Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Zanzibar authorities have embarked on a special exercise to withdraw passports issued to Zanzibar residents originating from Comoro who had failed to apply for citizenship as directed in 1968 by...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakiangalia moja ya vifaru vya kurushia makombora vya JWTZ katika maonesho ya maadhimisho ya miaka 45 ya Jeshi hilo kwenye viwanja vya Kikosi cha Anga Dar es...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
SALIM SAID SALIM, UDANGANYIFU ni moja ya njia zinazomsaidia mtu, hasa akiwa katika matatizo, kujiliwaza, kumpunguzia usumbufu na hata kumpa furaha kwa muda na kujiona amefanikiwa na baadaye ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, Nilikuwa nimelala na ndo nimeamka! Sasa hivi, wagombea wetu wa uchaguzi ujao watapita kwa chama lipi? cha-CCM, cha-DEMA, Cha-NCCR, cha-CUF ama ?? nadhani sasa hivi vyama vikuu vipya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii wenzangu nani amebahatika kuupata waraka wa Wa waislamu tafadhali tunaomba uuweke mtandaoni sote tuusome.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waraka wa waislam, tumeyataka wenyewe na tujiandae kwa vurugu hizi. Maaskofu, hawakuangalia mbali kuona wanaanzisha vurugu kubwa. Kila dhehebu likitoa waraka na mwongozo wa namna ya kufanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wengine sisi ni wapagani. Na kama inavyoonyesha kuwa interest groups mbalimbali zinajaribu kwa namna moja au nyingine kuandika jinsi ya kuongoza watu kwenye uchaguzi wa 2010. Ningeomba wale...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
EE ndio habari ndio hiyo!! Serikali ni mali ya watu wa hiyo nchi wanamoishi. Na Watu wameumbwa na Mungu. Watu wanalelewa kiroho na DIni zao. Dini ni Daraja kati ya Mungu na watu. Na watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naam wana JF, kuelekea uchaguzi mkuu ujao, tumeanza kuona na kusikia mengi, mojawapo ni hili la nyaraka za madhehebu ya dini kuelekeza wananchi juu ya nini cha kuzingatia/kifanyike wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimekutana na habari hii hapa kutoka kwenye gazeti la Tanzania Daima kama ifuatavyo:- JK: Wanyonge wakikosa haki hakuna utawala wa sheria na Halfani Lihundi, Arusha RAIS Jakaya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Manji, Mengi 'wamwaga' misaada Mbagala Inaweza kuwa ni kutokana na moyo wao wa kujitolea wka jamii lakini kutokana na 'uhasama' wao inaweza kuonekana kama ushindani. Sasa hivi Manji yuko huko...
0 Reactions
172 Replies
17K Views
Naona kuna umuhimu wakila mbunge kwenda bungeni kwa njia ya kuchaguliwa na wananchi.... haya mambo ya kupeana ubunge madhara yake tumeyaona kwa hawa wazee awawajali kabisa wananchi na mwisho...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inajiandaa kumshtaki Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kwa madai aliyotoa kuwa kuna watu wanaandikishwa vitambulisho vya Uzanzibari Mkuranga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..hii imetoka kwenye gazeti la raia mwema. ..Hatibu Senkoro amezungumza mambo mengi kuanzia masuala ya sekta ya madini, historia yake, mpaka mahusiano yake na Basil Pesambili Mramba. Raia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Oman plans to privatise its existing power stations and invest RO3bn ($7.8bn) in new projects over the next six years, in a bid to boost the economy and reduce the budget deficit as electricity...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Something light to start the weekend. NINAWAFAGILIA SANA VODACOM kwa kutoa misaada mbalimbali kwa jamii chini ya Vodacom Foundation na mwenyekiti/ mkurugenzi wa Foundation hiyo kwa ubunifu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Sijui ndo uzee umeanza kuniingia au ndo nimepitwa na wakati... Kwa sababu fulani Spika Sitta anaanza kuliendesha Bunge utadhani kigenge.. ati leo amepiga marufuku neno "Kukazana" kwa sababu lina...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kususia FUTARI za kisiasa na za Wamarekani. VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamejifungia katika Msikiti wa Mtambani wakiandaa tamko muhimu katika historia ya Uislamu nchini. Shur aya Maimamu...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Pengine kwa sababu suala la utanuzi na uongezaji wa barabara jijini Dar haliko juu kwenye "to-do" list ya nchini yetu; na kwamba barabara chache zilizopo zimehelemewa na mafuriko ya magari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RAIA MWEMA TOLEO NO 95 19 AGOSTI 2009 Mgomo wa madereva Ubungo: Abiria walikuwa silaha ya mapambano Mwandishi Maalum Agosti 19, 2009 Waliouandaa ni wahujumu wa maslahi ya madereva Ni mpambano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom