Ukahaba Wetu Unatuponza
Tafsiri ya Sanifu ya Kahaba, ni mtu ambaye anajiuza mwili ili ajipatie kipato. Ni mtu ambaye amekubuhu katika fani ya Umalaya na aliyekata shauri kuwa kamwe yeye hata...
Julius Nyerere, Jomo Kenyatta and Milton Obote were household names in the good old days
AN EAST AFRICAN PERSPECTIVE
Jerry Okungu
AS Kenyans commemorated the day Jomo Kenyatta was...
Najiuliza maswali mengi, imekuwaje CCM ipite bila kupingwa sehemu nyingi za TZ kwenye uchaguzi wa mitaa na vijiji?
malalamiko yalikuwa kwa tume ya uchaguzi, sasa yenyewe imesema haitasimamia...
Mh. Waziri mkuu alipata kunena: .............acheni kununua SUTI........
Ni kweli, maana kwa maisha ya kawaida ya mtazania mfanyakazi asiyekuwa FISADI hawezi kununua suti ya Mil 3.
Ndugu wana-ukumbi,
Juzi, Sunday, nilipata nafasi kula dinner na rafiki yangu mmoja wa zamani ambae anafuatilia sana mambo ya kwetu na kabla hajapata moja baridi moja moto nikamuuliza Whats...
21st October 2009
Si siri kwamba katika miaka ya hivi karibuni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekumbwa na dhoruba nyingi, miongoni mwanzo ni watu wanaohoji mamlaka yake katika baadhi ya...
..anachukua nafasi ya Johnson Mwanyika.
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Justice Frederick Mwita Werema as the new Attorney General. He replaces Mr Johnson Mwanyika who is retiring.
The...
Wakatoliki kuwakilishwa AU?
Mkutano (Synod) wa maaskofu wa Kikatoliki kutoka Africa ulioitishwa na Papa Benedict XVI unaendelea huko Vatican kwenye makao makuu ya kanisa hilo. Maaskofu kadhaa...
Kwa muda nimekuwa mbali na ulingo huu, nashukuru kwamba mijadala ya fikra mbadala inaendelea kwa kasi. Oktoba 14, niliongoza maandamano ya kumbukumbu ya Nyerere. Wapo waliunga mkono, wapo...
Wasomi wapendekeza liundwe
Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali
Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali
MJADALA kuhusu masuala ya dini na siasa umeanza kuchukua...
Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM...
Habari kuwa tatizo la umeme Tanzania ni sugu, sikulipokea kwa mshangao hata kidogo. Picha ya tatizo hili nililielewa pale Rais mstaafu Mwinyi akiwa madarakani, alipolieleza tatizo kama limetokana...
Ninapata message kwenye screen sasa kwamba JK atakuwa anahutubia Taifa ama atakuwa anaongelea mambo mbali mbali , je ni kweli ama ni habari za mtaani ?
Mwenye nyeti azimwage hapa tujue namna ya...
Ninaandika nikiamini bila shaka yoyote kuwa hotuba za baba wa taifa zinafaa sana kutumika katika kufundisha somo la uraia katika shule zetu za msingi, sekondari na vyuo.
Hotuba za Nyerere...
Na Jabir Idrissa
SIJATHUBUTU hata mara moja kusifia Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). Sijadanganyika. Wala si kawaida yangu kusifia mtumishi au taasisi, labda pale inapokuwepo sababu ambayo...
THIS DAY
The Tulawaka gold mine in Biharamulo district, Kagera region has sold gold worth $66.6 million (approx. 87bn/-) over the past nine months alone, as the government continues to get a...
Urgent Alert - Organizations and Individuals: Sign-On Letter
Demand Withdrawal of Proposed Legislation in Uganda
Expanding LGBT Sanctions, Including DEATH PENALTY!
CHAMP urges you to...
Nilikuwa najiuliza tu kama huko kwenye kisima chenu cha wateuliwa mmeishiwa wateule? Au ndiyo kujipanga vya eneo la 12 ili goli la mkono wa Mungu mtufunge?
Kama mmeishiwa na sasa mmebakia...
Mjumbe wa kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Unyamikumbi, katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida amefukuzwa uanachama kwa madai kwamba alikuwa akifanya kampeni za...
Hii klabu ni maarufu sana pale Kariakoo.
Ni klabu ya mtaani ambayo ni jamaa hukaa wakipiga gumzo, kucheza bao, karata na kubadilishana mazungumzo.
Zaidi, klabu hii imetumika katika harakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.