Lets face it, alipoanza ma SNOBS wengi walianza ohhh mbona hayuko modern mara ohhh mbona sijui nini lakini as time goes by naona WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa
Huyu...
THE other day, a friend from my own generation remarked: Look here: what we are seeing here as the emergence of mafisadi (a lootocracy) is just a tempest in a tea cup. Even bigger looting is on...
nimeona niwaulize wana Jf kweli viongozi wameamua kupunguza gharama za matumizi ya magari yao (mashangingi) kwa dhatia (kuionea huruma nchi) au ni geresha tu kuelekea uchaguzi mkuu? Then...
Imeandikwa na Basil Msongo;
Tarehe: 27th July 2009
Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe ameitaka Serikali iufunge mara moja mgodi wa dhahabu wa North Mara ili sumu inayodaiwa kutoka hapo...
Kama ulikuwa bado unaburuzwa na vyama vingine visivyo na msimamo basi hujachelewa ,Hapa Tanzania kipo Chama kimoja tu ambacho ndicho Chama ambacho kila Mtanzania anatakiwa ajiunge nacho na...
George Mwakalinga mwana Kyela aliyekuwa anaishi na kufanya kazi kama mtaalaum wa kompyuta nchini UK amewasili Kyela majuzi na tayari ametangaza kuwania ubunge wa wilaya ya Kyela ndani ya CCM...
Ni maneno, malalamiko, manung'uniko, shutuma tu kila kukicha kulikoni? Tanzania haijawahi kupungukiwa na taasisi za kupambana na Rushwa. Wakati wa uhuru, Tanzania ilirithi Sheria ya wakoloni ya...
well...just when you thought you heard it all...sasa UFISADI UMEINGIA HALMASHAURI YA MULEBA
source yangu ni jarida la cheche lililotoka leo
mwenye zaidi alete
Wakati najiandaa kuja nyumbani na kuelekea jimboni kwangu Masasi kwenda kutangaza azma yangu ya kusimama uso kwa uso na mbunge wa sasa hapo mwakani, ilinilazimu kwanza nipitie kitengo cha afya cha...
Ni Wakati Tume ya Uchaguzi ya Taifa ifikirie kutumia electronic voting. Isisubiri hadi watu wachinjane. Hebu soma:-
"Kenya may adopt an electronic voting system by 2012 should stakeholders and...
Kwa kuangalia umaarufu wa viongozi wa kisiasa, utafiti huo uliofanywa nchi nzima ukiwashirikisha watu 2,000, unaonyesha kuwa Rais Jakaya Kikwete anaongoza kwa asilimia 66 akifuatiwa kwa mbali na...
(Note: Kwa kweli nilitaka kuandika "huu sasa uhuni"!
Kiwanda cha jeshi Nyumbu sasa kitaunda matrekta madogo
Mwandishi Maalum, Kiteto
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema serikali imeamua...
Kama kuna kitu kinachonifanya nijiulize maswali mengi kichwani ni wagombea viti vya uraisi vyama vya upinzani. Toka mwaka 1995 wanaogombea ngazi ya uraisi wengi ni wale wale!
Hii inaleta picha...
Wanaharakati wapinga kauli za wabunge kuhusu JK
Rais Jakaya Kikwete
Wanaharakati wa Haki za Binadamu, Elimu na Mazingira (Thren), wamepinga baadhi ya kauli zilizotolewa na wabunge kwa kumtaka...
Malecela ahofia CCM kuwa katika hali ngumu 2010
*ASEMA WABUNGE WENGI WATABWAGWA
Jackson Odoyo na Neema Rugemalira
MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, John Samuel Malecela amekitabiria chama...
Hivi hawa strategists wa CCM wana akili kweli? How can they release this info wakati uchaguzi ni keshokutwa tuu?
its about time wakaja clean on this issue na tukajua break down za costs zote...
JF,
Najiuliza- Tanzania Human Rights Commission mbona hatuwasikii? Vipi wamefulia au wanakula tu posho na pesa yetu bure? Ukiangalia Kenya Human Rights Commission they are so active na every day...
Hilo ombi la kwanza; ombi la pili, naomba mwenye nakala ya sheria hii anitumie nakala kwenye email yangu ya mwanakijiji hapa jamiiforums.com ASAP. Ombi la tatu, tuache kusikiliza na kutukuza...
NCCR wameipa serikali siku 90 kuwa imeunda tume huru ya uchaguzi vinginevyo itaiburuza mahakamani kwani tume iliyopo sasa inakipendelea Chama Cha Mapinduzi.
Zaidi tutaona kwenye vyombo vya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.