..haya jamani nimekuja na swala lingine.
..naomba kujua wasifu wa Edington Kissasi na mchango wako kwa mapinduzi ya Zanzibar.
..je alikuwa Zanzibar kabla ya Mapinduzi au alipelekwa huko ktk...
Ndugu wachambuzi wa mambo ya SIASA na KIJAMII,
Hivi ile ziara ya Rais George W. Bush hapa TZ iliyo jaa mbwembwe na matarajio makubwa makubwa imeshazaa chochote cha kuelezeka?
Wachambuzi leteni...
Tangu vita dhidi ya Ufisadi ianze hapa Afrika mashariki, sijasikia mwanamke yeyote aliyetajwa kuwa FISADI.
Hii inanifanya nifikiri kuwa huenda wanawake ni watu waaminifu sana wakipewa uongozi wa...
* President says two or three cases imminent
* Says tackling sharks, not just "small fish"
By George Obulutsa
DAR ES SALAAM, Sept 10 (Reuters) - Tanzania's anti-graft agency will bring...
Majibu ya JK yamekwepa hoja! Thursday, 10 September 2009 17:14 *Beregu: Yalikuwa mepesi hayakukidhi haja za wananchi
*Aonesha wasiwasi baadhi ya maswali kuandaliwa
*Shekhe Issa: Napongeza Rais...
2009-09-12 08:13:00
Ewura: 70 per cent of petrol stations unsafe
Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) director general Haruna Masebu addresses senior journalists during a...
KUUELEWA MFUMO WA UTAWALA WA KIFISADI - 101
Na. M. M. Mwanakijiji
Maadui wa Tanzania siyo Rostam, Lowassa, Chenge, Mramba, Yona au mtu yeyote ambaye ameonakana na kutajwa kuwa ni fisadi...
Baada ya kusikiliza kwa umakini saga linaloendelea sasa hivi, naona pongezi za dhati zimuendee pia JK, kwani bila yeye kuridhia sidhani kama haya yote yangetokea.
Utakumbuka kuwa kamati mbali...
Date::9/12/2009Kikwete awatosa maswaiba wake Rostam, Lowassa?Rais Jakaya Kikwete, je amewatosa maswaiba wake, Lowassa na Rostam ambao wanadaiwa kuhusika katika kashfa ya Richmond, hili ndiyo swali...
Date::9/12/2009Idadi ya masheikh yapunguzwa katika mchakato wa kumpata kadhiNa Salim Said
MASHEIKH walioteuliwa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba kukutana na wataalamu wa...
FALSE DIVISIONS 2: CORRUPTION VS. LAWNORDER
Hal Pepinsky, pepinsky@indiana.edu
September 9, 2009
A major excuse for Anglo-American military failure in Iraq and Afghanistan has emerged...
GARBAGE is piling up at Manzese Flyover Bridge in Dar es Salaam and city authorities seem not to care. Our Staff Photographer Bernard Rwebangira captured this ugly scene.
VIONGOZI wa chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar, wamependekeza utawala wa Rais Amani Abeid Karume uendelee kwa miaka miwili zaidi, ili kutoa nafasi ya kumaliza matatizo...
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa kwa sasa.
Nimefuatilia sana lawama zinazotolewa kwa viongozi mbali mbali wa nchi yetu Tanzania.
Kinachonipa wasi wasi ni kuona kuwa lawama hizo...
Wazungu wakejeli Serikali ya Kikwete!
Waandishi Wetu | Septemba 9, 2009
- Wasema posho zawapofua watendaji
- Wasema inajali wawekezaji kuliko raia
SURA ya Tanzania katika duru za kimataifa...
Dk. Slaa ampinga kuhusu Richmond, Kagoda
na Mwandishi Wetu
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzungumza na wananchi kwa staili mpya ya kujibu maswali ya papo kwa papo kwa njia ya redio...
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) katika Wilaya ya Arusha, kimepata pigo kubwa baada ya viongozi na wanachama wake 92 kuamua kujiunga na TLP.
Wanachama hao walipokelewa juzi katika ofisi za TLP Kata ya...
:confused:wana jamii hebu nisaidieni kwa hili mji wa dar es salaam nani mwenye mamuuzi tuna mameya watatu na wasaidizi wao na meya mkubwa wao na mkuu wa mkoa na wakurugenzi na madiwani je ni nani...
Naam,
Tido Mhando anaongea lakini sauti ilikuwa haisikiki vema na wamerekebisha.
Toka magazetini:
RAIS Jakaya Kikwete, amesema kuwa hajawafunga midomo wabunge na badala yake amewataka waendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.