+Zisikubali kunyamazishwa!
Baada ya Kanisa Katoliki kutoa waraka kuhusu Uchaguzi Mkuu 2010, kumezuka mjadala mkubwa nchini huku baadhi ya Watanzania wakiunga mkono vipaumbele 7 vilivyopendekezwa...
Kwa utaratiiiiiibu kama kumsukuma mlevi mteremkoni vile, Mwandosya anazidi kumpiga fimbo ya kisiasa kigogo wa wanamtandao Lowasa. Katika kipindi kisichozidi miezi sita ya ugomvi na ushindani...
Jamani naweza kuulizia ni wapi limefikia lile zoezi la kuwatambua wauaji wa maalbino na vizee ambalo serikali ya CCM iliona ndio njia pekee ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa mauaji hayo kwa kupitia...
Kwa mlio Tanzania, nasikia Tambwe amemvaa Mwanakijiji "Live" katika Tv ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu UDSM...
Kipindi kinaendelea kwa wakati huu, kama kuna ambao wanaangalia tafadhali...
WATU wasiojulikana wamesambaza vipeperushi katika maeneo mbali mbali kisiwani Pemba vyenye ujumbe wa kuwataka watu wenye kuweka vikwazo kwa wananchi kujiandikisha wajitayarishe mwaka 2010 utakuwa...
NEC imeingilia uhuru wa Bunge-Slaa
Wednesday, 19 August 2009
Na Waandishi wetu - Majira.
UAMUZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwakata makali wabunge wake kwa lengo la kupunguza mashambulizi...
1 )"Kwa hiyo tumesema inatosha, hapo tulipofikia tusiendelee mbele. Wanaoropoka hovyo ni walevi ....! - Chiligati
Chiligati ni kimbelembele na anajiona yeye ni mwenye kupendeza ndani ya serikali...
Huyu jamaa alitakiwa aitwe saa saba mchan viwanja vy mnazi mmoja apigwe risasi na umma ushuhudie ili kusitisha ufisadi lakini hapa anakumbatiwa. gonga hapo umuone mwenyewe...
Sikiliza hii nyimbo ni ujumbe tosha kwa Chama Cha Mafisadi (CCM) na MAFISADI wengine waliopo Bongo. Ni Ujumbe wa Leo Ijumaa.
http://www.zilipendwaradio.com/files/b7e456f44ec8a013.mp3
Ndugu zangu Wana JF!
Ufisadi ndio unayoifanya hii Tanzania isiwe nchi ya Asali na Maziwa kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa kuifika na wanasiasa wetu Uchwara wa Tanzania, Nisema hivyo kwasababu...
Kama leo tunasema raisi ni mpita njia ama baba yetu ni kwanini tunamlaumu kwa kutotimiza sera yake ya maisha bora kwa kila mtanzania ama hii sera ametimiza ama hakutuahidi hili ili tumpe kula...
I have tried to scrutinise the political situation in Tanzania with focus on the presidency. The just ended CCM, NEC left much to be desired and reflects the next politcal platform for the TZ. It...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikijaribu mara kwa mara kujinasua kutoka kwenye tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwake, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeibuka na kuanika...
Sijazunguka sana dunia hii, lakini katika nchi mbili tatu zilizoendelea nilizobatika kupita nimeona kuna tofauti kubwa katika baadhi ya taratibu na namna nchi hizi zinavyoendeshwa na nyumbani...
Hivi jamani hawa wabunge wa mkoa wa Rukwa wamechangia nini katka maendeleo ya mkoa wao na je kuna umuhimu wa wao kuendelea kugombea ubunge na kuzeekea bungeni?
Three Zanzibar residents have filed a case in the Isles High Court seeking an end to the voter registration exercise in Pemba over conflicts of legal provisions.
The courts registrar, Yessaya...
HABARI ZA LEO BWANA MICHUZI,
SISI WAFANYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE WA NYERERE TB II TUNA MALAMIKO AMA MA DUKU DUKU YALIYOJAA NA TUMEONA LEO TUWEKE WAZI ILI ANGALAU IJULIKANE NINI KINACHOENDELEA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.