elisante Kitulo 24 October 2009 RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko madogo ya vituo vya kazi kwa baadhi ya wakuu wa Wilaya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
hello wadau, nilikuwa nasikiliza STARTV kipindi cha Tuongee Siasa na uchumi. mtaalamu toka Policy Forum kabainisha kuwa kumbe tayari rasimu ya Sera ya Madini imeshatayarishwa na itajadiliwa katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla ya kutimkia huko yanakobebwa maboksi, huyu Bwana aliliachia taifa maneno haya; WITO KWA WANANCHI KUHUSU KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA, HUSUSAN AIBU YA UCHAFU 02 AGOSTI, 2009...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huu uchafu wa Dar, mnamsubiri nani awafanyie kazi na awasafishie jiji lenu? Ikiwa mna mamlaka na nyenzo, je mnahitaji nini? Kikitokea Kipindupindu, mtamlaumu nani?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Leo tarehe 24 Oktoba ni Siku ya Umoja wa Mataifa lakini pia kwa hapa nchini ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi wa vitongoji, vijiji na mitaa. Upigaji kura ni tarehe 25 Oktoba, 2009. Kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi(RPC) Bakar Khatib Shaban, ametoa onyo kali kwa chama chochote kitakachojihusisha na fujo katika zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema (55), amesema ana msimamo na haogopi shinikizo la yeyote. Werema amesema, Rais Jakaya Kikwete, anafahamu kuwa ana msimamo na pia waliowahi kufanya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
IPTL kuwasha mitambo mwezi ujao Imeandikwa na Lucy Lyatuu; 22nd October 2009 Habari leo WAWEKEZAJI wa mitambo wa kuzalisha umeme wa IPTL wametii agizo la Rais Jakaya Kikwete, wameahidi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
SADC has launched a Free Trade Area among his members, including Tanzania. wanasema makato ya kodi kwenye usafirishaji wa bidhaa umepunguzwa kwa asilimia 75% (kama nimekosea naomba mnirekebishe...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya Serikali chini ya usimamizi wa kura kuamua kuibeba CCM yao kwa nguvu na kutumia pesa yangu kodi bila ya kujali wala kusoma alama za nyakati kwamba CCM haina mvuto tena wameamua kutumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametaka kutengewa fedha maalumu kwa ajili ya kujengewa nyumba katika majimbo yao kama ilivyokuwa zimetengwa fedha hizo na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zanzibar yataka Nyerere mwengine Na Ally Saleh 'Alberto' Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere hakuwahi kuwa kipenzi kikubwa sana cha wananchi wa Zanzibar. Na hilo ni kwa sababu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ADHA HII ITAISHA LINI! Wednesday, 21 October 2009 08:02 Wanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Mtakuja iliyoko Vingunguti katika Manispaa ya Ilala, Dar es salaam wakifanya mitihani...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
*Zitaanza uchaguzi wa serikali za mitaa Boniface Meena, Moshi MBUNGE wa Moshi Mjini,Philemon Ndesamburo(Chadema), amenunua helkopta mbili kwa ajili ya kukisaidia chama hicho katika kampeni za...
0 Reactions
118 Replies
49K Views
Wed Oct 21, 2009 5:33pm EDT WASHINGTON, Oct 21 (Reuters) - Deputy U.S. Treasury Secretary Neal Wolin, the No. 2 official in the Treasury Department, will travel to Africa next week to discuss...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kifo cha TRC :Wahujumu Uchumi na Mafisadi wamehusika na kuneemeka Waswahili husema temba ujionee. Enzi za enzi, malori yalikuwa ni Mwanamboka na Superdoll, Kugis na Wachaga wachache. Leo hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom