Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Nimesoma makala hii katika raia mwema la jumatano tarehe 26/08/2009. Umuhimu wake katika kujaribu kuwakumbusha viongozi wetu vipi wanatakiwa kuondokana na fikra za bwana mkubwa ndiye alfa na omega...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana forum hamjambo? Nilipote kidogo nilikuwa naandika ripoti kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Kuendeleza Maeneo yaliyoko Pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam. Kama mtakavyokumbuka maeneo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa kuwa katiba ya nchi hii inatambua kuwepo kwa mihimili mitatu ya dola, yaani serikali, Bunge , na Mahakama, na kwa kuwa mihimili hii mitatu inapaswa kufanya kazi bila kuingiliana ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzanian Royalty Chairman Provides Interest Free Advance South Surrey, British Columbia CANADA, Aug 27, 2009 (Filing Services Canada via COMTEX) ---- Tanzanian Royalty Exploration Corp (TNX...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu, nimeamua kumuvuzisha bango ninalolikumbuka, mwenye picha clear zaidi aimwage tuendelee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SALIM SAID SALIM RIPOTI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa mwaka 2007/08 ilieleza kuwa zaidi ya sh milioni 100 (nyingi sana kwa Zanzibar) zilitumika visivyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Issue ya Lilondo ni mwendelezo wa UFISADI HAPA NCHINI, Mheshimiwa Mwinyi ndo aliingiza ufisadi na Mwl Nyrere KUFUMBA MACHO MASUALA AMBAYO MWINYI ALIYAFANYA. Mwinyi aliwapa waarabu na kumiliki...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hidaya Kivatwa na Salim Said http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=14158 SHURA ya Maimamu wa Tanzania, kesho inatarajia kuzindua rasmi mwongozo kwa Waislamu kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010 na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Egypt's call to kill pigs amid flu scare ridiculed By TAREK EL-TABLAWY, AP Business Writer Fri May 1, 3:27 am ET CAIRO – Egypt's government was hoping to look strong and proactive in the...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
A GROUP of Zanzibaris led by Mr Rashid Salum Adiy have written to the United Nations (UN) Secretary General, Mr Ban Ki-moon, demanding him to define Zanzibar's geographical sovereignty...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Na Salim Said Salim KIFUPI cha marefu, mkato wa maneno na kurahisisha magumu yawe mepesi, nasema Zanzibar hakuna uchaguzi bali "uchafuzi." Inazoeleka kuwa kupiga kura si haki kwa raia, bali zawadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
salim said salim, zanzibar NI kawaida katika nchi nyingi kusikia taasisi za ndani na nje zinafanya utafiti wa masuala ya siasa, uchumi, utamaduni, michezo na burdani na kutoa matokeo. Zanzibar...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Yale yaliyotokea Dodoma, ya CCM kumgombeza Sitta, ni ya Tanzania ya jana. Kuna wanaojifanya vipofu na kutufanya tufikiri bado tunaishi Tanzania ya jana. Ukweli ni kwamba Tanzania ya leo si ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijarida chako ukipendacho kimetoka; jipatie nakala yako, wasambazie wengine, na waalike wajiandikishe waweze kupata dozi ya fikra mpya za mabadiliko ambazo hutangulia mabadiliko ya kura!
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Wakuu nilikua najiuliza inakuwaje unakuta mtu ni Mbunge halafu hapo hapo ni mkuu wa Mkoa? Je kati ya watu million 40 hamna mtu mwenye uwezo wa kushika cheo komojawapo? Je inakuaje kuhusu haya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naombeni majina ya wajumbe wa nec tafaaaaaaaaaadhali.
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Tukiwa bado tuna majonzi kwa wanafunzi walio ungua moto bwenini shule ya sec. Idodi, CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People huku shule ya msingi...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Kumekuwa na kasumba hapa nchini kwetu ya kuwakaribisha kwa bashasha esp kwa watu walioweza kufanya mambo fulani makubwa. Hilo sikatai lakini jeh, kuna haja ya kufanya zaidi ya hapo? Kwa mfano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Do y'all real wanna know? If everybody gave up! 1. We wouldn't have had satelites 2. We wouldn't be driving convertibles 3. We wouldn't have had HD Technology 4. We wouldn't have had...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Katika hali ya kuonyesha kuwa uongozi wa CCM hauheshimu Katiba wala Utawala wa sheria, umetoa ifuatayo kama taarifa rasmi ya vikao vyake vya Dodoma:- Kwa kutambua kuwepo matatizo ya matamshi na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom