Wasifu mkubwa wa Ted Kennedy ni Utungaji sheria, kupigania maslahi ya walalahoi, na kubwa ni kitendo chake cha kugombea kuchaguliwa kuwa mgombea wa Uraisi akiwakilishe chama cha Democrats...
Katika Kipindi cha Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuja haja hapa JF kuweka sehemu maalumu kwa ajili ya kuwajadili wabunge wote wa mwaka 2010 ambao watagombea uchaguzi mwakani. Kuna ulazima wa...
Kakobe: Upole wa JK hatari
Asema viongozi wa dini ndio chanzo cha ufisadi
na Sophia Maghembe na Anitha Mkude
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amesema...
Baba wa Taifa (Mwalimu Nyerere) alisema " Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded. Kwa hiyo hivi vinchi vyetu ambavyo ni maskini, sio kwa rasimali, bali...
The former President of the United States, Bill Clinton labeled Arusha as the "Geneva" of Africa when he came to Arusha in 2000 to witness the brokered Burundi peace talks that was presided by...
[...]
In Tanzania, one African country with a relatively well established if slow public sector, the problem is not simply corruption. It is a form of institutionalised, legal time-wasting that...
Leo Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa tamko rasmi la Mkutano Mkuu wa Ndani ya Chama nalo ni kama ifuatavyo;
TAARIFA KWA UMMA WA WATANZANIA.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim, Lipumba amesema, kitendo cha uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuzuia matokeo ya uchaguzi wa Baraza la vijana la...
President Jakaya Kikwete yesterday asked men to effectively support the newly established Tanzania Women's Bank (TWB) as part of efforts to empower women economically.
He made the call in Dar es...
CHADEMA imeamua kurahisisha maendeleo ya chama kwa kuingiza suala la teknolojia.
Sasa CHADEMA imeanzisha E-Membership.
Yaani Electronic Membership.
Mtu akitaka kujiunga na CHADEMA aweza kujiunga...
Katika hali ya kustaajabisha kuna taarifa kuwa yule mwandishi wa habari na mmoja kati ya wamiliki wawili wa gazeti la mwanahalisi amekuwa katikajuhudi kubwa ya kutengeneza mazingira ya kugombea...
Nashangaa siasa za Ulimwengu huu.Hasa KENYA na TANZANIA.
Mbona malalamiko mengi?
Kila chama kinalalamikia chama kingine hata kama hawaonyeshi njia m'badala.
Viongozi kulaumiana,
Maamuzi kulaumiwa...
By Rosina John
An Arusha-based businessman yesterday admitted before Kisutu Resident Magistrate's Court that he is the owner of a company which was used as conduit for stealing Sh2.2 billion from...
Nikisoma hii habari kutoka Gazeti la Rai, najiuliza, hivi kweli Tanzania tuna nia ya kupambana na Uhujumu uchumi na kupiga vita Rushwa na Takrima?
Iweje sheria hii ifanyiwe mabadiliko ya haraka...
-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa...
Naona Zitto ajibu mapigo kwa kujiunga na CUF ili arudishe hadhi yake .ni hapo tu atakapo anza kupaa na huenda hata nafasi ya kugombea Uraisi akapewa ,Zitto hiyo ni Golden Chance kuukwaa Uraisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.