Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hakika wasipomsifu mungu BASI jf tutanynyuka kumsifu MUNGU kwa ushind unaoendelea kwenye ya mafisadi wangapi walijua leo moto unaweza waka CCM kiasi hiki kisa walea MAFISADI na wanaokana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
EYE SPY: Our eternal ambassadors Adam Lusekelo THIS DAY I THINK I know what happened, at one time everyone used to want to be a diplomat. When I was at the 'Chuo Kikuu' the entire...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
I get so frustrated when individuals tend to oppose policies without giving alternatives to a proposed policy. Opposing without giving alternatives is a syndrome in Tanzania politics as in many...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Huyu Mheshimiwa sana, kanukuliwa mambo akisema mambo mengi, yamkini, gazeti la Mwananchi la leo limenukuu kama ifuatavyo kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomsonga Mkapa. “Hayo yote ni mambo mazuri...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Date::8/18/2009 CCM yawafunga midomo vinara wa kupinga ufisadi Na Habel Chidawali, Dodoma Mwananchi HALMASHAURI Kuu ya CCM juzi ilifikia uamuzi wa aina yake baada ya kuunda kamati maalumu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mnasemaje hapo wakulu..........Ringing the bell somewhere? Oil can be a curse on poor nations By Moisés Naím Published: August 18 2009 20:03 | Last updated: August 18 2009 20:03 Oil is...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
2008-03-03 20:09:21 Na Mwandishi Wetu, Mpanda Wale waliodhani Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bwana Mizengo Pinda ni mtu laini laini, basi wameula wa chuya kwani mzee...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Nadhani hii itabakia kuwa ni kauli ya kijasiri zaidi na ambayo imeonesha uzito mkubwa. Hongera mama Malecela kwa kuweka maslahi ya TAifa mbele. Mama Malecela aliyasema hayo akidai kuwa hakuna...
0 Reactions
165 Replies
19K Views
Malecela, Chitalilo Vs Dr Slaa Jana John Malecela alimjia juu Dr Slaa, na kumpasha kuwa hoja za ufisadi si za upinzani, ni za CCM ndio iliyoanza kuibua mambo yote. Amesema hoja ya EPA ilianzishwa...
0 Reactions
106 Replies
12K Views
na Prisca Nsemwa MAASKOFU na wachungaji wa makanisa ya Pentekoste hapa nchini, wameandaa tuzo ya uongozi bora kwa ajili ya kumtunuku Spika wa Bunge, Samuel Sitta kwa kuuongoza vema mhimili huo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
(Angalia picha iliyoambatanishwa. Imetoka kwenye ippmedia.com, ikiambatana na habari kwamba Polisi wamekamata mashua (dhows) 8 zenye magogo mabayo yalikuwa yanapelekwa kusikojulikana) It is...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale waliomsikiliza na kumuona Kingunge akiongea na waandishi wa habari jana bila shaka watakuwa na maoni tofauti kuhusu kikongwe huyu. Binafsi namuona kama mtu aliyeanza kuchanganyikiwa...
0 Reactions
155 Replies
15K Views
Fall the amount of water and oil in the world which prompt the downfall in food production. Je serikali yetu inampangoa gain? Je kuna document yoyote inayoeleza mkakati wa serikali ? :rolleyes::(
0 Reactions
1 Replies
950 Views
FISADI NI MTU GANI? Barazani naingia, wakijiji nasalimu, Swali nalipangilia, mkanijuze walimu, Hili ninaulizia, kwenu ninyi watalaamu, Fisadi ni mtu gani, mimi ninaulizia. Neno hili la...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Look for this you tube, at some point in time, Italy leaders were like current Tanzanian leaders. I usually believe peoples power. If people decided today there is nothing that we can not do. And...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete aongoza kikao cha maadili kwa usiri Imeandikwa na Habel Chidawali, Dodoma Gazeti la Mwananchi KAMATI ya Maadili ya CCM jana ilifanya kikao chake mjini hapa na kujadili mambo mbalimbali...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao. Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi. Hata wakiandaa kwa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Afu uyu si alisema agombei tena na atameguka katika siasa ? Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ilikuwa ni weekend ya vikao vya CCM, kuanzia kikao cha Kamati ya Maadili, then CC na hatimaye NEC. Je, kuna habari yoyote ya maana kutoka huko kwenye hivyo vikao ambavyo vimetawaliwa na usiri...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom