Wengi wamepongeza baadhi kuhoji na kubeza uamuzi wa Zitto kugombea. Na badae wamebeza uamuzi wa Zitto kujitoa sambamba na kushangazwa na ushauri wa kamati ya wazee waliomshauri Zitto ajitoe katika...
Date: 9/7/2009
Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki, Samir Lotto, akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa tuhuma za kufanya shambulio kwa mfanyakazi wa mamlaka ya Maji mjini Morogoro...
Hello Wakulu,
Mi ni mgeni humu jamvini.Naomba ukaribisho.
Sasa kuna mpango wa kuanzisha Umoja wa vijana wenye mlengo wa Transformational state.Yaani umoja wa vijana utakao ibadilisha nchi katika...
Pengo: Nchi imeoza Tuesday, 08 September 2009 17:16 *Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza
*Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho
*Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu
*Katoliki...
soma 27 mountain view
africa's highest mountain lies in Tanzania but the best view is from Kenya...
je ya kweli haya.....
wizara yetu ya utalii inautangaza vipi huu mlima???
Assimilado Zakumi, Evolue Ngabu, Civilado Mkandara na wadau wengine wa historia ya 'Miafrika ndivyo Tulivyo' karibuni kwenye mjadala mpana wa historia ndefu ('long duree') ya siasa uchumi ya...
Wadau JF hebu pitia habari hii toka bbc,je sisi kama watanzania tunafikiria nini au unapata picture gani..je hao wasio watanzania wanapata picture gani?!
Mana mtu anaona bora aende Somalia...
STAILI ya ujenzi wa barabara ya Mandela katika kipande kati ya Buguruni na Ubungo kinatutia wananchi hofu kwamba huenda wajenzi hao wanafanya makusudi ili tuteseke bila sababu ya kuridhisha...
CCM yapoteza imani na polisi kisiwani Pemba
Salma Said, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa hakina imani na askari wa Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba kikidai kuwa idadi kubwa ya...
Mfumo wa kuchangisha fedha kwa SMS wazua mjadala
MKAKATI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kuanzisha mfumo wa kiteknolojia kuchangisha fedha na kusajili wanachama...
Wadai hauna nafasi katika jamiii ya Watanzania
Wataka Pengo achunguzwe akibainika anachochea vurugu achukuliwe hatua
VYAMA viwili vya siasa nchini TADEA na UPDP vimepinga vikali waraka...
September 04 2009
Let me make something clear from the start of this piece: I like Europe and Europeans.
I like the idea of having closer ties to the continent. I think the Channel Tunnel's a...
Date::9/7/2009CCM yapoteza imani na polisi kisiwani Pemba
Salma Said, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa hakina imani na askari wa Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba kikidai kuwa idadi...
Date::9/7/2009Spika Sitta: Msichague mafisadi 2010
*AONYA NI WATU HATARI WANAWEZA HATA KUUA
Na Ramadhan Semtawa
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta, ameibuka kwa kasi mpya akionya wananchi wasifanye...
Nimefuatilia kwa makini hii sakata ya kutoa waraka (Nyaraka) na taasisi za kidini, na hapo hapo hapo wanasiasa wapinga jambo hilo, matokeo yake malumbano yanaanza.
Hivi kati ya;
1.Taasisi za...
Katika kile kinachoelezewa kama umbu umbu na kutoona mbali kwa viongozi wa SMZ,imegundulika kuwa ni wao waliochangia hatua ya Marekani kuwakataza raia wake kutembelea Pemba kwa kile kilichoelezwa...
Mojawapo ya matatizo ya kisiasa nchini kwetu ni kufanya vyama vya saisa kama sehemeu ya kupatia ajira ya kudumu au mradi wa ukoo fulani. Kwa mfano, tangu nimeisikia CUF katika nyanja za siasa...
Viongozi wakuu wa nchi sasa kuzikwa Dodoma *wamo Rais,Makamu, Spika, Waziri Mkuu, Jaji MKuu Na Habel Chidawali, Dodoma
VIONGOZI wa juu serikali akiwamo Rais, Makamu, waziri mkuu sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.