Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kiwira workers: What`s our fate? By The guardian reporter 22nd September 2009 `Salary arrears rise to 2.5 billion shillings` Kiwira coal mine worker Kiwira coal mine workers...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waungwana, Hivi ile ripoti ya CAG aliyokabidhiwa Pinda wiki chache zilizopita kuhusiana na kituo cha Mabasi kinachoendeshwa na Kingunge ilishatolewa hadharani au bado Pinda ameikalia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nafasi ya sasa ya Mkurugenzi wa Shirika la umeme Tanzania (Tanesco)Dr Idrisa Rashid sambasamba na ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(Sumatra) Israel Sekirasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Just in case kuna mtu atakuwa interested na makala haya ya Jenerali Ulimwengu Rai ya Jenerali Nakala chapishi Mtumie mwenzio Jiandikishe utaarifiwe Salim, Msuya, Warioba, Malecela...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Amepeleka majeshi Pemba tokea mwanzo wa Ramadhani hadi leo ,wakitesa ,wakiwapiga watu mabomu ,kumbe Kikwete nae anamuogopa Mwenyezi Mungu ? Basi ajue madhila waliyopatishwa WaPemba na jeshi lake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hivi mnalionaje suala la maadili na vyombo vya habari????? mi naona kadri siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaaya. sasa kuna vipindi vya redio,hasa vya taarabu,matusi imekuwa kawaida.. kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Academics divided on 'Kilimo Kwanza' policy By Samuel Kamndaya Academicians are divided on whether or not, Tanzania�s new initiative dubbed as �Kilimo Kwanza&#65533...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
MIOYO ya Watanzania wengi sasa imeanza kuwa juujuu hasa kutokana na pilikapilika zisizo za kipimo kuanza kwa kasi ya ajabu na kuwafanya watu wenye nia ya kutafuta kile wanachokitaka waanze...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati naendelea kulumbana na FMES na Mzee Mwanakijiji kuhusu wajibu wa Wapiganaji, Vita ya Wapiganaji na ni nani anafaidika na Upiganaji, jina moja linakuja mukichwa na dhamira inaniambia kuwa...
0 Reactions
238 Replies
20K Views
He assumed the office of the presidency with fanfare and with an overwhelming mandate he ascended to power. He was called to lead. He has miserably failed and now he has become a good follower...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Vurugu za kisiasa zinazotokea Zanzibar kwa sasa na sehemu zingine wakati wa uchaguzi Tanzania bara zinatoa fundisho moja kubwa kuwa vyama vingi havijengi umoja wa kitaifa. Ingawa inaweza kuonekana...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mafisadi wakomba zaidi ya shilingi trilioni moja serikaliniNI FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA SITA Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya Sh1 trilioni zimechotwa nyakati tofauti kutoka serikalini katika miaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A few months before Thabo Mbeki was "recalled" from the South African presidency by his party, ANC, two biographers published 'Fit to Govern: The Native Intelligence of Thabo Mbeki' and 'Thabo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mudamrefu nimekuwa najiuliza hivi ndugu kikwete ni kweli unashindwa kuamini kwamba Dr. Idris Rashid alihusika ktk kashfa ya rada, IPTL? mpaka unaendelea kumpa vyeo ambavyo hata hivyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://www.alternet.org/story/141734/why_corporations,_emerging_powers_and_petro-states_are_snapping_up_huge_chunks_of_farmland_in_the_developing_world That exponential process will only be...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Waraka wa Kanisa Katoliki umeungwa mkono na pia umepingwa na watu wa aina mbalimbali. Lakini watu wengi waliweza kusema kwa jumla tu kuwa ni mzuri au mbaya bila kusema ni mambo gani yamewagusa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkataba wa TRL hauvunjwi ng'o ! 17 September 2009 Majira Waziri wa Miundombinu Dkt. Shukuru Kawambwa akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu azma ya...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kabla ya kuletwa tena na serikali ripoti ya utekelezaji wa maamuzi ya bunge juu ya richmond Lowassa atakuwa amesafishwa rasmi-siyo na bunge, siyo na magazeti bali na rafiki wa siku nyingi na...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Mara nyingi sana huwa napata shida sana katika kujua Taifa letu linahitaji katika Ustawi wake, Waziri Mkuu wa Tanzania Mh pinda hivi karibuni alikuwa katika Mataifa mbalimbali ya Asia kwa ajili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom