Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo New York kwa ziara ya Kikazi nchini Marekani itakayomchukua siku 12.Mheshimiwa Rais ameongozana na Waziri wa mambo ya Nchi za Nje pamoja na ujumbe wa watu 20...
Nimesoma kwa kina sana makala ya mzee mwanakijiji imenigusa mno! Achilia mbali makala hiyo yaliyoongelewa pia nayajua sana, Hakika kuwa mkimbizi ndani ya nchi yako! inauma kwa kweli, Ni mengi...
Jamani kuna usiri mkubwa sasa hivi wa kugawana viwanja katika eneo hili la Jeshi kalibu na nyumba za mawaziri Masaki na Sea cliff. Kwa habari nilizopata ni kuwa Mwinyi kesha pata eneo lake na...
Vita ya ufisadi yaijeruhi CCM
na Mwandishi Wetu
UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani, umegubikwa na sintofahamu kubwa, hasa kwa wagombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mkapa ampiku Kikwete
Utawala wake wauzidi wa Kikwete kiuchumi
na Sauli Giliard
PAMOJA na kukabiliwa na tuhuma mbalimbali za ubadhirifu, huku baadhi ya watu wakitaka Rais mstaafu Benjamin...
Ikiwa imebakia takribani mwezi moja kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji je WATANZANIA wanaweza kusema msemo huu TANZANIA bila ya CCM inawezekana
MARA nyingine huwa najiuliza uchaguzi unatusaidia nini wakati ambapo walio nacho wadanganya waziwazi na wasio nacho wadanganyika bila wasiwasi.
Lakini baada ya mjadala mkali wa sebuleni...
Ifuatayo ni habari njema kwa Watanzania, adha ya usafiri wa anga natumaini itapungua sasa..
Kampuni ya Precisionair kuingiza ndege saba mpya Tanzania
Na Andrew Msechu
KWA mara ya kwanza...
Kwanza kabisa, naunga naunga mkono waraka wa Kanisa (hakuna swali hapa).
Ila, kauli ya viongozi wa TUKTA inakatisha tamaa kiasi kikubwa na kuonyesha jinsi viongozi hawa wanavyojipenda wenyewe...
WANAFUNZI wanne wa shule za sekondari wilayani Karagwe, wamehukumiwa kwenda jela miezi sita kila mmoja kwa kosa la kushindwa kuwataja waliowapa ujauzito na kusababisha washindwe kuendelea na...
Kama wewe ni mwana hiphop wa bongo basi unaobwa kutoa/kuchangia maoni yako katika mradi mpya wa kuandika waraka wa wana hiphop kwa wapiga kura wa TANZANIA.mradi huu mpya unalenga kutoa elimu ya...
Na Simon Mhina
22nd September 2009
Spika wa Bunge, Samwel Sitta.
Spika wa Bunge, Samwel Sitta, amesema viongozi wanachangia kurudisha maendeleo nyuma nchini kutokana na kukosa mikakati endelevu...
Mimi simzuii mtu kuwa Mbunge wa Maswa kwa sababu kuwa na mtoto wa kike huzuii mtu kuleta posa, niliishatangaza na ninaomba mtu asijisumbue kuniambia Shibuda kuna watu watano wamekuja wanataka...
Na Ramadhan Semtawa
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta amesema kitendo cha wahisani na Watanzania wengine kumuunga mkono katika uendeshaji vikao vya chombo hicho cha wawakilishi wa wananchi kimempa...
Click the labels at left to learn about the Democratic Republic of Congos chaotic history of dictatorship, violence and war.
Microsoft Virtual Earth
The Democratic Republic of Congo, a vast...
Serikali yaridhia utoaji mimba
* PRO-LIFE yapinga, yamwandikia Kikwete
na Joseph Sabinus
Tanzania Daima~Sauti ya watu
SERIKALI imetia saini kuridhia itifaki za haki za wanawake, ikiwemo ya...
We should be spending more time and resources kufanya mambo kama ya jirani zetu Rwanda. Hivi sisi Tanzania tunachoshindwa ni kipi kuwa na fleet ya internet buses kama hawa jamaa?
Are we really...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.